Marais 20 na wasaidizi wao Afrika wafanyiwa ujasusi

una ifahamu NSA??
je operation Prism?? ilikua revealed by Edward snowden fatilia kudukuliwa kwa sim ya Angel Markel + other European countries yote ayo yame fanyika kwa mda mrefu mpaka apo uyo whistlebrower Snowden alipo zungumza izo ishu

kwa hiyo si jambo geni kwa viongozi wa kiafrika kuchunguzwa ili hali una tumia device zao, huduma zao eg internet, Mails, Social networks karibia zote ziko under suveilance yote ayo yakifanywa na Nsa+ British agency yao..
 
Nilidhani umekuja na habari ya maana au mpya kumbe ni hii?

Obama alipokuja Tanzania ikulu ilikuwa chini ya Wamarekani na wageni wote sharti wao ndio watowe kibari na kuna mawaziri walikataliwa au umesahau?

Kama kudukuliwa anadukuliwa 'mpaka kansela wa Ujerumani ndio sembuse Waafrika?

Kwangu hamna jipya hapa.
 
Ahsante mkuu ila wanawezaje kuzuia. Je wakae kama lame duck ama tugutuke?
 
Hapa kama sijaelewa vile.
Chochote chaweza kutokea yaani. Wanaweza kutuhujumu, ama ku take advantage na kutusikiliza MAWASILIANO YETU kabla ya KUFANYA pengine MAKUBALIANO muhimu ya KIUCHUMI na hivyo KUTUJUA mapema na KUTUPIKU!
 
Too low from you, CIA na mashirika makubwa yote ya kijasusi wana wataalam wa lugha zote.

Tena mambo mengine google translate inayafanya kwa ufanisi kabisa.
Umesoma SOURCE ama unajibu tu.
It's NOT from me sir but rather from the source Le monde a respectable ......visit if you can read french sir.
 
Kudukuana ni kitu cha kawaida na kipo tangu dunia ianze! Na wala si kuwa na teknologia ndo unakuwa mdukuaji mzuri... mpaka saa hizi udukuaji kwa kutumia human intelligence ndo mzuri na unaongoza. Marekani walijaribu kutumia satelite pekee wakadunda ndo maana wameendelea kufadhili NGO kwa ajili hiyo kumbuka enzi za missionaries!!
 
Hao Jamaa wakitaka unfo Tanzania wala hawana haja ya ku dukua Mawasiliano ya Rais Mbona.
Hata kesho wakitaka info yetote ile wanaipata
Wataipate infor yetu mkuu. Hali sisi ni

wazalendo?
 
Mjumbe mwenzangu nina mashaka Sana na ulichoandika, Kwanza na mimi nakiri tuko nyumba ki technologia, hebu weka maelezo walau ya kuthibitisha kuwa hao watu wanatumia hiyo mitandao, mimi labda niseme wenzetu wameanza mapema mambo haya ingawa na sisi tumo licha ya kuwa Tanzania mambo yake hasa yanayohusu usalama huwa ni siri. Nimalizie kwa kusema tu watu kama Certified hackers wapo hata Tanzania na niwajuzi tu.
 
Kwa hiyo aache kutwanga re foni kwa clouds au?
 
Nilikua barabarani kushangilia ujio wa Obama pale getini nilishuhudia mawaziri wakivua viatu mikanda
 
Mkuu nimekupa source ya ku refer Le monde- Ufaransa
 
Analojia ndo inatumika sana hamna sana electronic communication kwa hili naipongeza Tanzania hasa JWTZ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…