Marangu Coach imefikia hatua hii

Marangu Coach imefikia hatua hii

Sauli kakimbia game?
Mbona bado anakiwasha balaa Na anajali Muda kuliko unavodhani
Au ulikua unamaanisha nini.
Sauli amekosa wasimamizi tu na marejesho jamanii. Uwuuiii. Marejesho acheni
 
Yaani kweli kabisa. Mwezi may mumiliki wa Precion Air alifariki saizi nayo inachechemea soon inakufa. Maana saizi inabeba abilia kutoaka mikoa mbalimbali huku wakibakiza mizigo ya abiria huko wakiahidi watakutafuta kukuletea kumbe hapo ndio imetokea utafatilia Hadi unakata tamaa. Wameshalizwa abilia wa Mbeya kibao
Kwani hisa zake si alishauza? Yeye si alibaki kama muasisi tu?
 
Tuliposema mabasi ya kichina ni hovyo tulishambuliwa tukaambiwa hatuendi na wakati, huo upuuzi hutausikia Kilimanjaro Express, wale gari zao nyingi kama siyo zote ni toughened and trusted Scania.
Mkuu yale mataa ya rangi huenda ndio kivutio kwao,ushamba ni mzigo.
 
Tuliposema mabasi ya kichina ni hovyo tulishambuliwa tukaambiwa hatuendi na wakati, huo upuuzi hutausikia Kilimanjaro Express, wale gari zao nyingi kama siyo zote ni toughened and trusted Scania.
Ah watu wanataka wakipanda kuna zile taa zipo juu kama kwenye rolls royce zinaitwa nn nshasahau nilipanda basi moja la kichina nikaziona
Nilicheka😂😂😂
Hapo ndo wakiona zile huwatoi kwenye bus
 
Yule wa kiume mpenda bata sana. Aligonga range la baba yake. Alitaka kurithi vingi zaidi kwakua ni wa kiume. Ni kama ana ule mfumo dume wa kikoloni wa enzi hizo uchaggani
Acha nongwa mkuu kwani dogo akila bata, akigonga gari si za babake wewe inakuuma nini. Au wewe hukuachiwa kitu. Hahahaa Pole sana pambana wanao waje wayafaidi maisha bladfool
 
Mrejesho, baada ya usingizi kukata kumbe basi liliingia Moshi saa 5 usiku! Hivyo basi lilitumia saa 17 toka Dar mpaka Moshi!
This is Marangu Couch, Welcome aboard, usisite kuwasiliana na wahudumu wa basi endapo utakuwa na tatizo isipokuwa la kifedha na kimwili.
 
Tuliposema mabasi ya kichina ni hovyo tulishambuliwa tukaambiwa hatuendi na wakati, huo upuuzi hutausikia Kilimanjaro Express, wale gari zao nyingi kama siyo zote ni toughened and trusted Scania.
Kwa sasa Kilimanjaro Express na Dar Express sio magari tena, ni mikweche inayosukumwa kama mikokoteni.
Ni juzi tu Kilimanjaro Express imenilaza njiani.

Note: Ukiona basi lina namba A au B la Kilimanjaro Express usipande, ni gari ya mkaa, tripu moja shamba nyingine garage, ni spana mkononi.
 
BA
Jana Jumatano 04/10/2023 basi la Marangu Coach liliondoka Dar es Salaam asubuhi kama kawaida na abiria wakiwa na matarajio ya kufika Moshi kwenye saa 10 hivi bila kujua lililo mbele yao, basi lilipofika wilaya ya Bagamoyo likaharibika ikabidi spea iagizwe toka Moshi iletwe Bagamoyo! Akili mbovu.

Spea haikuletwa kwa ndege wala ungo, Moshi siyo Dar masaa yalipita Mungu Mkuu ikafikishwa na basi likatengenezwa na kuendelea na safari, likaingia mkoa wa Tanga likaharibika tena na likatengenezwa na kuendelea na safari, mpaka saa nne usiku basi lilikuwa wilaya ya Same! Usingizi ukanipata nikazimika na sijui Moshi liliingia saa ngapi ila lilifika salama, hiyo ndiyo Marangu Coach.
Bado unapanda "Marangu Coach"🙆🙆Sitokuja lisahau Gari Hilo lilivyotusotesha Korogwe 2019 Dec. 😡Panda Tilisho Ndugu haitajutia.
 
BA

Bado unapanda "Marangu Coach"🙆🙆Sitokuja lisahau Gari Hilo lilivyotusotesha Korogwe 2019 Dec. 😡Panda Tilisho Ndugu haitajutia.
Asante, ila basi lilifika Moshi saa 5 usiku. Welcome aboard Marangu Couch.
 
Back
Top Bottom