Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Achukue hii gari iko poa sana πππKama pesa uko nayo bank naweza kukupa hii spacio chassis number. Ukasajili mwenyewe tu. Engine ndogo wese inanusa tu. 1490cc
View attachment 2479811View attachment 2479812
Lipia 15M tu bei ya January.
"Best Price Used TOYOTA WISH for Sale - Japanese Used Cars BE FORWARD" Best Price Used TOYOTA WISH for Sale - Japanese Used Cars BE FORWARDMwenye picha ya toyota wish new model aniwekee hapa.
Ahsante
Kuagiza gari ni gharama..sababu upo mkoani hata ukinunua gari Dar utakuwa umeagiza.. Kwa bajeti yako na mazingira uliyopo ni bora uagize gari kutoka Dar es Salaam.. Ukisema uagize toka Japan hiyo hela yote itaishia kwenye meli na kodi..!Extrovert na ndugu zote wa JF, nitashukuru kwa miongozo yenu.
Am good at several things ila kiukweli katika magari sio mjanja kama nyie.
Thank u boss."Best Price Used TOYOTA WISH for Sale - Japanese Used Cars BE FORWARD" Best Price Used TOYOTA WISH for Sale - Japanese Used Cars BE FORWARD
Hahaha mkuu acha mambo ya awamu ya 5, kuna comfortability gani kwenye toyota ya 18M bhana.Gari is all about taste na wewe unahitaji nini?
Do you want economy?
Do you want comfortability?
Do you want reliability?
Do you want performance & driving dynamics?
Ahhahha watawema ni movie
PQmoja mkuuNapendekeza upate Toyota Primio mkuu, ukipata yenye 1NZ itapendeza zaidi maana ni economical
Pia kwenye pesa yako hiyo chenchi kidogo itabaki utanywea biaView attachment 2479976
Daah aisee basi tufanye atupe hiyo 1.5M mimi 500k na wewe 500k. Huenda wakajitokeza wengine hata watano hao tutawapa 100k kila mmoja.Akikupatia niombee na mimi 500k nilipe kodi week ijayo hawezi kosa gari la 17M
Amesema gari sio bajaji.Toyota Rumion..
AiseeAmesema gari sio bajaji.
Naitoa kwa 15M tu mkuu, sina tamaa.
Utani tu chief...katika gari ambalo huwa silikubali ni rumion na nissan juke π πAisee
Hata mimi sizipendi..Utani tu chief...katika gari ambalo huwa silikubali ni rumion na nissan juke π π