Huko aliko anajuta sana, lakini ndio keshachelewa.
Kukicha wapo makanisani na misikitini lakini wamejaa ushetani.
Mwinyi ana nyumba Oysterbay. Wamemjenhea nyingine?
Mkapa alikuwa nazo moja Sea View, nyingine Masaki. Kapewa nyingine?
Kwa hiyo ya Oysterbay kairudisha kachukua ya Masaki?Kajengewa nyingine masaki.. ndio hiyo amekabidhiwa leo
Kwa hiyo ya Oysterbay kairudisha kachukua ya Masaki?
Au ya Oysterbay yake bado, kaongezewa ya Masaki?
Unaandika hivyo kwa kukisia au kujua?Zote zake... arudishe ili iweje? Watu weusi tunavyopenda mali ni balaa
Unaandika hivyo kwa kukisia au kujua?
Hawa watu nawashangaa sana, Kikwete Jumba lake la Migombani Mikocheni wanakaa POPO na MIJUSI tu ,Mwinyi naye Ghorofa zake mbili hazina mtu majani hadi getini na maji taka kwenye mitaro lakini anapewa nyumba nyingine.View attachment 1603958
Raisi mstaafu awamu ya pili akikabidhiwa nyumba aliyojengewa na serikali Masaki Dar Es Salaam
View attachment 1603960
Muheshimiwa Magufuli akikagua ujenzi wa nyumba ya raisi mstaafu awamu ya nne anayojengewa na serikali Kawe beach Dar Es Salaam
Mkapa Dar alikuwa nazo mbili...nadhani Jiwe kaamua kuwahonga.
..haiwezekani wastaafu wawe hawana nyumba za serikali mpaka sasa hivi, wakati sheria inaelekeza wakistaafu wapewe nyumba na serikali.
..wakishapewa hizo nyumba kama hongo wanaanza kutumiwa ktk ajenda za Jiwe.
Aah, kwa hivyo umekisia tu.Wanaojua ni wao wenyewe...
Hapo mi sijaelewa wakuu. Kikwete si alijengewa msoga? Au Sheria inasema wapewe mbili?
Nyumba ya Kikwete ya Migombani St., Kikwete alilalamika imechakaa, serikali ikamfanyia ukarabati kwa gharama kubwa sana.Muda si mrefu uliopita.Hawa watu nawashangaa sana, Kikwete Jumba lake la Migombani Mikocheni wanakaa POPO na MIJUSI tu ,Mwinyi naye Ghorofa zake mbili hazina mtu majani hadi getini na maji taka kwenye mitaro lakini anapewa nyumba nyingine.
Inasikitisha sana fedha zetu zinavyochezewa ile nyumba ya kikwete tangia ijengwe haijawahi kukaliwa na mtu yeyote zaidi ya POPO na MIJUSI,sijafika maeneo yale zaidi ya miaka miwili kama wamekarabati basi wanapoteza fedha za bure za walipa kodi.Nyumba ya Kikwete ya Migombani, Kikwete alilalamika imechakaa, serikali ikamfanyia ukarabati kwa gharama kubwa sana.Muda si mrefu uliopita.