Marangu Coach imefikia hatua hii

Tuliposema mabasi ya kichina ni hovyo tulishambuliwa tukaambiwa hatuendi na wakati, huo upuuzi hutausikia Kilimanjaro Express, wale gari zao nyingi kama siyo zote ni toughened and trusted Scania.
Bro hakuna gari haziharibiki. Hiyo Kili tu wiki iliyopita nimekuta imejitagia bagamoyo.

Shida bongo hatuna matunzo mazuri ya vifaa veyru
 
... biashara za kiswahili m'beba maono akitangulia na biashara humfuata tofauti na ngozi nyeupe.
Yaani kweli kabisa. Mwezi may mumiliki wa Precion Air alifariki saizi nayo inachechemea soon inakufa. Maana saizi inabeba abilia kutoaka mikoa mbalimbali huku wakibakiza mizigo ya abiria huko wakiahidi watakutafuta kukuletea kumbe hapo ndio imetokea utafatilia Hadi unakata tamaa. Wameshalizwa abilia wa Mbeya kibao
 
Duh

Ova
 
Mkuu unafahamu mabasi ya kampani ya Najeem Nissa yale ndio kabisa
 
Yule kijana mpenda chini kampuni kusonga ni ngumu, anafanya mambo ya hovyo sana
Nami najua hivyo. Ndo nashangaa hapa anasoma mpk leo? Ma ni hizo hizo starehe alibamiza range. Anasema kwakua yeye ndo wa kiume basi arithi mali nyingi. Naogopa mambo ya watu mwaego. Mawakili wanakuchenchia dk 0 tu hawjaali nyie ndugu hahaha
 
Hukupata Kademu huo muda?
Ama hukuwa na Hela ukakadanganyia Vichipsi uakakala kwa Masiharaaaa
 
Wazazi wetu wa kiafrica roho mbaua sana
 
Hata Dar express hana maisha siyo muda ataaga mashindano.

Hizo ndiyo zilikuwa gari zangu nikiwa na safari za huko lakini siku hizi kuna hao wanajiita Tilisho na Esther wanawakata pumzi vibaya sana.
Dar ex press ana michina mipya. Huyu toka afiwe na mke na mtoto basi. Ila anbalai hotel imeamka tena maana loh. Na sisi wa vikapu ndo chimbo siku hizi
 
Pia kwakua wao waliteseka sana na kuzisotea ndo sababu ha wao kutotaka mtoto ashiriki biashara zake. Wapo radhi waibiwe na ndugu, jamaa ama rafiki wa mbali ila si mtoto wake
 
Acha uongo wewe.una chuki zako binafsi.Mbona hizo scania leo sio nyingi barabarani kama haziharibiki.Hakuna gari ambalo halipati itilafu.Tuache kuongea kauli kwasababu ya mawazo yetu binafsi yasiyo sawa.
Ni chache kwasababu hakuna kibunda cha kumudu kuyanunua mengi. Hahahaa
Anaitwa Mr. Expensibe shit. G7 moja tunapata michina mingapi na mkopo juu?
 
Hahaha kwahiyo G7 ni tetenus. Na unazijua scania unazoziona hapa tu? Umeziona za ulaya? Brazili? Kuwa serious basi. Labda useme kwa tz tu ndo kawaletea mapinduzi. Lkn ni kwakua u cant afford that G7 thing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…