Marais wa Tanzania ambao Hawajaacha Legacy Yoyote

Marais wa Tanzania ambao Hawajaacha Legacy Yoyote

WAISLAMU BILA KIWATAFUTIA UHURU MGEUPATAJE?

WALIMPOKEA HUYO MSHAMBA KUTOKA MUSOMA NA KUMPA KILA KITU BAADAE ANADAI UHURU KAUTAFUTA YEYE


NB.

KIJANA LINDA UHAI WAKO KATAA MAANDAMANO UNA FAMILIA INAKUTEGEMEA
Unachekesha Uhuru ulitafutwa wapi
Na hao Waislam uhuru kuhusu nini?
 
1. Ally Hassan Mwinyi
2. Jakaya Mrisho Kikwete
3. Samia Suluhu Hassan

Ushauri: Kabla ya kumpa mtu kiti cha urais, apimwe IQ yake kwanza.
Naona unachagua majina huku umeukalia wa mchungaji akikubariki

Nyerere ndio mpumbavu wa kwanza kutufanya nchi masikini wa kutupwa wakati anaachiwa nchi, Tanzania ilikuwa na uchumi sawa na South Korea
Akaja yule mla chapati na supu na tumbo kubwa na kipara chake, aliekuwa anapelekeshwa na mke wake mchaga, wakaipurura nchi kwa kuuza mashirika ya serikali kwa kula 10% mpaka wakajiuzia mgodi.
Akafata huyu mwehu msukuma, kidogo alinijaribu kwa alivyoaanza kurudisha heshima katika huduma za serikali,
lakini akaja kuwehuka akiwa kazini na kuanza kupayukapayuka ujinga, huku akipeleka hela zote za kodi kujenga kijiji chake ilikiwe mkoa na kufanya mzunguko wa hela kuwamdogo na kurudisha watu kwenye umasikini wa nyerere

Halafu sifichi hao wote ni wagalatia, kila mgalatia akiwa raisi wa nchi, watu wanakuwa masikini sana, biashara na hela zote zinapotea kwa kuwa ni wabinafsi sana, wanaiba kwa ulafi huku wanabania wananchi
 
yakikutana misikitini yanajazana ujinga tu

Uzuri haya mambo wala hayana siri

Makafiri mnachukia huku ukweli mnaujua kuwa agents of colonialism ni missionaries...

Nyerere mwenyewe jamaa yenu anatamka kwa kinywa chake kuwa alikuwa pekeyake mkristo kwenye harakati za uhuru akiwa na wazee wa kiislam wakati kanisa likikumbatia wakoloni,hata mfanye nini history hii hamuwezi kuifuta
 
Naona unachagua majina huku umeukalia wa mchungaji akikubariki

Nyerere ndio mpumbavu wa kwanza kutufanya nchi masikini wa kutupwa wakati anaachiwa nchi, Tanzania ilikuwa na uchumi sawa na South Korea
Akaja yule mla chapati na supu na tumbo kubwa na kipara chake, aliekuwa anapelekeshwa na mke wake mchaga, wakaipurura nchi kwa kuuza mashirika ya serikali kwa kula 10% mpaka wakajiuzia mgodi.
Akafata huyu mwehu msukuma, kidogo alinijaribu kwa alivyoaanza kurudisha heshima katika huduma za serikali,
lakini akaja kuwehuka akiwa kazini na kuanza kupayukapayuka ujinga, huku akipeleka hela zote za kodi kujenga kijiji chake ilikiwe mkoa na kufanya mzunguko wa hela kuwamdogo na kurudisha watu kwenye umasikini wa nyerere

Halafu sifichi hao wote ni wagalatia, kila mgalatia akiwa raisi wa nchi, watu wanakuwa masikini sana, biashara na hela zote zinapotea kwa kuwa ni wabinafsi sana, wanaiba kwa ulafi huku wanabania wananchi

Mkuu ingekuwa ni amri yetu basi tungepiga marufuku kabisa kafiri kuwa Rais wa nchi hiii

Awamu zote za makafiri nchi hii hutawaliwa na laaana na ugumu wa maisha
 
Ukweli nilikuwa sijui chuki zilizojificha dhidi ya uislamu Hadi ,Wala huu ndo nimejua.......hatari sana. Niliamini upande huo watu wako vizuri sana kutokana na hizi propaganda za "kwenda shule".

Pamoja na yote yanayoendelea ya chuki zinazosambazwa kwa nguvu zote, wivu na Kila aina ya hila, Mimi ninaamini hakuna Raisi ambaye ataacha maendeleo makubwa kama Samia......muda utaongea;
1. Ya magufuli yote kamaliza
2. Jangwani panapowasumbua tangu uhuru hapo panaisha
3. Elimu, sina la kusema kazi inaonekana na hata haters wanapiga makofi wakiwa vyumbani mwao
4. Usafirishaji kwa ujumla, safi.

