Marais wa Tanzania ambao Hawajaacha Legacy Yoyote

Marais wa Tanzania ambao Hawajaacha Legacy Yoyote

Nenda kamfufue basi tuone

Gwajima si anasema anafufua wafu yule ma.laya??

Mwambieni aoneshe miujiza yake basi.

Makafiri mna chuki sana,jitu liliwanyima hadi hiyo demokrasia mnayolilia sasa kisha eti unakuja hapa na porojo zako
Unafikiri kunanga watu mitandaoni kutamfanya Samia apendwe na watu kumbuka hata hao wanaoanzisha kampeni za uasi ni Waislamu wenzake, Mange Kimambi, January Makamba,Kinana, Ummy Mwalimu mpaka kina Bashe.. jiulize kwa nini Majaliwa Wazipi Mkuu (muislamu) ameacha legacy bora kuliko mawaziqi wakuu wenzake sababu ya kutenda haki..wangi wanatamani huyu awe rais hata leo..
 
Unafikiri kunanga watu mitandaoni kutamfanya Samia apendwe na watu kumbuka hata hao wanaoanzisha kampeni za uasi ni Waislamu wenzake, Mange Kimambi, January Makamba,Kinana, Ummy Mwalimu mpaka kina Bashe.. jiulize kwa nini Majaliwa Wazipi Mkuu (muislamu) ameacha legacy bora kuliko mawaziqi wakuu wenzake sababu ya kutenda haki..wangi wanatamani huyu awe rais hata leo..
Acha kuandika upupu
Huyu mange muuza nyuchi kwa wazungu hajawahi kuwa muislamu wowote,
Na hao uliowataja wengine wote hawana muda na propaganda za TEC, wao wenyewe ni waathirika wa mfumo wa kigalatia na wanaujua ulivyo na ubaguzi
Kwa sasa mtatoa kila aina ya milio
 
Legacy ya mwengine ni ile jitihada yake ya kuwahimiza mawaziri wake wapore mali za umma tena hadharani kwa kusema 'kila mmoja ale kwa urefu wa kama yake' JENGINE ni kumteua mwanawe wa kumzaa kuwa kwenye baraza la mawaziri.
Hata Kuku Ngbendu wazabanga hakuwahi kumteua mwanawe kua waziri.
 
Ukweli nilikuwa sijui chuki zilizojificha dhidi ya uislamu Hadi ,Wala huu ndo nimejua.......hatari sana. Niliamini upande huo watu wako vizuri sana kutokana na hizi propaganda za "kwenda shule".

Pamoja na yote yanayoendelea ya chuki zinazosambazwa kwa nguvu zote, wivu na Kila aina ya hila, Mimi ninaamini hakuna Raisi ambaye ataacha maendeleo makubwa kama Samia......muda utaongea;
1. Ya magufuli yote kamaliza
2. Jangwani panapowasumbua tangu uhuru hapo panaisha
3. Elimu, sina la kusema kazi inaonekana na hata haters wanapiga makofi wakiwa vyumbani mwao
4. Usafirishaji kwa ujumla, safi.

Mpaka Sasa Samia atakumbukwa, ni suala la muda tu. Akifanyia kazi haya atajengewa mnara kabisa;
a. Ajira za vijana,
b. Uboreshaji wa barabara Kupunguza ajali......hususani njia mbili. Najua ameanza dar-moro (barabara harakishi) lkn yapasa muradi utanuliwe.
c. Udhibiti wa ufisadi na matumizi mabovu ya serikali
Ni mradi gani limeanzisha hilo andazi?
 
Kuacha legacy sio mchezo Kikwete na yote aliyoyafanya watu wanaona hana legacy zaidi ya #CCMtandao
 
WAISLAMU BILA KIWATAFUTIA UHURU MGEUPATAJE?

WALIMPOKEA HUYO MSHAMBA KUTOKA MUSOMA NA KUMPA KILA KITU BAADAE ANADAI UHURU KAUTAFUTA YEYE


NB.

KIJANA LINDA UHAI WAKO KATAA MAANDAMANO UNA FAMILIA INAKUTEGEMEA
Tungeupata kama walivyoupata wala kitimoto Zambia, Ghana, Malawi, Uganda n.k
 
Tungeupata kama walivyoupata wala kitimoto Zambia, Ghana, Malawi, Uganda n.k
Nchi imepambaniwa Sana na waislamu Ila kwakuwa nyie madogo hamsomi historia mnabaki kudharau waislamu
 
kuna jambo waislam huwa wanakubal hawakulipambania ? kasome historia vzr waislam kama ilivyosasa ndo ilikuwa enz za ukolon walikuwa watu wajinga sn wapend uchawa , Nyerere aliacha kila kitu ili alipambanie taifa
Nchi imepambaniwa Sana na waislamu Ila kwakuwa nyie madogo hamsomi historia mnabaki kudharau waislamu
 
WAISLAMU BILA KIWATAFUTIA UHURU MGEUPATAJE?

WALIMPOKEA HUYO MSHAMBA KUTOKA MUSOMA NA KUMPA KILA KITU BAADAE ANADAI UHURU KAUTAFUTA YEYE


NB.

