Utaelewa ukiweka chuki pembeni angalau wakati wa mjadala tu huu, ukiisha chukua chuki zako endelea kumtukana.Unaongelea maendeleo halafu unatoa hoja 4 tu zisizo hata specific? Partly ikiwa kukamilisha miradi ya mtu mwingine!
Yote hayo wanajifanya hawajuiMimi ni muislamu lakini napenda Kanisa Katoliki siyo wanafiki wanazungumza juu ya haki na uzalendo wa Taifa hili.
Marais wote wanaotokana na Kanisa Katoliki huwa ni wazalendo na wanapenda haki juu ya nchi hii
Adui wa Muislamu ni Muislamu mwenyewe Hawa BAKWATA nashauri hichi chombo kifutwe tutafute chombo kingine cha kuwasemea waislamu juu ya haki, waislamu WENZETU tarehe 29 Oktoba walifuatwa msikitini wakapigwa risasi ya vichwa na mbaya zaidi wakawafukia kibabe lakini Mufti wetu Wala hajasema chochote kakaa kimya anakula Mema ya nchi.
Sawa Bwana, duniani wote tunapita tunamuachia MUNGU
Nyinyi waadilifu?Tatizo kubwa la Wagalatia ni watu wenye chuki kubwa na sio waadilifu
Hilo ***** achana nalo njaa inamsumbua kutetea upuuziMimi ni shehe ubwabwa Bakwata makao makuu, kuna hitima wapi nije?
Hata kero ya maji Dar ataimaliza Samia.Ukweli nilikuwa sijui chuki zilizojificha dhidi ya uislamu Hadi ,Wala huu ndo nimejua.......hatari sana. Niliamini upande huo watu wako vizuri sana kutokana na hizi propaganda za "kwenda shule".
Pamoja na yote yanayoendelea ya chuki zinazosambazwa kwa nguvu zote, wivu na Kila aina ya hila, Mimi ninaamini hakuna Raisi ambaye ataacha maendeleo makubwa kama Samia......muda utaongea;
1. Ya magufuli yote kamaliza
2. Jangwani panapowasumbua tangu uhuru hapo panaisha
3. Elimu, sina la kusema kazi inaonekana na hata haters wanapiga makofi wakiwa vyumbani mwao
4. Usafirishaji kwa ujumla, safi.
Mpaka Sasa Samia atakumbukwa, ni suala la muda tu. Akifanyia kazi haya atajengewa mnara kabisa;
a. Ajira za vijana,
b. Uboreshaji wa barabara Kupunguza ajali......hususani njia mbili. Najua ameanza dar-moro (barabara harakishi) lkn yapasa muradi utanuliwe.
c. Udhibiti wa ufisadi na matumizi mabovu ya serikali
😹😹😹 Huoni aibu kujidhalilisha?Ukweli nilikuwa sijui chuki zilizojificha dhidi ya uislamu Hadi ,Wala huu ndo nimejua.......hatari sana. Niliamini upande huo watu wako vizuri sana kutokana na hizi propaganda za "kwenda shule".
Pamoja na yote yanayoendelea ya chuki zinazosambazwa kwa nguvu zote, wivu na Kila aina ya hila, Mimi ninaamini hakuna Raisi ambaye ataacha maendeleo makubwa kama Samia......muda utaongea;
1. Ya magufuli yote kamaliza
2. Jangwani panapowasumbua tangu uhuru hapo panaisha
3. Elimu, sina la kusema kazi inaonekana na hata haters wanapiga makofi wakiwa vyumbani mwao
4. Usafirishaji kwa ujumla, safi.
Mpaka Sasa Samia atakumbukwa, ni suala la muda tu. Akifanyia kazi haya atajengewa mnara kabisa;
a. Ajira za vijana,
b. Uboreshaji wa barabara Kupunguza ajali......hususani njia mbili. Najua ameanza dar-moro (barabara harakishi) lkn yapasa muradi utanuliwe.
c. Udhibiti wa ufisadi na matumizi mabovu ya serikali
Yale makanzu si vijora au ndio NYANI HAONI KUNDURE? 😹Sherehe zetu ni haramu kuja wavaa magauni na wapiga nyeto wa TEC
Huyo namba 3 tayari amejipatia sifa ya kuwa Muuaji wa kutisha mno, siyo kwa historia ya Tanzania pekee, bali kwa Afrika nzima1. Ally Hassan Mwinyi
2. Jakaya Mrisho Kikwete
3. Samia Suluhu Hassan
Ushauri: Kabla ya kumpa mtu kiti cha urais, apimwe IQ yake kwanza.
Ya kukupaka wewe uliyekauka kiziboKanisani magomeni kuna mafuta ya nyeto,wahi
Huyu mhuni namba tatu aliishia tu kidato cha nne basi ikawa tamati ya ilimu yake.Wazanzibar sitaki niwaseme kwa ubaya sema kuhusu ilimu wako nyuma sana hasa hiki kizazi cha 2000 kushuka chini yani namba kubwa ni viazi wa kupindukia1. GPA ya 2.5
2. GPA ya 2.0
3. 6Fs+D
Ilikua hagombei, kagombea,kaapishwa,mafuvu kawafumua,mhaini analala kwenye sakafu ya saruji pakiwa na chemba ya chooMuda wenu umeisha
Mkuu Samuya kaacha Regecy ya MAUAJI ya Wananchi East Africa1. Ally Hassan Mwinyi
2. Jakaya Mrisho Kikwete
3. Samia Suluhu Hassan
Ushauri: Kabla ya kumpa mtu kiti cha urais, apimwe IQ yake kwanza.
Mkuu unakuza Democrasia wakati nchi haipati Maendeleo Mali za nchi zinaibiwa, Wanyama wanaibiwa Raia wanaporwa fedha zao na Mafisadi, Wafabiashara wanauwawa na Majambazi na polisi wanaua wafanyabiashara na kupora pesa,Wananchi kuddhurumiwa ardhi na Nyumba, Raia kuombwa Rushwa Vituo vya Polisi na Mahakamani. HII Ndiyo Democrasia aliyoileta Kikwete, Watoto wetu Kukaa chini Mashuleni na kusoma kwenye Mjengo mabovu na Wengine Chini ya miti?Mimi ni mkatoliki ila nawatetea Mwinyi na Jakaya.
1. Mwinyi alifungua biashara.
2. Jakaya alikuza demokrasia.
Mwinyi Legacy yake ilikuwa RUKHSA.1. Ally Hassan Mwinyi
2. Jakaya Mrisho Kikwete
3. Samia Suluhu Hassan
Ushauri: Kabla ya kumpa mtu kiti cha urais, apimwe IQ yake kwanza.