Marais 24 wa Afrika. Rais wa Bank ya Dunia, Rais wa Bank ya Afrika, n.k na Wengine 2600 kuhudhuria Mkutano Nishati Kesho

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415

๐—Ÿ๐—œ๐—ฉ๐—˜: ๐— ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—ก๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐˜๐—ถ ๐—”๐—ณ๐—ฟ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ (๐—”๐—ณ๐—ฟ๐—ถ๐—ฐ๐—ฎ ๐—˜๐—ป๐—ฒ๐—ฟ๐—ด๐˜† ๐—ฆ๐˜‚๐—บ๐—บ๐—ถ๐˜) ๐Ÿฎ๐Ÿณ-๐Ÿฎ๐Ÿด ๐—๐—ฎ๐—ป๐˜‚๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ, ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฑ​




Tazama live Hapa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Nishati (Africa Energy Summit)​



Utakaofanyika Jijini Dar es Salaam tarehe 27 โ€“ 28 Januari, 2025.

Mkutano huu muhimu unaandaliwa kwa pamoja na Serikali ya Tanzania, Benki ya Dunia, na Benki ya Maendeleo ya Afrika.

Washiriki wakuu watakuwa:
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan
  • Marais wa Nchi za Afrika 24
  • Wawakilishi wa Wakuu wa Nchi na Serikali za Afrika 21
  • Wakuu wa Taasisi za Kimataifa 6, wakiwemo Rais wa Benki ya Dunia, Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika, na Rais wa Taasisi ya Rockefeller
  • Washirika wa Maendeleo 5
Zaidi ya washiriki 2,600 wa ndani na nje ya Tanzania wamejisajili kwa ajili ya kushiriki.

Tukio hili litarushwa live moja kwa moja kupitia link ifuatayo:
๐Ÿ‘‰ Tazama Live Hapa:
View: https://www.youtube.com/live/o6bgARGZYwg?si=gP6Q41jhT7znTZxh
Au hapa:
View: https://youtu.be/tbw0W_AeUKk
Au unaweza Kujisajili pia hapa:
Muda wa kuanza: Saa 8:00 Asubuhi (EAT)

Usikose kutazama tukio hili kubwa linalolenga kubuni njia za kuwafikishia umeme watu milioni 300 barani Afrika ifikapo mwaka 2030!

AGENDA:











 

Attachments

  • 3.jpg
    422.7 KB · Views: 2
  • Screenshot_20250126_201237_Chrome.jpg
    369.4 KB · Views: 3
Asante Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