Maraga asajili kesi ya dharula dhidi ya uchaguzi, Raila awa mpole ghafla...kunanii

Maraga asajili kesi ya dharula dhidi ya uchaguzi, Raila awa mpole ghafla...kunanii

Raila amekua akiahidi moto na kwamba kutakua na maandamano hayajawahi kutokea kwenye historia ya nchi hii, hapo mnamo tarehe 26 mwezi huu. Amekua akitema cheche na kuweka Wakenya wote kwenye mkao wa mapambano.

- Jana Marekani wakamwonya kwamba asizue vurugu na aheshimu tume ya uchaguzi
- Ghafla leo Raila akageuza gia angani na kusema hajawahi agiza maandamo yoyote siku ya uchaguzi na kwamba wafuasi wake wabaki nyumbani huku wakiwa watulivu na kuzingatia amani (maneno ya ajabu ambayo nimeshangaa yanamtoka mdomoni)
- Ghafla jaji mkuu amesajili kesi ya dharula ya kusitisha uchaguzi wa kesho kutwa

Sasa kwa wadadisi wa masuala ya kisiasa, itakua Raila alipata fununu ya hatua hizi za Maraga? Au kuna nini nyuma ya pazia. Nchi hii bana, yetu macho ilmradi msiichome maana tumeijenga tofali kwa tofali, bati kwa bati.
MK254 Raila hajasema watu wasigome media houses ndio zinaweka maneno kwa midomo yake fwata katibu wa NASA Norman Magaya twitter uone ...

Pope alisema anataka constructive dialogue

Media ikasema pope ameombea "peacefull election"

Raila akasema haja sema chochote kuhusu 26th

Media ikaamka na ku twist story kuwa Raila amesitisha migomo!!!

Everyone in Kenya has been bought!!!

Toka Ambassadors

For ambassadors its understandable since their countries might be against Raila but for For media.....just shame ...

Fwata watu kama
Ken Mijungu uone wanavyo sema kuhusu wenzao ......kila mtu amenunuliwa!!
 
Mbna unataka tuende nje ya mipaka ya katiba? Katiba inasema uchaguzi ukitupiliwa mbali ufanyike ndani ya siku 60 sidhani walio na hoja ya uchaguzi kufutwa ni kwa maslahi ya nchi hii.........hata hivo sidhani supreme court inaeza airisha uchaguzi bila iebc wenyewe kuomba kuongezewa muda. Kuna issue ya iebc independence na tena kuna hii issue ya court kazi yake ni kutafsiri sheria ila haiezi tunga sheria...mahakama haiezi kukinzana na katiba
Mbona hamtaki kuosha IEBC mnataka kurudia tu kura vile ilivyo!!!

Alafu Governmet ina declare
Wednesday

Na

Thursday ilikufanya supreme court isimeet wednesday...

Ili muingishe ile law ya election wednesday usiku Thursday kuwe na Kura by the time ina kuwa announced hakuna chance ya ammendments ........
 
Huyu Maraga anataka kuua watu huyu!
Nyamaza idiot!!!

A dictator will make you believe those fighting or advocating against him to be the states enemy and to be the one causing you suffering!!

Maraga is doing everytging by the law

Ambieni
Iebc na jubilee waandae kura ya Haki na ya Ukweli uone kama kutakua na shida...

Kuiba kura ndio imeleta haya yote msianze kusema oooh ama ooh...

Raila ashinde asishinde Kuiba kura ndio imesababisha haya yote

Mpaka wakuu wa tume ya kura wamesema kweli kura iliibiwa 8th agosti...

Waandae kura ya haki hakutakuwa na haua yote!!!
 
Raila amekua akiahidi moto na kwamba kutakua na maandamano hayajawahi kutokea kwenye historia ya nchi hii, hapo mnamo tarehe 26 mwezi huu. Amekua akitema cheche na kuweka Wakenya wote kwenye mkao wa mapambano.

- Jana Marekani wakamwonya kwamba asizue vurugu na aheshimu tume ya uchaguzi
- Ghafla leo Raila akageuza gia angani na kusema hajawahi agiza maandamo yoyote siku ya uchaguzi na kwamba wafuasi wake wabaki nyumbani huku wakiwa watulivu na kuzingatia amani (maneno ya ajabu ambayo nimeshangaa yanamtoka mdomoni)
- Ghafla jaji mkuu amesajili kesi ya dharula ya kusitisha uchaguzi wa kesho kutwa

Sasa kwa wadadisi wa masuala ya kisiasa, itakua Raila alipata fununu ya hatua hizi za Maraga? Au kuna nini nyuma ya pazia. Nchi hii bana, yetu macho ilmradi msiichome maana tumeijenga tofali kwa tofali, bati kwa bati.
Mwenye kuleta taabu hii yote ni Kenyata kwa sababu aliiba kura na matokeo yakafutwa na mahakama kuu.
 
