Marajibio au mitego ya kumpa mwanamke kabla ya kufikia maamuzi ya kumuoa

Hili nalo mkalitazame
 
Na wewe ukiomba pesa ndogo usilalamike atakuwa naye anakutega km unaweza kumtunza.!!
 
Mtego wako mzuri ila sasa usigeneralise kuwa mambo yote yatakuwa sawa et kisa akiutegua mtego wako huu. Nafikiri unapaswa kuendq zaidi ya hapo.
 
Asijaribu hii atakufa papo kwa papo..
 
Itaendelea....
 
ww unaongea tu haiwezi kuwa rahisi namna hiyo kama ambavyo ww umemtega basi jua hata ye ye pia anakutega umuone wife material utanasa tu tena kwa hizo ndoa zenu za kanisani basi majanga matupu
 
Hili nalibeba kama lilivyo mkuu
 
ww unaongea tu haiwezi kuwa rahisi namna hiyo kama ambavyo ww umemtega basi jua hata ye ye pia anakutega umuone wife material utanasa tu tena kwa hizo ndoa zenu za kanisani basi majanga matupu
Mkuu mie ndoa yangu ni ya kiafrika Wala sijafuata tamaduni ambazo zimekuja na upepo wa mashua hata siku moja. Babu baba na mie mjukuu waa babu tumeoa kwa aina moja ya culture tumezaliwa na nimezaa na ninaheshimu mno kacha yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…