miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Sauli amekosa wasimamizi tu na marejesho jamanii. Uwuuiii. Marejesho acheniSauli kakimbia game?
Mbona bado anakiwasha balaa Na anajali Muda kuliko unavodhani
Au ulikua unamaanisha nini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sauli amekosa wasimamizi tu na marejesho jamanii. Uwuuiii. Marejesho acheniSauli kakimbia game?
Mbona bado anakiwasha balaa Na anajali Muda kuliko unavodhani
Au ulikua unamaanisha nini.
Kwani hisa zake si alishauza? Yeye si alibaki kama muasisi tu?Yaani kweli kabisa. Mwezi may mumiliki wa Precion Air alifariki saizi nayo inachechemea soon inakufa. Maana saizi inabeba abilia kutoaka mikoa mbalimbali huku wakibakiza mizigo ya abiria huko wakiahidi watakutafuta kukuletea kumbe hapo ndio imetokea utafatilia Hadi unakata tamaa. Wameshalizwa abilia wa Mbeya kibao
Mkuu yale mataa ya rangi huenda ndio kivutio kwao,ushamba ni mzigo.Tuliposema mabasi ya kichina ni hovyo tulishambuliwa tukaambiwa hatuendi na wakati, huo upuuzi hutausikia Kilimanjaro Express, wale gari zao nyingi kama siyo zote ni toughened and trusted Scania.
Sisi hata mume hamshirikishi mkewe, akifariki ghafla mwanamke hajui walichonacho kifamilia.Wazazi wetu wa kiafrica roho mbaua sana
Ah watu wanataka wakipanda kuna zile taa zipo juu kama kwenye rolls royce zinaitwa nn nshasahau nilipanda basi moja la kichina nikazionaTuliposema mabasi ya kichina ni hovyo tulishambuliwa tukaambiwa hatuendi na wakati, huo upuuzi hutausikia Kilimanjaro Express, wale gari zao nyingi kama siyo zote ni toughened and trusted Scania.
Najeem nakumbuka ni ya Tanga miaka mingi kama sijakosea.Mkuu unafahamu mabasi ya kampani ya Najeem Nissa yale ndio kabisa
Acha nongwa mkuu kwani dogo akila bata, akigonga gari si za babake wewe inakuuma nini. Au wewe hukuachiwa kitu. Hahahaa Pole sana pambana wanao waje wayafaidi maisha bladfoolYule wa kiume mpenda bata sana. Aligonga range la baba yake. Alitaka kurithi vingi zaidi kwakua ni wa kiume. Ni kama ana ule mfumo dume wa kikoloni wa enzi hizo uchaggani
PWZipi hizo hizi zisizo uhakika afadhali ya bus
Alikuwa hisa badoKwani hisa zake si alishauza? Yeye si alibaki kama muasisi tu?
Kwa sasa Kilimanjaro Express na Dar Express sio magari tena, ni mikweche inayosukumwa kama mikokoteni.Tuliposema mabasi ya kichina ni hovyo tulishambuliwa tukaambiwa hatuendi na wakati, huo upuuzi hutausikia Kilimanjaro Express, wale gari zao nyingi kama siyo zote ni toughened and trusted Scania.
Zarura=Dharula,Kuna zarura, kuwa mwelewa. Kuna wakati hata kunguru anafia kwenye engine ya ndege.
Zarura=Dharula,
mambo yenu ya ulisi hayo
Umeandika km sheby wa zamaradi au ndo weweUrithi = ulisi
Ujuaji sio mzuri
Umeandika km sheby wa zamaradi au ndo wewe
Bado unapanda "Marangu Coach"🙆🙆Sitokuja lisahau Gari Hilo lilivyotusotesha Korogwe 2019 Dec. 😡Panda Tilisho Ndugu haitajutia.Jana Jumatano 04/10/2023 basi la Marangu Coach liliondoka Dar es Salaam asubuhi kama kawaida na abiria wakiwa na matarajio ya kufika Moshi kwenye saa 10 hivi bila kujua lililo mbele yao, basi lilipofika wilaya ya Bagamoyo likaharibika ikabidi spea iagizwe toka Moshi iletwe Bagamoyo! Akili mbovu.
Spea haikuletwa kwa ndege wala ungo, Moshi siyo Dar masaa yalipita Mungu Mkuu ikafikishwa na basi likatengenezwa na kuendelea na safari, likaingia mkoa wa Tanga likaharibika tena na likatengenezwa na kuendelea na safari, mpaka saa nne usiku basi lilikuwa wilaya ya Same! Usingizi ukanipata nikazimika na sijui Moshi liliingia saa ngapi ila lilifika salama, hiyo ndiyo Marangu Coach.
Asante, ila basi lilifika Moshi saa 5 usiku. Welcome aboard Marangu Couch.BA
Bado unapanda "Marangu Coach"🙆🙆Sitokuja lisahau Gari Hilo lilivyotusotesha Korogwe 2019 Dec. 😡Panda Tilisho Ndugu haitajutia.
ulisi=urithiZarura=Dharula,
mambo yenu ya ulisi hayo
ulisi ni pombe ya wapi? Au kiswahili cha wapi?Urithi = ulisi
Ujuaji sio mzuri
Mwambie shubi akufundishe kuandika vizuriNdo mimi, nikusaidie nini ndugu?