Ghosryder
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 10,403
- 4,373
Huyu Maraga anataka kuua watu huyu!wewe umeelewa vizuri sana..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Maraga anataka kuua watu huyu!wewe umeelewa vizuri sana..
MK254 Raila hajasema watu wasigome media houses ndio zinaweka maneno kwa midomo yake fwata katibu wa NASA Norman Magaya twitter uone ...Raila amekua akiahidi moto na kwamba kutakua na maandamano hayajawahi kutokea kwenye historia ya nchi hii, hapo mnamo tarehe 26 mwezi huu. Amekua akitema cheche na kuweka Wakenya wote kwenye mkao wa mapambano.
- Jana Marekani wakamwonya kwamba asizue vurugu na aheshimu tume ya uchaguzi
- Ghafla leo Raila akageuza gia angani na kusema hajawahi agiza maandamo yoyote siku ya uchaguzi na kwamba wafuasi wake wabaki nyumbani huku wakiwa watulivu na kuzingatia amani (maneno ya ajabu ambayo nimeshangaa yanamtoka mdomoni)
- Ghafla jaji mkuu amesajili kesi ya dharula ya kusitisha uchaguzi wa kesho kutwa
Sasa kwa wadadisi wa masuala ya kisiasa, itakua Raila alipata fununu ya hatua hizi za Maraga? Au kuna nini nyuma ya pazia. Nchi hii bana, yetu macho ilmradi msiichome maana tumeijenga tofali kwa tofali, bati kwa bati.
Mbona hamtaki kuosha IEBC mnataka kurudia tu kura vile ilivyo!!!Mbna unataka tuende nje ya mipaka ya katiba? Katiba inasema uchaguzi ukitupiliwa mbali ufanyike ndani ya siku 60 sidhani walio na hoja ya uchaguzi kufutwa ni kwa maslahi ya nchi hii.........hata hivo sidhani supreme court inaeza airisha uchaguzi bila iebc wenyewe kuomba kuongezewa muda. Kuna issue ya iebc independence na tena kuna hii issue ya court kazi yake ni kutafsiri sheria ila haiezi tunga sheria...mahakama haiezi kukinzana na katiba
Nyamaza idiot!!!Huyu Maraga anataka kuua watu huyu!
Mwenye kuleta taabu hii yote ni Kenyata kwa sababu aliiba kura na matokeo yakafutwa na mahakama kuu.Raila amekua akiahidi moto na kwamba kutakua na maandamano hayajawahi kutokea kwenye historia ya nchi hii, hapo mnamo tarehe 26 mwezi huu. Amekua akitema cheche na kuweka Wakenya wote kwenye mkao wa mapambano.
- Jana Marekani wakamwonya kwamba asizue vurugu na aheshimu tume ya uchaguzi
- Ghafla leo Raila akageuza gia angani na kusema hajawahi agiza maandamo yoyote siku ya uchaguzi na kwamba wafuasi wake wabaki nyumbani huku wakiwa watulivu na kuzingatia amani (maneno ya ajabu ambayo nimeshangaa yanamtoka mdomoni)
- Ghafla jaji mkuu amesajili kesi ya dharula ya kusitisha uchaguzi wa kesho kutwa
Sasa kwa wadadisi wa masuala ya kisiasa, itakua Raila alipata fununu ya hatua hizi za Maraga? Au kuna nini nyuma ya pazia. Nchi hii bana, yetu macho ilmradi msiichome maana tumeijenga tofali kwa tofali, bati kwa bati.
Raila amekua akiahidi moto na kwamba kutakua na maandamano hayajawahi kutokea kwenye historia ya nchi hii, hapo mnamo tarehe 26 mwezi huu. Amekua akitema cheche na kuweka Wakenya wote kwenye mkao wa mapambano.
- Jana Marekani wakamwonya kwamba asizue vurugu na aheshimu tume ya uchaguzi
- Ghafla leo Raila akageuza gia angani na kusema hajawahi agiza maandamo yoyote siku ya uchaguzi na kwamba wafuasi wake wabaki nyumbani huku wakiwa watulivu na kuzingatia amani (maneno ya ajabu ambayo nimeshangaa yanamtoka mdomoni)
- Ghafla jaji mkuu amesajili kesi ya dharula ya kusitisha uchaguzi wa kesho kutwa
Sasa kwa wadadisi wa masuala ya kisiasa, itakua Raila alipata fununu ya hatua hizi za Maraga? Au kuna nini nyuma ya pazia. Nchi hii bana, yetu macho ilmradi msiichome maana tumeijenga tofali kwa tofali, bati kwa bati.
He is the only guy that keeps check n balance in ur country. Ur Parliament is already partisan n if u r to have election on 26 u might have session!Maraga na raila wanafahamiana hapo ni nusu mkate tu raila atatulia
Una ushahidi upi kura ziliibiwa??......ironically Yule commissioner aliyekimbilia marekani alisema uchaguzi uliofutwa ulkua wa haki na ulionesha will ya wakenyaMwenye kuleta taabu hii yote ni Kenyata kwa sababu aliiba kura na matokeo yakafutwa na mahakama kuu.
Funguwa servers tuone.Una ushahidi upi kura ziliibiwa??......ironically Yule commissioner aliyekimbilia marekani alisema uchaguzi uliofutwa ulkua wa haki na ulionesha will ya wakenya
Mwenye kuleta taabu hii yote ni Kenyata kwa sababu aliiba kura na matokeo yakafutwa na mahakama kuu.
So parliament should support Him so as not to be partisan? Democracy is where majority have their way, while the minority their say...Nasa is noisy but the day will be Jubilee's to carry home.He is the only guy that keeps check n balance in ur country. Ur Parliament is already partisan n if u r to have election on 26 u might have session!
Enda iebc ukiona servers hazijafunguliwa nakulipaFunguwa servers tuone.
Kenya Constitution doesn't allow any of its laws to be challenged in any court as per Kenya Constitution 2. (3) “The validity or legality of this Constitution is not subject to challenge by or before any court or other State organ.”Kwa mfano hata kama taratibu na sheria za kuendesha uchaguzi kama zilivyotajwa ndani ya katiba hazijatimizwa ndani ya hizo siku 60 uchaguzi ni lazima ufanyike hivyo hivyo?, ungemsikiliza balozi wa Marekani jana alipokuwa anazungumza kwa niaba ya mabalozi wenzake wa nchi za magharibi alishauri kwamba wanaotaka uchaguzi usimamishwe waende mahakamani wakajenge hoja sio kufanya fujo.
The constitution is non negotiable we jua tu ivoMbona hamtaki kuosha IEBC mnataka kurudia tu kura vile ilivyo!!!
Alafu Governmet ina declare
Wednesday
Na
Thursday ilikufanya supreme court isimeet wednesday...
Ili muingishe ile law ya election wednesday usiku Thursday kuwe na Kura by the time ina kuwa announced hakuna chance ya ammendments ........
Maadamu D.Trump ni Raisi wa USA hakuna Vita itatokea Kenya wala Afrika, aliyekuwa anachochea na kuleta Vita Afrika ni Obama na Clinton, hawa ndiyo devils waliomuua Gadafi hata Vita ya Kenya 2007 ni Obama ndiyo aliyoleta!
Sasa hivi kuna Amani Duniani baada ya Obama kuondoka, Isis kwisha, Boko haramu kwisha, Kony Uganda kwisha hata Kongo na Burundi zimetulia!
Dingi anapenda nusu mkate huyo[emoji3] [emoji3] [emoji3]Maraga na raila wanafahamiana hapo ni nusu mkate tu raila atatulia