Maraga asajili kesi ya dharula dhidi ya uchaguzi, Raila awa mpole ghafla...kunanii

Hata kura zifanyike Kesho Supreme Court bado itazitupilia nje



Wameogopa haya ndio maana leo wamejaribu kumuuwa Deputy chief Justice Philomena Mwilu ili asitokee kortini!!

Wakapepeta Gari lake marisasi hakua ndani ikauwa mchungaji wake .......

Wacha uchumu uanguke kama jubilee haichukulii
Wakamba
Waluo
Wakisii
Wamijikenda
Wapokomo
Wataita
Waluhya
Waturkana kama wakenya wacha uchumi irudi mpaka 20bn$ ndio tuheshimiane huku ndani


 
DCJ mwilu ndio walikuwa wana Target

KENYA imekuwa Kama Narcos Series

Kuuwa watu wasio na hatia ilikutuma messages kwa wengine

 
Saa hii Matatu sacco za Nairobi
Zinalipisha
Upto 7000kshs kupanda matatu kuenda Kisumu ama Kisii kakamega ama Migori
Na upto 2500/- kwa watu wanao enda kitui ama machakos ama makueni

Lakini wakikuyu wanao enda Nyeri, Muranga Kiambu ni free of charge yaani haulipo chochote kuenda huko 230kms away free....wanao enda eldoret wanalipa 40/-

Nairobi to Eldoret 40/-
305km
Nairobi to Kisii 3400/-
378km
Nairobi to Chuka 20/-
212km

Hvi ndio watutsi na wahutu rwanda walianza .....na Jubilee inapo peleka wakenya sio kuzuri

Shangilieni hapo kwa chuki zenu towards Raila zisizo kuwa na Sababu ila tu magufuli na Raila ni marafiki sasa unaona umepata reason ya kuweka comment yako hapa ya ufala ....

.....

Kenya haiki vizuri na Haitawai rudi unless kuwe na obidience of Rule of Law
Na pili watu wote walio uliwa na Polisi wapate Haki na Familia zao wawe wezi ama wawe peacefull demonstrators haufai kuuwa mtu!!!

Short of this ....

By 2022 Kenya haitakuwa moja tutagawanyika!!!

That is a fact!!
 

na wewe nunua gari zako uwabebe hao wajaluo na wakisii wenzako bure
 
Pôle Sana kwa jamii ya dereva aliyepoteza maisha.....Mungu aiweke roho yake pahali pema....
 
Anachotaka raila ni uchaguzi usifanyike nchi iende kwa care taker government Uhuru asiwe rais ,na hapo waingie wote kama wagombea wakawaida.
 
ata ushide uku ukibweka akuna siku uyu mtu atawai ongoza kenya.if u cant beat thm join them
 
Unafaa kupimwa mkojo wewe itakuwa una mimba. Huu umbea na kiherehere kutoka kwa mtz kwenye maswala ya Kenya, ambayo hayakuhusu, si kawaida kabisa.
Kenya nako mnapiwa?? Basi wewe tutakupima kama uko sawa hujaondolewa marinda ..inaonekana unavaa pampers sana hakuna marinda...
 
Na kesho kura zina pigwa. .akileta fujo ataambulia kichapo.
 

ICC ipo macho inammulika!!! lakini akipata kifungo The Hague kule atakuwa anakula vyakula vizuri na atapata huduma mzuri na za kisasa za hosipitali!!! Kuna jamaa wamemshtua kwani 2007/2008 alichomoka kimuujiza tu since alikuwa kiongozi wa zile vurugu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…