Mrao keryo
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 1,901
- 2,566
Noma sana,boss wa hayo magari Pamoja na mkewe walifariki kipindi cha corona ikiwa ya moto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inabidi tubadilike.Tatzo letu hatujali muda
Kilimanjaro Express nao ni hao hao mwezi wa nne mwaka huu tumetoka Shekilango saa kumi na mbili asubuhi kufikia Mwenge ikapata break down tukafaulishwa,kifupi Kilimanjaro Express ilikuwa zamani sasa ni zamu ya BMTuliposema mabasi ya kichina ni hovyo tulishambuliwa tukaambiwa hatuendi na wakati, huo upuuzi hutausikia Kilimanjaro Express, wale gari zao nyingi kama siyo zote ni toughened and trusted Scania
Unatoka Dar saa kumi na Mbili Asubuhi unaingia Moshi saa moja usiku...Naona jamaa yupo na Promotion ya KLM wakati watu washaacha kusafiri na hayo madudu kwa sababu hizo hizo anakuja na story ya KLM 2023...
Hili ni la muhimu, jamii yetu kwa asilimia kubwa haijali muda na ikitokea miongoni mwetu akionesha kujali tunamuona kiherehereInabidi tubadilike.
La sivyo, maendeleo tutakuwa tunayasikia tu!
Katarama Ni Scania na unajua juzi imetaga?Scania reliability yake ni 99% hayo mengine ni <80% unasafiri na hofu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Au ananukia Uwizi...Dar kila mtu mwizi au anajiandaa kuwa mwizi
Au Extra, Kidia...Kwanini msisafiri na Tilisho
Dharura ya kuacha kuagiza spea kutoka umbali wa km 60 na kuiagiza kutoka umbali wa 400+ kilometers huo siyo ujinga tu ni uwendawazimu.Kuna zarura, kuwa mwelewa. Kuna wakati hata kunguru anafia kwenye engine ya ndege.
Wewe wasema😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Au ananukia Uwizi...
Kule mizigo yao mingi inapitia mombas-Horohoro border na Tanga pia nahisi urasimu siyo mkubwa sana kama Dar port.Na Kilimanjaro huwezi kukosa spea yoyote, siri ni nini wakuu?
Tena kama limekodiwa inabidi ukodi gari nyingine iwapeleke.Dharura ya kuacha kuagiza spea kutoka umbali wa km 60 na kuiagiza kutoka umbali wa 400+ kilometers huo siyo ujinga tu ni uwendawazimu.
Labda kama gari imekodiwa lakini unajua kabisa waliopanda humo wengine wana watoto,wengine wazee ni wagonjwa wengine wanawahi mambo yao mbalimbali halafu kweli gari iharibike ufanye jambo kama hilo?je umejipanga kuwapa chochote baada ya uvumilivu watakaokupa?
Hata Dar express hana maisha siyo muda ataaga mashindano.Marangu nayo inaelekea kuumaliza mwendo, inachechemea sijui shida n nn
😆Abiria walitegemea kupatiwa basi la akiba kumbe hawana! Lakini baya zaidi ni kitendo cha kuagiza spea toka Moshi!
Nasafirisha parcel tu KLM walianza hii kazi muda mrefu wanafanya vizuri ila sio abiria...Unatoka Dar saa kumi na Mbili Asubuhi unaingia Moshi saa moja usiku...
Mimi hata kwa Offer KLM sipandi...
Wenzetu wanafundisha watoto wao kusimamia mali, sisi tukipata mali tunataka watoto wetu waishi kimayaimayai hata kujifulia nguo zao tu hawawezi, unakuta mzazi anamiliki gereji kubwa yenye mashine za maana lakin mtoto akiwa likizo anatumia huo muda kula bata kwenda anapotaka na kuangalia TVWahindi na waarabu mtoto akizaliwa tu anaingizwa kwenye biashara na atakulia ndani ya biashara japo anaenda shule, akikua staendeleza biashara hiyo kwani amekulia ndani yake na ndicho kinafanya biashara zao ziendelee kuendeshwa na vitukuu na vilembwe kwa jina lilelile la mwaka 1920!
Tilisho kaja vizuri sana, dar express nayo haielewekiHata Dar express hana maisha siyo muda ataaga mashindano.
Hizo ndiyo zilikuwa gari zangu nikiwa na safari za huko lakini siku hizi kuna hao wanajiita Tilisho na Esther wanawakata pumzi vibaya sana.