Marais wa Tanzania ambao Hawajaacha Legacy Yoyote

Marais wa Tanzania ambao Hawajaacha Legacy Yoyote

1. Ally Hassan Mwinyi
2. Jakaya Mrisho Kikwete
3. Samia Suluhu Hassan

Ushauri: Kabla ya kumpa mtu kiti cha urais, apimwe IQ yake kwanza.
1. Ally Hassan Mwinyi - Three Wives - Extended family atafanyaje kazi ya Urais
2. Jakaya Mrisho Kikwete - Two Wives na extended family
3. Samia Suluhu Hassan - Married at 17, as a third wife

Jamani kazi ya Urais si ya kawaida, ni ngumu, sisi ndiyo wa kulaumiwa, wala siyo wao, wao wanasema wame pewa na Allah hiyo kazi siyo sisi
 
WAISLAMU BILA KIWATAFUTIA UHURU MGEUPATAJE?

WALIMPOKEA HUYO MSHAMBA KUTOKA MUSOMA NA KUMPA KILA KITU BAADAE ANADAI UHURU KAUTAFUTA YEYE


NB.

KIJANA LINDA UHAI WAKO KATAA MAANDAMANO UNA FAMILIA INAKUTEGEMEA
Uhuru haukutafutwa, uhuru ulitolewa tu. Hakuna mchango wowote wa mashehe ubwabwa kwenye hili, ni porojo tu.
 
WAISLAMU BILA KIWATAFUTIA UHURU MGEUPATAJE?

WALIMPOKEA HUYO MSHAMBA KUTOKA MUSOMA NA KUMPA KILA KITU BAADAE ANADAI UHURU KAUTAFUTA YEYE


NB.

KIJANA LINDA UHAI WAKO KATAA MAANDAMANO UNA FAMILIA INAKUTEGEMEA
Unajua historia huwa inasahaulika hao waislamu tunatakiwa tu wa acknowledge kwa jitihata zao. Lakini vilevile kama kuna mahali wamekosea inabidi tuwaambie vilevile....
 
1. Ally Hassan Mwinyi
2. Jakaya Mrisho Kikwete
3. Samia Suluhu Hassan

Ushauri: Kabla ya kumpa mtu kiti cha urais, apimwe IQ yake kwanza.

Mimi ni muislamu lakini napenda Kanisa Katoliki siyo wanafiki wanazungumza juu ya haki na uzalendo wa Taifa hili.

Marais wote wanaotokana na Kanisa Katoliki huwa ni wazalendo na wanapenda haki juu ya nchi hii

Adui wa Muislamu ni Muislamu mwenyewe Hawa BAKWATA nashauri hichi chombo kifutwe tutafute chombo kingine cha kuwasemea waislamu juu ya haki, waislamu WENZETU tarehe 29 Oktoba walifuatwa msikitini wakapigwa risasi ya vichwa na mbaya zaidi wakawafukia kibabe lakini Mufti wetu Wala hajasema chochote kakaa kimya anakula Mema ya nchi.

Sawa Bwana, duniani wote tunapita tunamuachia MUNGU
 
Ukweli nilikuwa sijui chuki zilizojificha dhidi ya uislamu Hadi ,Wala huu ndo nimejua.......hatari sana. Niliamini upande huo watu wako vizuri sana kutokana na hizi propaganda za "kwenda shule".

Pamoja na yote yanayoendelea ya chuki zinazosambazwa kwa nguvu zote, wivu na Kila aina ya hila, Mimi ninaamini hakuna Raisi ambaye ataacha maendeleo makubwa kama Samia......muda utaongea;
1. Ya magufuli yote kamaliza
2. Jangwani panapowasumbua tangu uhuru hapo panaisha
3. Elimu, sina la kusema kazi inaonekana na hata haters wanapiga makofi wakiwa vyumbani mwao
4. Usafirishaji kwa ujumla, safi.

Mpaka Sasa Samia atakumbukwa, ni suala la muda tu. Akifanyia kazi haya atajengewa mnara kabisa;
a. Ajira za vijana,
b. Uboreshaji wa barabara Kupunguza ajali......hususani njia mbili. Najua ameanza dar-moro (barabara harakishi) lkn yapasa muradi utanuliwe.
c. Udhibiti wa ufisadi na matumizi mabovu ya serikali
 
Wacha ni Log in kwa web hapo juu kuna list ya Machawa niwachape mkia wa ban
 
Mpaka Sasa Samia atakumbukwa, ni suala la muda tu. Akifanyia kazi haya atajengewa mnara kabisa;
a. Ajira za vijana,
b. Uboreshaji wa barabara Kupunguza ajali......hususani njia mbili. Najua ameanza dar-moro (barabara harakishi) lkn yapasa muradi utanuliwe.
c. Udhibiti wa ufisadi na matumizi mabovu ya serikali
Hili la mwisho ni NDOTO kulitekeleza.

Hajaweza, hawezi, hana uwezo wa kuweza, hataweza na hata akiamua bado hatatekeleza.

Sad Truth.
 
Back
Top Bottom