Inauma Sana. Yani yanakumbuka kama kuna Sheria kwenye kufaidishana wenyewe Kwa wenyewe. Wafanyakazi wanaolipa Kodi wala hawawakumbuki kama nao wanadai shahiki zao zilizopo kisheria for five good years.Safi sana tena sana, sasa turudi kwenye hiyo hiyo sheria, vp inasemaje juu ya nyongeza ya mishahara na kupandishwa madaraja kwa watumishi wa umma?
Wazee wana nyamanzishwa itakuwa kuna deal kubwa la pesa mwenyekiti wa ccm kalipiga ....au anatafuta namna yakupewa suppot na hao maex president katika hiki kipindi cha uchaguziHao kipindi chao cha kukwapua si walishajenga mahekalu, acheni kutuletea sarakasi zisizo na mashiko, au ndo rushwa za uchaguzi hizi.
Ukoroni Ni mbaya Sana, unanyonya nguvu, Uchumi na akili zetu..matunzo ya viongozi wakuu wastaafu ni MZIGO kwa walipakodi.
..kuwatunza mpaka mwisho wa maisha yao siyo sahihi.
..ni afadhali watunzwe kwa miaka 10 tangu wastaafu, baada ya hapo wajitegemee.
Sheria inaheshimiwa Kwa wakubwa Tu?? Annual Salary Increment ipo kisheria. Ila Sheria haijatekelezwa Kwa miaka mitano. Je huo sio ubinafsi?? Kama wamejengewa Kwa kuwa Tu wanaheshimu na kutimiza takwa la kisheria Kwanini hawatimizi Sheria Kwa kulipa stahiki za watumishi wa Umma wanaolipwa mishahara kama manamba??Nikusaidie tuu, sheria ya mafao ya viongozi wa siasa wastaafu Namba 3 ya 1999, kifungu cha 9 kama ilivyo fanyiwa marekebisho 2005 imeelekeza marais wastaafu kujengewa nyumba. Sheria hii ilitungwa ikifuatia kujengewa nyumba Mwalimu Nyerere. Tafuta sheria hiyo usome. Hiyo nyumba ya Mwinyi imeanza ujengwa 2012. Hapo hakuna swala la retrospectivity katika sheria.
Utabadilishaje sheria wakati mkipata wabunge wanashindwa kuhudhuria vikao? Mnachukua blanket asubuhi wakati kumepambazuka, hii sheria ipo tangu kabla JMK hajaingia madarakani. JPM kwa sababu ya uchapaji kazi wake na kutekeleza kazi aliyopewa ndio anatekeleza nyie kazi yenu ni kupayuka tu wakati vichwani mwenu ni sifuri kama mlivyofeli mlipokuwa shuleni. Mmepata baraka ya kusafisha vikongwe huko USA mnafikiri nchi inajengwa kwa majungu.Basi sawa sisi wanyonge tuendelee kuimba tano tena Kwa magufuli. Maana tukihoji kidogo tunaonekana tuna wivu
We jamaa upo busy na hii mada Ila unaandika Pumba TUPU.Utabadilishaje sheria wakati mkipata wabunge wanashindwa kuhudhuria vikao? Mnachukua blanket asubuhi wakati kumepambazuka, hii sheria ipo tangu kabla JMK hajaingia madarakani. JPM kwa sababu ya uchapaji kazi wake na kutekeleza kazi aliyopewa ndio anatekeleza nyie kazi yenu ni kupayuka tu wakati vichwani mwenu ni sifuri kama mlivyofeli mlipokuwa shuleni. Mmepata baraka ya kusafisha vikongwe huko USA mnafikiri nchi inajengwa kwa majungu.
Sheria ya kihuni hiyo inatakiwa ifutwe.Ni sheria mkuu
Mtetezi wa wanyonge hapo atajipigia jumba kama hekalu la malkia Elizabeth.Na bado inatakiwa ajengewe barabara ya lami ya 0.8km yenye thamani ya zaidi ya bilioni moja kutoka kwenye Mansion lake la beach mpaka barabarani ,Mabeyo naye kashajenga jumba la kifahari kawe beach na kapigiwa lami kutoka kwake hadi Efm kuungana na mwai kibaki.
Nchi ya wanyonge ,hospitali hazina vitanda,hakuna hata panadol .....Kikwete ana jumba karibu na bakhresa mikocheni opp na feza school ,bakharesa alipiga barabara ya zege kwa 400m.
Kumbuka, yeye katanguliza uwanja wa ndege hadhi ya kimataifa (CIA). Hizi sheria walizojitungia ndio moyo wa ufisadi endelevu. Vijana wa kiTz wako wanaimba mapambio!!!Mtetezi wa wanyonge hapo atajipigia jumba kama hekalu la malkia Elizabeth.
'Kumbuka, yeye katanguliza uwanja wa ndege hadhi ya kimataifa (CIA).'Kumbuka, yeye katanguliza uwanja wa ndege hadhi ya kimataifa (CIA). Hizi sheria walizojitungia ndio moyo wa ufisadi endelevu. Vijana wa kiTz wako wanaimba mapambio!!!
Angekubali tu.yaishe October na yeye angeambulia kwa vile sheria inaelekeza hivyo ila akishupaza shingo atakosa yote bara na pwani.Mtu fulani anatafuta justification ya yeye kujijengea hekalu.