Mpaka Sasa Samia atakumbukwa, ni suala la muda tu. Akifanyia kazi haya atajengewa mnara kabisa;
a. Ajira za vijana,
b. Uboreshaji wa barabara Kupunguza ajali......hususani njia mbili. Najua ameanza dar-moro (barabara harakishi) lkn yapasa muradi utanuliwe.
c. Udhibiti wa ufisadi na matumizi mabovu ya serikali

Makafiri hii dini huko zamani ni kweli ilkuwa inaitwa dini ya washenz

Dini iliyotawaliwa na chuki na roho mbaya huku wakijivika vazi la upendo,dini iliyojaa visasi na uchuro

Hawa walidhani Samia nchi hii itamshinda kuendesha kama ilivyo mshinda yule mshamba wao mwendazake kwahiyo hawaamini wanachokiona...

Nchi inaenda na kila hila watayokuja nayo itagonga mwamba.
 
Mkuu ingekuwa ni amri yetu basi tungepiga marufuku kabisa kafiri kuwa Rais wa nchi hiii

Awamu zote za makafiri nchi hii hutawaliwa na laaana na ugumu wa maisha
Kabisa mkuu
Mwinyi alitutoa kwenye umasikini mkubwa sana, nchi ulikuwa imejaa fundi vyerehani wa kushona viraka kwenye nguo na ndio muda huo wagalatia wakaanza kujua kuna kifungua kinywa mlo wa asubuhi, kwa kuwezeshwa upatikanaji wa sukari nchi nzima.

Wanamchukia Kikwete kwa sababu alikuja kutoa majina kwenye mitihani na kuanzisha mikopo, sasa matokeo yake wakiona yanawaumiza kuona serikalini wakubwa wengi pia ni waislamu wasomi, walizoea kuona majina yao tu kila wizara na idara za serikali sasa hawaamini na ndio sababu kubwa sana ya TEC ambao ni wawakilishi wa mashoga ya vatikani kuanza kidomodomo
 
Atapendwaje wakati hana uwezo wa kuongoza ? badala ya kutafuta ushawishi kwa wananchi yeye anaeneza mabango yenye picha zake nchi nzima kumpromoti huku akisambaza machawa nchi nzima kumuimba sifa hewa !ajiulize Magu yupo kaburini lakini video clip zake zina trend mitaani na mitandaoni ?

Nenda kamfufue basi tuone

Gwajima si anasema anafufua wafu yule ma.laya??

Mwambieni aoneshe miujiza yake basi.

Makafiri mna chuki sana,jitu liliwanyima hadi hiyo demokrasia mnayolilia sasa kisha eti unakuja hapa na porojo zako
 
Mimi ni muislamu lakini napenda Kanisa Katoliki siyo wanafiki wanazungumza juu ya haki na uzalendo wa Taifa hili.

Marais wote wanaotokana na Kanisa Katoliki huwa ni wazalendo na wanapenda haki juu ya nchi hii

Adui wa Muislamu ni Muislamu mwenyewe Hawa BAKWATA nashauri hichi chombo kifutwe tutafute chombo kingine cha kuwasemea waislamu juu ya haki, waislamu WENZETU tarehe 29 Oktoba walifuatwa msikitini wakapigwa risasi ya vichwa na mbaya zaidi wakawafukia kibabe lakini Mufti wetu Wala hajasema chochote kakaa kimya anakula Mema ya nchi.

Sawa Bwana, duniani wote tunapita tunamuachia MUNGU

Hakuna muislam fa.la kama wewe.

Wewe ni kituko cha TEC kama vituko vingine tuh...waislam wanaojitambua hawawezi kuja hapa na kusema TEC ni watu wa haki na unajua fika wanavyoshiriki kuliibia taifa hili kwa kuzalisha wasomi wezi na kulitia taifa hasara
 
Wa Tanzania kila siku ni kulumbana.
Tunagombana kwa sababu ya kukosa taarifa sahihi na maarifa.

Wa Tanzania tunatakiwa kujua tunahitaji nini ?
Jibu ni misingi ya kumiliki uchumi TU 😂 basi
 
1. Ally Hassan Mwinyi - Three Wives - Extended family atafanyaje kazi ya Urais
2. Jakaya Mrisho Kikwete - Two Wives na extended family
3. Samia Suluhu Hassan - Married at 17, as a third wife

Jamani kazi ya Urais si ya kawaida, ni ngumu, sisi ndiyo wa kulaumiwa, wala siyo wao, wao wanasema wame pewa na Allah hiyo kazi siyo sisi
Acheni chuki za kidini,,wagalatia
 
WAGALATIA huwa mnaandika ujinga kama vile mnawashwa makalio, moja haikai mbili haikai....kwa chuki hizi bado mtaumia sana Wallah

Halafu mnaowachukia wao wanawacheka tu🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom