Maraga asajili kesi ya dharula dhidi ya uchaguzi, Raila awa mpole ghafla...kunanii

Maraga asajili kesi ya dharula dhidi ya uchaguzi, Raila awa mpole ghafla...kunanii

Maadamu D.Trump ni Raisi wa USA hakuna Vita itatokea Kenya wala Afrika, aliyekuwa anachochea na kuleta Vita Afrika ni Obama na Clinton, hawa ndiyo devils waliomuua Gadafi hata Vita ya Kenya 2007 ni Obama ndiyo aliyoleta!

Sasa hivi kuna Amani Duniani baada ya Obama kuondoka, Isis kwisha, Boko haramu kwisha, Kony Uganda kwisha hata Kongo na Burundi zimetulia!
Amesali na kuomba au kaongea nao
 
Jaji Mkuu wa Kenya ajiangalie sana.Nchi hiyo ikiingia machafukoni lawama zitakuwa zake.Alikosea toka mwanzo kufuta uchaguzi
Kwa iyo angeacha tu despite clear evidence za ukora.
Mnashangaza ujue
 
Servers hazijafunguliwa bhana wacha kujitetea uongo hapa, aende iebc wakati nowadays dunia kijiji.
Servers zimefunguliwa acha ujuaji ata NASA walikiri though walisema imefunguliwa kuchelewa
 
Mbona hamtaki kuosha IEBC mnataka kurudia tu kura vile ilivyo!!!

Alafu Governmet ina declare
Wednesday

Na

Thursday ilikufanya supreme court isimeet wednesday...

Ili muingishe ile law ya election wednesday usiku Thursday kuwe na Kura by the time ina kuwa announced hakuna chance ya ammendments ........
Hivi hii kitu imekaaje? Leo Wednesday ni mapumziko. Na kuna kesi inatakiwa isajiliwe sasa itawezekana kweli kusimamisha uchaguz. !!!
 
Kenya Constitution doesn't allow any of its laws to be challenged in any court as per Kenya Constitution 2. (3) “The validity or legality of this Constitution is not subject to challenge by or before any court or other State organ.”
The case currently taken to court challenges the validity and legality of constitution law 140 (3) Election date. If the Supreme Court extends the 60 days period set, then the Court can legally also extend the 14 days set for hearing a presidential petition, the 7 days for filing a presidential petition and other fixed dates in the Constitution.
Kenya Constitution further forbids any person or body establishing anything that will have the force of law in Kenya Constitution article 94 (5), “No person or body, other than Parliament, has the power to make provision having the force of law in Kenya except under authority conferred by this Constitution or by legislation.”
Kwa hiyo hao wanasheria wote huko Kenya walioamua kwenda mahakamani jana hawaijui hiyo katiba ya Kenya zaidi yako?, huyo CJ aliyeipokea na kukubali kulisikiliza hilo shauri haijui hiyo katiba ya Kenya zaidi yako?, wale mabalozi wote wa nchi za magharibi waliotoa wazo na kuwaambia wanaotaka kusimamisha uchaguzi hawaijui katiba zaidi yako?

Hivi katiba ya Kenya inaruhusu 1)Rushwa, 2)Tribalism, 3)Police killings with impunity, 4)Vote irregularity and illigality?. Hivi kwanini kila kitu unataja Kenya constitution as if it is holy book like bible and Quran?.

One among useless constitution in Africa is your constitution, regardless how good it is. A useful constitution must address and give answers and solutions to people's problems and challenges, not to restrict people and leaders from taking action, apart from allowing election results to be challenged, what other positive things Kenya's constitution has done to help Kenyans?, people are being killed every day like flies and tribalism is getting worse but you keep on mentioning constitution daily.
 
And your best constitution why has it failed to stop albino killings and poverty?? You're acting as if these things don't happen in the best democracies in the world....what's different from tribalism in Kenya and racism in the US?
 
Umeandika kishabiki sana nafatilia sana matukio ya uchaguzi wa Kenya, sijaona wala kusikia hayo uliyoyasema kuhusu ubalozi wa marekani maana Jana nimesikia press conference ya mabalozi walisema ni haki ya watu Ku picket lakini wasizuie watu kuvote,

UTAKUA MKIKUYU AU MKALENJIN
 
Raila amekua akiahidi moto na kwamba kutakua na maandamano hayajawahi kutokea kwenye historia ya nchi hii, hapo mnamo tarehe 26 mwezi huu. Amekua akitema cheche na kuweka Wakenya wote kwenye mkao wa mapambano.
Poleni sana, uroho wa madaraka wa viongozi wa Kiafrika unatisha, hawajali raia, wao ni "Raila" au "Kenyatta" wanataka nini, wapate nini! Au Hata damu ikimwagika kwao poa tu, inasikitisha sana, kila kheri Wakenya, ila imefika muda ikiwezekana muabwage wote ikiwezekana, haikubaliki kibinadamu...
 
And your best constitution why has it failed to stop albino killings and poverty?? You're acting as if these things don't happen in the best democracies in the world....what's different from tribalism in Kenya and racism in the US?
No body or a country claims that its constitution is the best apart from Kenya, we all know that our constitution are men made and must have some shortcomings which needs to be challenged and changed when necessary, but you always bragging that it is the best and untouchable.

My free advice to you Kenyans, you should go back to the drawing table and revisit your new constitution if really saves the purposes you expected, you should first identify your problems like tribalism, corruption, land ownership, then you should come with a constitution which is going to address unique challenges which face Kenya, for Kenya one man one vote system of voting needs to be upgraded.
 
Isn't it a fact...everyone knows that Kenya has one of the best constitutions in Africa. Your opinion doesn't invalidate the fact
 
Isn't it a fact...everyone knows that Kenya has one of the best constitutions in Africa. Your opinion doesn't invalidate the fact
But is fact too Kenya has the most useless constitution which can't help Kenyans, to prove this, already your Parliament in collaboration with Uhuru Kenyatta are starting making changes of constitution.
Kenya economy is getting bad yearly, Tribalismm, corruption, hunger, killings all are getting worse, if that is the meaning of best constitution, then better it remains within Kenyan's Territory
 
Servers zimefunguliwa acha ujuaji ata NASA walikiri though walisema imefunguliwa kuchelewa
Hazijafunguliwa, me siishi Kenya, ila nipo mkoa wa mpakani. So naifuatilia vizuri sana. Servers hazijafunguliwa.
Ngoja nitamwuliza Samuel999
 
Kesho mahakama inatangaza No election
Ila wenzenu Jubilee wanajiandaa na uchaguzi, mahakama ikienda kinyume na matakwa yako Jubilee imeshashinda kabla hata kura hazijapigwa.

Hata tusio Wakenya tunaona Kenyatta anazunguka kuomba kura huku Odinga anazunguka kuzuia uchaguzi halafu mwisho wa siku mseme Kenyatta kaiba kura?
Stupidity.
 
Maadamu D.Trump ni Raisi wa USA hakuna Vita itatokea Kenya wala Afrika, aliyekuwa anachochea na kuleta Vita Afrika ni Obama na Clinton, hawa ndiyo devils waliomuua Gadafi hata Vita ya Kenya 2007 ni Obama ndiyo aliyoleta!

Sasa hivi kuna Amani Duniani baada ya Obama kuondoka, Isis kwisha, Boko haramu kwisha, Kony Uganda kwisha hata Kongo na Burundi zimetulia!
Hakuna wakati Republicans wamewahi kuwa na urafiki na African's!! Huwa wanajijua na America yao si vinginevyo

Ma Democrat's angalau wanashirikiana dunia nyingine mifano ipo.
 
Back
Top Bottom