Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
๐๐๐ฉ๐: ๐ ๐ธ๐๐๐ฎ๐ป๐ผ ๐๐ฎ ๐ก๐ถ๐๐ต๐ฎ๐๐ถ ๐๐ณ๐ฟ๐ถ๐ธ๐ฎ (๐๐ณ๐ฟ๐ถ๐ฐ๐ฎ ๐๐ป๐ฒ๐ฟ๐ด๐ ๐ฆ๐๐บ๐บ๐ถ๐) ๐ฎ๐ณ-๐ฎ๐ด ๐๐ฎ๐ป๐๐ฎ๐ฟ๐ถ, ๐ฎ๐ฌ๐ฎ๐ฑ
Tazama live Hapa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Nishati (Africa Energy Summit)
Utakaofanyika Jijini Dar es Salaam tarehe 27 โ 28 Januari, 2025.
Mkutano huu muhimu unaandaliwa kwa pamoja na Serikali ya Tanzania, Benki ya Dunia, na Benki ya Maendeleo ya Afrika.
Washiriki wakuu watakuwa:
- Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan
- Marais wa Nchi za Afrika 24
- Wawakilishi wa Wakuu wa Nchi na Serikali za Afrika 21
- Wakuu wa Taasisi za Kimataifa 6, wakiwemo Rais wa Benki ya Dunia, Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika, na Rais wa Taasisi ya Rockefeller
- Washirika wa Maendeleo 5
Tukio hili litarushwa live moja kwa moja kupitia link ifuatayo:
๐ Tazama Live Hapa:
View: https://www.youtube.com/live/o6bgARGZYwg?si=gP6Q41jhT7znTZxh
Au hapa:
View: https://youtu.be/tbw0W_AeUKk
Au unaweza Kujisajili pia hapa:
Advancing Africa's Energy Future at the Mission 300 Africa Energy Summit
Watch the event replay video. Heads of State commit to concrete plans to transform Africaโs energy sector, with strong backing from global partners
Muda wa kuanza: Saa 8:00 Asubuhi (EAT)
Usikose kutazama tukio hili kubwa linalolenga kubuni njia za kuwafikishia umeme watu milioni 300 barani Afrika ifikapo mwaka 2030!
AGENDA: