Marangu Coach imefikia hatua hii

Marangu Coach imefikia hatua hii

Nimeliona lingine mida hii hapa Makuyuni linaenda Mwanza ..ahasa na te Kwa taarifa!
Jana Jumatano 04/10/2023 basi la Marangu Coach liliondoka Dar es Salaam asubuhi kama kawaida na abiria wakiwa na matarajio ya kufika Moshi kwenye saa 10 hivi bila kujua lililo mbele yao, basi lilipofika wilaya ya Bagamoyo likaharibika ikabidi spea iagizwe toka Moshi iletwe Bagamoyo! Akili mbovu.

Spea haikuletwa kwa ndege wala ungo, Moshi siyo Dar masaa yalipita Mungu Mkuu ikafikishwa na basi likatengenezwa na kuendelea na safari, likaingia mkoa wa Tanga likaharibika tena na likatengenezwa na kuendelea na safari, mpaka saa nne usiku basi lilikuwa wilaya ya Same! Usingizi ukanipata nikazimika na sijui Moshi liliingia saa ngapi ila lilifika salama, hiyo ndiyo Marangu Coach.
 
Kwani kuna gari isiyoharibika mkuu?

Sema kosa kubwa, spea itoke Moshi badala ya Dar.
Pili inafaa gari ikiharibika wafanye mbadala kufaulisha watu.

Hata ndege zinafaulishaga mkuu
 
Sawa mkuu, Ila kutokana na dharura iliyotokea ingekuwa busara zaidi kuagizia kutoka Dar ambapo ni karibu Sana na Bagamoyo. Hii ingepunguza adha kwa abiria.
Kuna siku nlikua natoka arusha to dom na shabiby, basi likapata tatzo kabla hata ya kufika makuyuni, spea ilitoka dodoma tulingoja zaidi ya 5 hrs. Nadhan wanakuwa na spea zao pia ndio maana ya kusubiria badala ya kununua karibu na eneo ilipotokea changamoto.
 
Huenda walinunua spare za jumla kupunguza gharama na wakaona waweke office zao za Moshi. Landa dar waliona si salama.
Pia yawezekana service haikufanyika vyema kabla ya safari.

Lakini....

Tulishawaambia ya kwamba hivi? Michina haina ishu. Nunua msweden. Gari ya kazi. Tupa geukaaa. Hahahah mimi nasemaga kila siku jamani mzungu ni mzungu tu. Yaani ujinga kbs.

Tuongee na Nacharo atoe hizo scania abadilishe route maana ni matumizi mabaya ya scania kuipeleka dar tanga. Route ya go and return kwa siku moja ni matumizi mabaya ya scania
 
Mkuu gari yeyote inahitaji matengenezo ya mara kwa mara ili yasitokee hayo hata Scania pia zinaharibika nyingi tu tatizo la Marangu ni Mmiliki kufariki naona wahuni wanaendesha Kampuni wanavyotaka...mbona hiyo ishu hakuna Shabiby,Ester na mengineyo ambao wamejaza Mchina...
Namba A ya scania inafanya poa kuliko mchina wa namba E. Kama nasema uongo nionyeshe mchina wa namba A.

Wanaoendesha ni watoto. Ni yule wa kiume. F*uck covid. Imewakatili sana hii familia aisee. Nilipita kijijini kwao Lekura Mamba last week kumepoa kweli jamani. Mwenye mali ni mwenye mali tu.
 
Kuna siku nlikua natoka arusha to dom na shabiby, basi likapata tatzo kabla hata ya kufika makuyuni, spea ilitoka dodoma tulingoja zaidi ya 5 hrs. Nadhan wanakuwa na spea zao pia ndio maana ya kusubiria badala ya kununua karibu na eneo ilipotokea changamoto.
Biashara za Kiswahili.
Hawana habari na usemi "Mteja ni Mfalme". Wanaweka mbele maslahi yao, basi!
 
Kuna siku nlikua natoka arusha to dom na shabiby, basi likapata tatzo kabla hata ya kufika makuyuni, spea ilitoka dodoma tulingoja zaidi ya 5 hrs. Nadhan wanakuwa na spea zao pia ndio maana ya kusubiria badala ya kununua karibu na eneo ilipotokea changamoto.
Exactly
Watu wananunua kwa bei ya jumla...
 
Back
Top Bottom