naunga MGUU hoja1. Ally Hassan Mwinyi
2. Jakaya Mrisho Kikwete
3. Samia Suluhu Hassan
Ushauri: Kabla ya kumpa mtu kiti cha urais, apimwe IQ yake kwanza.
naunga MGUU hoja1. Ally Hassan Mwinyi
2. Jakaya Mrisho Kikwete
3. Samia Suluhu Hassan
Ushauri: Kabla ya kumpa mtu kiti cha urais, apimwe IQ yake kwanza.
Tatizo Samia asilimia kubwa hawampendi. Sidhani kama atakumbukwa kwa memaUkweli nilikuwa sijui chuki zilizojificha dhidi ya uislamu Hadi ,Wala huu ndo nimejua.......hatari sana. Niliamini upande huo watu wako vizuri sana kutokana na hizi propaganda za "kwenda shule".
Pamoja na yote yanayoendelea ya chuki zinazosambazwa kwa nguvu zote, wivu na Kila aina ya hila, Mimi ninaamini hakuna Raisi ambaye ataacha maendeleo makubwa kama Samia......muda utaongea;
1. Ya magufuli yote kamaliza
2. Jangwani panapowasumbua tangu uhuru hapo panaisha
3. Elimu, sina la kusema kazi inaonekana na hata haters wanapiga makofi wakiwa vyumbani mwao
4. Usafirishaji kwa ujumla, safi.
Mpaka Sasa Samia atakumbukwa, ni suala la muda tu. Akifanyia kazi haya atajengewa mnara kabisa;
a. Ajira za vijana,
b. Uboreshaji wa barabara Kupunguza ajali......hususani njia mbili. Najua ameanza dar-moro (barabara harakishi) lkn yapasa muradi utanuliwe.
c. Udhibiti wa ufisadi na matumizi mabovu ya serikali
Huo ndio ukweli mchungu, hawakuacha legacy yoyote.kukosa content za maana ni umaskini wa kifikra unaokera na kutesa watu wengi sana asie
pole gentleman![]()
Kuuwa zaidi ya watu elfu 17 kwa siku 3 tu siyo legacy hiyo?1. Ally Hassan Mwinyi
2. Jakaya Mrisho Kikwete
3. Samia Suluhu Hassan
Ushauri: Kabla ya kumpa mtu kiti cha urais, apimwe IQ yake kwanza.
Watu 17k unawajua?..hiyo ni idadi ya watu kwenye wilaya ndogo mijini, idadi hiyo dar pangekalika kwa harufu? Mji mzima si ungekua makaburi tuKuuwa zaidi ya watu elfu 17 kwa siku 3 tu siyo legacy hiyo?
Wote watia njaa watu, ufisadi wa kutupa ukiacha mchonga,wauaji wazuri tuPale TEC
-Mchonga
-Chinga Ben
-Jiwe
Asante kwa kuunga mkono hoja, karibu makaburi ya kimbari kwa kondoWatu 17k unawajua?..hiyo ni idadi ya watu kwenye wilaya ndogo mijini, idadi hiyo dar pangekalika kwa harufu? Mji mzima si ungekua makaburi tu
Unajua hata maana ya mbari,au unafuata mkumbo tu kama nyumbuAsante kwa kuunga mkono hoja, karibu makaburi ya kimbari kwa kondo
Unaongelea maendeleo halafu unatoa hoja 4 tu zisizo hata specific? Partly ikiwa kukamilisha miradi ya mtu mwingine!Ukweli nilikuwa sijui chuki zilizojificha dhidi ya uislamu Hadi ,Wala huu ndo nimejua.......hatari sana. Niliamini upande huo watu wako vizuri sana kutokana na hizi propaganda za "kwenda shule".
Pamoja na yote yanayoendelea ya chuki zinazosambazwa kwa nguvu zote, wivu na Kila aina ya hila, Mimi ninaamini hakuna Raisi ambaye ataacha maendeleo makubwa kama Samia......muda utaongea;
1. Ya magufuli yote kamaliza
2. Jangwani panapowasumbua tangu uhuru hapo panaisha
3. Elimu, sina la kusema kazi inaonekana na hata haters wanapiga makofi wakiwa vyumbani mwao
4. Usafirishaji kwa ujumla, safi.
Mpaka Sasa Samia atakumbukwa, ni suala la muda tu. Akifanyia kazi haya atajengewa mnara kabisa;
a. Ajira za vijana,
b. Uboreshaji wa barabara Kupunguza ajali......hususani njia mbili. Najua ameanza dar-moro (barabara harakishi) lkn yapasa muradi utanuliwe.
c. Udhibiti wa ufisadi na matumizi mabovu ya serikali
Atapendwaje wakati hana uwezo wa kuongoza ? badala ya kutafuta ushawishi kwa wananchi yeye anaeneza mabango yenye picha zake nchi nzima kumpromoti huku akisambaza machawa nchi nzima kumuimba sifa hewa !ajiulize Magu yupo kaburini lakini video clip zake zina trend mitaani na mitandaoni ?Tatizo Samia asilimia kubwa hawampendi. Sidhani kama atakumbukwa kwa mema
Damu za watu zitawafuata KILA Mlipo, Wauaji wakubwa nyie!Unajua hata maana ya mbari,au unafuata mkumbo tu kama nyumbu
Unajua maana ya mbari au unaburuzwa tu!?..enyi maharamia mkivuruga nchi mtapigwa tu,mtafumuliwa hasaDamu za watu zitawafuata KILA Mlipo, Wauaji wakubwa nyie!
Magufuli alikuwa genius na mzalendo, licha ya mapungufu yake lakini aliipenda nchi yake. Yule atakumbukwa daimaAtapendwaje wakati hana uwezo wa kuongoza ? badala ya kutafuta ushawishi kwa wananchi yeye anaeneza mabango yenye picha zake nchi nzima kumpromoti huku akisambaza machawa nchi nzima kumuimba sifa hewa !ajiulize Magu yupo kaburini lakini video clip zake zina trend mitaani na mitandaoni ?
Basi hilo la kujilazimisha kutompenda Sasa ndilo litakalomfanya akumbukwe zaidi....... haters karibu wote nafasi zitawasuta. Halafu usisahau mdau, prof Jay aliwahi kusema kuwa Ili ufanikiwe basi unahitaji maadui zaidi. Mama Samia kwa Sasa anahitaji haters zaidi wa kumtukana Ili afanye kazi yake vizuri zaidi. Narudia, hakuna rais atafanya maendeleo kumzidi huyu mama.Tatizo Samia asilimia kubwa hawampendi. Sidhani kama atakumbukwa kwa mema
Muda wenu umeishaUnajua maana ya mbari au unaburuzwa tu!?..enyi maharamia mkivuruga nchi mtapigwa tu,mtafumuliwa hasa
Mkuu huogopi kutukanwa na wakatoliki wenzio?!!! Hawapendi usemwe hivyo ujue, wao wanataka hao wote pamoja na huyu wapondwe tu basi.Mimi ni mkatoliki ila nawatetea Mwinyi na Jakaya.
1. Mwinyi alifungua biashara.
2. Jakaya alikuza demokrasia.