Maranja Masese atembelea kaburi la Lowassa. Akutana na familia

Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Martin Maranja Masese , amekuwa Mtanzania wa kwanza kutembelea Kaburi la Edward Lowassa huko kijijini Ngarashi , Wilayani Monduli .

Bwana Masese amekutana na Familia ya Lowassa na kuteta nayo Mambo kadhaa , ikumbukwe kwamba Maranja Masese ni miongoni mwa Team Maalum ya Chadema , iliyoambatana na Lowassa kila Mahali kwenye kampeni za Urais za 2015

View attachment 2909275View attachment 2909276
maranja ndio nani tena
anajishughulisha na nini?

isijekuwa unajaza saver Jf
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Martin Maranja Masese, amekuwa Mtanzania wa kwanza kutembelea Kaburi la Edward Lowassa huko kijijini Ngarashi , Wilayani Monduli .

Bwana Masese amekutana na Familia ya Lowassa na kuteta nayo Mambo kadhaa , ikumbukwe kwamba Maranja Masese ni miongoni mwa Team Maalum ya Chadema , iliyoambatana na Lowassa kila Mahali kwenye kampeni za Urais za 201

Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Martin Maranja Masese, amekuwa Mtanzania wa kwanza kutembelea Kaburi la Edward Lowassa huko kijijini Ngarashi, Wilayani Monduli.

Bwana Masese amekutana na Familia ya Lowassa na kuteta nayo Mambo kadhaa, ikumbukwe kwamba Maranja Masese ni miongoni mwa Team Maalum ya Chadema, iliyoambatana na Lowassa kila Mahali kwenye kampeni za Urais za 2015.

View attachment 2909275View attachment 2909276
Zile tents na red carpet zilibadilisha sana madhari huwezi kuamini kama ndio hapo tulikuwa juzi tukitoa salam za mwisho kwa Mwamba wa kasikazini
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Martin Maranja Masese, amekuwa Mtanzania wa kwanza kutembelea Kaburi la Edward Lowassa huko kijijini Ngarashi, Wilayani Monduli.

Bwana Masese amekutana na Familia ya Lowassa na kuteta nayo Mambo kadhaa, ikumbukwe kwamba Maranja Masese ni miongoni mwa Team Maalum ya Chadema, iliyoambatana na Lowassa kila Mahali kwenye kampeni za Urais za 2015.

View attachment 2909275View attachment 2909276

Tofauti yako na mwasamba ni vyama mnavyoshabikia tu ila nyie watu wawili mnaupa mkoa wa mbeya sifa mbaya. Mnasifia hadi mnapitiliza.
 
Kwamba mimi sasa naweza kuwa Chawa wa Maranja Masese siyo? Kwamba kwa Taarifa hii nimelipwa na Maranja Masese ambaye hagombei hata ubunge ili nimpaishe au unataka kumaanisha nini , kwamba hatukutakiwa kuandika kuhusu habari hizi au ulitakaje ?
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Martin Maranja Masese, amekuwa Mtanzania wa kwanza kutembelea Kaburi la Edward Lowassa huko kijijini Ngarashi, Wilayani Monduli.

Bwana Masese amekutana na Familia ya Lowassa na kuteta nayo Mambo kadhaa, ikumbukwe kwamba Maranja Masese ni miongoni mwa Team Maalum ya Chadema, iliyoambatana na Lowassa kila Mahali kwenye kampeni za Urais za 2015.

View attachment 2909275View attachment 2909276
ni wa wapi
 
Back
Top Bottom