KIJANA LINDA UHAI WAKO KATAA MAANDAMANO UNA FAMILIA INAKUTEGEMEA

Huo ndio ujinga wenyewe mlishibdwaje kuwa nyie akawa yeye
 
Acha kuandika upupu
Huyu mange muuza nyuchi kwa wazungu hajawahi kuwa muislamu wowote,
Na hao uliowataja wengine wote hawana muda na propaganda za TEC, wao wenyewe ni waathirika wa mfumo wa kigalatia na wanaujua ulivyo na ubaguzi
Kwa sasa mtatoa kila aina ya milio
Haya wewe Matak* ebu niambie nini kilichowafanya Ummy na Makamba kuenguliwa Ubunge? ,
 
Mkuu unakuza Democrasia wakati nchi haipati Maendeleo Mali za nchi zinaibiwa, Wanyama wanaibiwa Raia wanaporwa fedha zao na Mafisadi, Wafabiashara wanauwawa na Majambazi na polisi wanaua wafanyabiashara na kupora pesa,Wananchi kuddhurumiwa ardhi na Nyumba, Raia kuombwa Rushwa Vituo vya Polisi na Mahakamani. HII Ndiyo Democrasia aliyoileta Kikwete, Watoto wetu Kukaa chini Mashuleni na kusoma kwenye Mjengo mabovu na Wengine Chini ya miti?
Waswahili wanasema mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! Mengi uliyoongea ni ya mitandaoni ambayo hata Magu aliambiwa alikwiba 1.5 trillion na kwamba mabilioni ya pesa yalikutwa ndani kwake baada ya kufariki! Vilevile tumeambiwa jinsi magu alivyotumia mabilioni kupendelea nyumbani kwao chato na kwamba alijinufaisha na nyumba za serikali wakati wa mkapa! Tukirudi kwa huyo mkapa tuliambiwa habari za epa, ufisadi wa bot, kagoda, meremeta ikiwa ni pamoja na kujiuzia mgodi wa makaa ya mawe! Hivyo, kama tutahukumu watu kwa mambo ambayo hayajakuwa verified, basi asiye fidadi ni nyerere pekee yake.

Tukija upande wa pili! Zaidi ya 75% ya wanafunzi wa sekondari tanzania wanatokana na shule za kata! Ni rais gani kajenga shule nyingi zaidi za kata? Ni rais gani aliajiri walimu wengi zaidi? Ile UDOM imejengwa na rais yupi? Barabara nyingi tanzania zimejengwa awamu ipi kama sio ya kikwete? Mradi wa umeme vijijini ni wa nani kama sio kikwete? BRT huko dar es salaam ni nani kama sio jk? Ni nani alianza kuboresha huduma pale muhimbili kama sio kikwete? Changanya ajira zote kutoka kwa mkapa, magufuli hadi samia lakini bado total yake haiwezi kufikia ajira ambazo alitoa kikwete. Kikwete aliajiri walimu hadi ikashauriwa walimu wenye digrii waende hadi primary schools kwa sababu tayari sekondari walikuwa wengi. Kutokana na tatizo la walimu wa sayansi kikwete huyo huyo akaanzisha hadi ile program ya special diploma pale UDOM lakini magufuli akaja kuifuta na si magufuli wala chura kiziwi aliyeleta alternative na matokeo yake tatizo limebaki palepale! Mimi mwenyewe nilijiunga na programu ya walimu wa sayansi ya huyo huyo kikwete ambapo wale waliokuwa wamesoma masomo ya sayansi miaka ya nyuma na wapo tu mtaani na wengine tulienda pale DUCE kusoma Advanced Diploma in Education (Science Subjects) na guarantee ya ajira! Yaani hiyo ya DUCE ni mbali na ile ya UDOM ambayo ilikuwa inachukua wanaomaliza form iv, na kwenda kusoma diploma kwa miaka 3. Mwishoni mwa utawala wake kikwete tena akaanzisha kampeni ya ujenzi wa maabara kwenye shule zote za kata akitegemea tayari nchi itakuwa na walimu wa sayansi kwahiyo shule za kata zitahitaji maabara! hata hivyo, waliomfuatia, magufuli na bi chura kiziwi wote wakautupa ule mpango wa maabara na program za walimu wa sayansi matokeo yake bado hadi kesho shule hazina walimu wa sayansi! btw, ni awamu ipi ambayo watoto nchi hii hawajawahi kukaa chini? mpango wa kikwete ulikuwa wazi. jenga mashule kwa wingi kuongeza access to education! Fundisha walimu kwa wingi kisha waajiri ili kuboresha ile elimu iliyotokana na access to education na katika kufikia hilo hadi SUA ambacho ni chuo cha kilimo kikaanza kutoa digrii za ualimu ili kupata walimu wengi zaidi wa sayansi. wale waliofuatia ndo walitakiwa kuanzia alipoishia lakini badala yake, ajira za walimu tangu magufuli hadi kwa bi chura kiziwi zimepungua sana. Unaweza kutaja rais mwingine ambae amewahi kuwa na mipango kama hiyo? Au hujui hata hii SGR mkakati wake ulianza wakati wa jk, na ndo maana jpm alipoingia tu akaanza kujenga? Tena jk alitafuta hadi mkandarasi ambae alikuwa mchina lakini jpm akaachana na mchina akaenda na mturuki ndo maana tunasua sua kwa sababu mturuki hana financing!
 
Back
Top Bottom