Mara yako ya mwisho kusoma Biblia au Quran ilikuwa lini?

Mara yako ya mwisho kusoma Biblia au Quran ilikuwa lini?

King Jody

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2022
Posts
1,834
Reaction score
3,456
Amani ya Bwana iwe nanyi nyote,

Ndugu zangu, Pamoja na pilikapilika na mihangaiko ya kutafuta mkate wa kila siku, inatupasa kuendelea

kumtumikia Mungu mwenyezi aliyeziumba mbingu na nchi na vitu vyote tuvionavyo na tusivyo viona,

Simu zetu zimekuwa karibu zaidi kuliko vitabu vitakatifu vya Mungu, Upatapo muda soma maandiko ili kujiweka karibu na Muumba wako, Ubarikiwe sana.
 
images (3).jpg
images (4).jpg
 
Back
Top Bottom