Samaki Singa
Senior Member
- Nov 20, 2016
- 191
- 194
Amesali na kuomba au kaongea naoMaadamu D.Trump ni Raisi wa USA hakuna Vita itatokea Kenya wala Afrika, aliyekuwa anachochea na kuleta Vita Afrika ni Obama na Clinton, hawa ndiyo devils waliomuua Gadafi hata Vita ya Kenya 2007 ni Obama ndiyo aliyoleta!
Sasa hivi kuna Amani Duniani baada ya Obama kuondoka, Isis kwisha, Boko haramu kwisha, Kony Uganda kwisha hata Kongo na Burundi zimetulia!
Servers hazijafunguliwa bhana wacha kujitetea uongo hapa, aende iebc wakati nowadays dunia kijiji.Enda iebc ukiona servers hazijafunguliwa nakulipa
Kwa iyo angeacha tu despite clear evidence za ukora.Jaji Mkuu wa Kenya ajiangalie sana.Nchi hiyo ikiingia machafukoni lawama zitakuwa zake.Alikosea toka mwanzo kufuta uchaguzi
Servers zimefunguliwa acha ujuaji ata NASA walikiri though walisema imefunguliwa kuchelewaServers hazijafunguliwa bhana wacha kujitetea uongo hapa, aende iebc wakati nowadays dunia kijiji.
We jamaa sijui unaishi Kenya ganiServers hazijafunguliwa bhana wacha kujitetea uongo hapa, aende iebc wakati nowadays dunia kijiji.
Hivi hii kitu imekaaje? Leo Wednesday ni mapumziko. Na kuna kesi inatakiwa isajiliwe sasa itawezekana kweli kusimamisha uchaguz. !!!Mbona hamtaki kuosha IEBC mnataka kurudia tu kura vile ilivyo!!!
Alafu Governmet ina declare
Wednesday
Na
Thursday ilikufanya supreme court isimeet wednesday...
Ili muingishe ile law ya election wednesday usiku Thursday kuwe na Kura by the time ina kuwa announced hakuna chance ya ammendments ........
Sasa mahakama inafanya kazi siku ya mapumziko??Kesho mahakama inatangaza No election
Kwa hiyo hao wanasheria wote huko Kenya walioamua kwenda mahakamani jana hawaijui hiyo katiba ya Kenya zaidi yako?, huyo CJ aliyeipokea na kukubali kulisikiliza hilo shauri haijui hiyo katiba ya Kenya zaidi yako?, wale mabalozi wote wa nchi za magharibi waliotoa wazo na kuwaambia wanaotaka kusimamisha uchaguzi hawaijui katiba zaidi yako?Kenya Constitution doesn't allow any of its laws to be challenged in any court as per Kenya Constitution 2. (3) “The validity or legality of this Constitution is not subject to challenge by or before any court or other State organ.”
The case currently taken to court challenges the validity and legality of constitution law 140 (3) Election date. If the Supreme Court extends the 60 days period set, then the Court can legally also extend the 14 days set for hearing a presidential petition, the 7 days for filing a presidential petition and other fixed dates in the Constitution.
Kenya Constitution further forbids any person or body establishing anything that will have the force of law in Kenya Constitution article 94 (5), “No person or body, other than Parliament, has the power to make provision having the force of law in Kenya except under authority conferred by this Constitution or by legislation.”
And your best constitution why has it failed to stop albino killings and poverty?? You're acting as if these things don't happen in the best democracies in the world....what's different from tribalism in Kenya and racism in the US?Kwa hiyo hao wanasheria wote huko Kenya walioamua kwenda mahakamani jana hawaijui hiyo katiba ya Kenya zaidi yako?, huyo CJ aliyeipokea na kukubali kulisikiliza hilo shauri haijui hiyo katiba ya Kenya zaidi yako?, wale mabalozi wote wa nchi za magharibi waliotoa wazo na kuwaambia wanaotaka kusimamisha uchaguzi hawaijui katiba zaidi yako?