Mkuu MK254, mawaombea amani ninyi majirani zetu. Haya mambo ya uchaguzi yaishe salama as per katiba yenu!
 
Maraga na raila wanafahamiana hapo ni nusu mkate tu raila atatulia
He is the only guy that keeps check n balance in ur country. Ur Parliament is already partisan n if u r to have election on 26 u might have session!
 
Mwenye kuleta taabu hii yote ni Kenyata kwa sababu aliiba kura na matokeo yakafutwa na mahakama kuu.
Una ushahidi upi kura ziliibiwa??......ironically Yule commissioner aliyekimbilia marekani alisema uchaguzi uliofutwa ulkua wa haki na ulionesha will ya wakenya
 
Una ushahidi upi kura ziliibiwa??......ironically Yule commissioner aliyekimbilia marekani alisema uchaguzi uliofutwa ulkua wa haki na ulionesha will ya wakenya
Funguwa servers tuone.
 
Mwenye kuleta taabu hii yote ni Kenyata kwa sababu aliiba kura na matokeo yakafutwa na mahakama kuu.

Mkaiba na yeye?

He is the only guy that keeps check n balance in ur country. Ur Parliament is already partisan n if u r to have election on 26 u might have session!
So parliament should support Him so as not to be partisan? Democracy is where majority have their way, while the minority their say...Nasa is noisy but the day will be Jubilee's to carry home.
 
Kwa mfano hata kama taratibu na sheria za kuendesha uchaguzi kama zilivyotajwa ndani ya katiba hazijatimizwa ndani ya hizo siku 60 uchaguzi ni lazima ufanyike hivyo hivyo?, ungemsikiliza balozi wa Marekani jana alipokuwa anazungumza kwa niaba ya mabalozi wenzake wa nchi za magharibi alishauri kwamba wanaotaka uchaguzi usimamishwe waende mahakamani wakajenge hoja sio kufanya fujo.
Kenya Constitution doesn't allow any of its laws to be challenged in any court as per Kenya Constitution 2. (3) “The validity or legality of this Constitution is not subject to challenge by or before any court or other State organ.”
The case currently taken to court challenges the validity and legality of constitution law 140 (3) Election date. If the Supreme Court extends the 60 days period set, then the Court can legally also extend the 14 days set for hearing a presidential petition, the 7 days for filing a presidential petition and other fixed dates in the Constitution.
Kenya Constitution further forbids any person or body establishing anything that will have the force of law in Kenya Constitution article 94 (5), “No person or body, other than Parliament, has the power to make provision having the force of law in Kenya except under authority conferred by this Constitution or by legislation.”
 
Mbona hamtaki kuosha IEBC mnataka kurudia tu kura vile ilivyo!!!

Alafu Governmet ina declare
Wednesday

Na

Thursday ilikufanya supreme court isimeet wednesday...

Ili muingishe ile law ya election wednesday usiku Thursday kuwe na Kura by the time ina kuwa announced hakuna chance ya ammendments ........
The constitution is non negotiable we jua tu ivo
 
Nawaombea ndugu zetu waKenya,mfikie tamati ya jambo hili na mpate muafaka mbaki na Amani nchini mwenu.
Mungu awe pamoja nanyi.
 
Maadamu D.Trump ni Raisi wa USA hakuna Vita itatokea Kenya wala Afrika, aliyekuwa anachochea na kuleta Vita Afrika ni Obama na Clinton, hawa ndiyo devils waliomuua Gadafi hata Vita ya Kenya 2007 ni Obama ndiyo aliyoleta!

Sasa hivi kuna Amani Duniani baada ya Obama kuondoka, Isis kwisha, Boko haramu kwisha, Kony Uganda kwisha hata Kongo na Burundi zimetulia!

Sijui ni kongo ipi au Uganda ipi unayoiongelea
 
Wakenya walinde Amani ya nchi yao wasije kukubali siasa ziharibu nchi yao
 
Jaji Mkuu wa Kenya ajiangalie sana.Nchi hiyo ikiingia machafukoni lawama zitakuwa zake.Alikosea toka mwanzo kufuta uchaguzi
 
Back
Top Bottom