Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
1. Ally Hassan Mwinyi - Three Wives - Extended family atafanyaje kazi ya Urais1. Ally Hassan Mwinyi
2. Jakaya Mrisho Kikwete
3. Samia Suluhu Hassan
Ushauri: Kabla ya kumpa mtu kiti cha urais, apimwe IQ yake kwanza.
Uhuru haukutafutwa, uhuru ulitolewa tu. Hakuna mchango wowote wa mashehe ubwabwa kwenye hili, ni porojo tu.WAISLAMU BILA KIWATAFUTIA UHURU MGEUPATAJE?
WALIMPOKEA HUYO MSHAMBA KUTOKA MUSOMA NA KUMPA KILA KITU BAADAE ANADAI UHURU KAUTAFUTA YEYE
NB.
KIJANA LINDA UHAI WAKO KATAA MAANDAMANO UNA FAMILIA INAKUTEGEMEA
Ulitokewa kwa mwalimu wa pugu bila chama siyoUhuru haukutafutwa, uhuru ulitolewa tu. Hakuna mchango wowote wa mashehe ubwabwa kwenye hili, ni porojo tu.
Unajua historia huwa inasahaulika hao waislamu tunatakiwa tu wa acknowledge kwa jitihata zao. Lakini vilevile kama kuna mahali wamekosea inabidi tuwaambie vilevile....WAISLAMU BILA KIWATAFUTIA UHURU MGEUPATAJE?
WALIMPOKEA HUYO MSHAMBA KUTOKA MUSOMA NA KUMPA KILA KITU BAADAE ANADAI UHURU KAUTAFUTA YEYE
NB.
KIJANA LINDA UHAI WAKO KATAA MAANDAMANO UNA FAMILIA INAKUTEGEMEA
1. Ally Hassan Mwinyi
2. Jakaya Mrisho Kikwete
3. Samia Suluhu Hassan
Ushauri: Kabla ya kumpa mtu kiti cha urais, apimwe IQ yake kwanza.
Absolute is oka Ila JF kwa sasa ina watu ambao hawajui historia ya nchiUnajua historia huwa inasahaulika hao waislamu tunatakiwa tu wa acknowledge kwa jitihata zao. Lakini vilevile kama kuna mahali wamekosea inabidi tuwaambie vilevile....
Kwani mtandao wa JK umeishiwa Presidential Materials?1. Ally Hassan Mwinyi
2. Jakaya Mrisho Kikwete
3. Samia Suluhu Hassan
Ushauri: Kabla ya kumpa mtu kiti cha urais, apimwe IQ yake kwanza.
Pale TEC we ni nani?
Pale bakwata we ni nani😄Pale TEC we ni nani?😆😆😆
Humu JF mtu akitaka kukupata aanzishe tu uzi unaohusu wavaa vipedo na makubashi dakika 1 ni kubwa sana.TEC HODARI KUNYOOSHA.MIDOMO YAO UTADHANI VINYEO VYA KUKU...
WAKATI UHURU WA NCHI HII UNATAFUTWA NA WAISLAM WAO WALIKUWA BEGA KWA BEGA NA MKOLONI...LEO FYOKO FYOKO NYIIINGII...WAVAA MAGAUNI
Hili jambo ata askofu gwajima Alisha sema dini ni kitu cha hatari sana.Humu JF mtu akitaka kukupata aanzishe tu uzi unaohusu wavaa vipedo na makubashi dakika 1 ni kubwa sana.
Hili la mwisho ni NDOTO kulitekeleza.Mpaka Sasa Samia atakumbukwa, ni suala la muda tu. Akifanyia kazi haya atajengewa mnara kabisa;
a. Ajira za vijana,
b. Uboreshaji wa barabara Kupunguza ajali......hususani njia mbili. Najua ameanza dar-moro (barabara harakishi) lkn yapasa muradi utanuliwe.
c. Udhibiti wa ufisadi na matumizi mabovu ya serikali
Oneni hiki kiazi mviringo...TEC HODARI KUNYOOSHA.MIDOMO YAO UTADHANI VINYEO VYA KUKU...
WAKATI UHURU WA NCHI HII UNATAFUTWA NA WAISLAM WAO WALIKUWA BEGA KWA BEGA NA MKOLONI...LEO FYOKO FYOKO NYIIINGII...WAVAA MAGAUNI
SAWA PILATO1. Ally Hassan Mwinyi
2. Jakaya Mrisho Kikwete
3. Samia Suluhu Hassan
Ushauri: Kabla ya kumpa mtu kiti cha urais, apimwe IQ yake kwanza.
kukosa content za maana ni umaskini wa kifikra unaokera na kutesa watu wengi sana asie1. Ally Hassan Mwinyi
2. Jakaya Mrisho Kikwete
3. Samia Suluhu Hassan
Ushauri: Kabla ya kumpa mtu kiti cha urais, apimwe IQ yake kwanza.
Tumuombee apate ujasiri wa kuweza kwa maendeleo yetu.Hili la mwisho ni NDOTO kulitekeleza.
Hajaweza, hawezi, hana uwezo wa kuweza, hataweza na hata akiamua bado hatatekeleza.
Sad Truth.