Hivi katiba ya Kenya inaruhusu 1)Rushwa, 2)Tribalism, 3)Police killings with impunity, 4)Vote irregularity and illigality?. Hivi kwanini kila kitu unataja Kenya constitution as if it is holy book like bible and Quran?.
One among useless constitution in Africa is your constitution, regardless how good it is. A useful constitution must address and give answers and solutions to people's problems and challenges, not to restrict people and leaders from taking action, apart from allowing election results to be challenged, what other positive things Kenya's constitution has done to help Kenyans?, people are being killed every day like flies and tribalism is getting worse but you keep on mentioning constitution daily.
Poleni sana, uroho wa madaraka wa viongozi wa Kiafrika unatisha, hawajali raia, wao ni "Raila" au "Kenyatta" wanataka nini, wapate nini! Au Hata damu ikimwagika kwao poa tu, inasikitisha sana, kila kheri Wakenya, ila imefika muda ikiwezekana muabwage wote ikiwezekana, haikubaliki kibinadamu...Raila amekua akiahidi moto na kwamba kutakua na maandamano hayajawahi kutokea kwenye historia ya nchi hii, hapo mnamo tarehe 26 mwezi huu. Amekua akitema cheche na kuweka Wakenya wote kwenye mkao wa mapambano.
No body or a country claims that its constitution is the best apart from Kenya, we all know that our constitution are men made and must have some shortcomings which needs to be challenged and changed when necessary, but you always bragging that it is the best and untouchable.And your best constitution why has it failed to stop albino killings and poverty?? You're acting as if these things don't happen in the best democracies in the world....what's different from tribalism in Kenya and racism in the US?
Isn't it a fact...everyone knows that Kenya has one of the best constitutions in Africa. Your opinion doesn't invalidate the factNo body or a country claims that its constitution is the best apart from Kenya, we all know that our constitution are men made and must have some shortcomings which needs to be challenged and changed when necessary, but you always bragging that it is the best and untouchable.
My free advice to you Kenyans, you should go back to the drawing table and revisit your new constitution if really saves the purposes you expected, you should first identify your problems like tribalism, corruption, land ownership, then you should come with a constitution which is going to address unique challenges which face Kenya, for Kenya one man one vote system of voting needs to be upgraded.
But is fact too Kenya has the most useless constitution which can't help Kenyans, to prove this, already your Parliament in collaboration with Uhuru Kenyatta are starting making changes of constitution.Isn't it a fact...everyone knows that Kenya has one of the best constitutions in Africa. Your opinion doesn't invalidate the fact
Hazijafunguliwa, me siishi Kenya, ila nipo mkoa wa mpakani. So naifuatilia vizuri sana. Servers hazijafunguliwa.Servers zimefunguliwa acha ujuaji ata NASA walikiri though walisema imefunguliwa kuchelewa
Ila wenzenu Jubilee wanajiandaa na uchaguzi, mahakama ikienda kinyume na matakwa yako Jubilee imeshashinda kabla hata kura hazijapigwa.Kesho mahakama inatangaza No election
In sensitive emergency case mahakama inaweza kukakaa hata night court.Sasa mahakama inafanya kazi siku ya mapumziko??
Hakuna wakati Republicans wamewahi kuwa na urafiki na African's!! Huwa wanajijua na America yao si vinginevyoMaadamu D.Trump ni Raisi wa USA hakuna Vita itatokea Kenya wala Afrika, aliyekuwa anachochea na kuleta Vita Afrika ni Obama na Clinton, hawa ndiyo devils waliomuua Gadafi hata Vita ya Kenya 2007 ni Obama ndiyo aliyoleta!
Sasa hivi kuna Amani Duniani baada ya Obama kuondoka, Isis kwisha, Boko haramu kwisha, Kony Uganda kwisha hata Kongo na Burundi zimetulia!