Maranja Masese atembelea kaburi la Lowassa. Akutana na familia

Kwamba mimi sasa naweza kuwa Chawa wa Maranja Masese siyo ? kwamba kwa Taarifa hii nimelipwa na Maranja Masese ambaye hagombei hata ubunge ili nimpaishe au unataka kumaanisha nini , kwamba hatukutakiwa kuandika kuhusu habari hizi au ulitakaje ?
Sssa
Tajiri kweli yaani , usiumie roho , nyie wengi mnalogana tu ili muwe masikini , Mungu hakuumba umasikini
Hamna tajiri mjingamjinga Kama wewe...
 
Kwamba mimi sasa naweza kuwa Chawa wa Maranja Masese siyo ? kwamba kwa Taarifa hii nimelipwa na Maranja Masese ambaye hagombei hata ubunge ili nimpaishe au unataka kumaanisha nini , kwamba hatukutakiwa kuandika kuhusu habari hizi au ulitakaje ?

Mkuu Tanzania ni nchi huru hivyo wewe andika vile inavyokupendezea. Sifia vile utakavyo usisahau kuweka namba ya simu. Huwezi jua MMM anaweza kuja kua mtu mkubwa serikalini CDM wakichukua nchi. Usisahau kuweka namba ya simu Kama Luca. You never know
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Martin Maranja Masese, amekuwa Mtanzania wa kwanza kutembelea Kaburi la Edward Lowassa huko kijijini Ngarashi, Wilayani Monduli.

Bwana Masese amekutana na Familia ya Lowassa na kuteta nayo Mambo kadhaa, ikumbukwe kwamba Maranja Masese ni miongoni mwa Team Maalum ya Chadema, iliyoambatana na Lowassa kila Mahali kwenye kampeni za Urais za 2015.

View attachment 2909275View attachment 2909276
Strategic Men......Big Brains
 
Ameacha kufanya biashara ya bangi kupeleka Kenya?
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Martin Maranja Masese, amekuwa Mtanzania wa kwanza kutembelea Kaburi la Edward Lowassa huko kijijini Ngarashi, Wilayani Monduli.

Bwana Masese amekutana na Familia ya Lowassa na kuteta nayo Mambo kadhaa, ikumbukwe kwamba Maranja Masese ni miongoni mwa Team Maalum ya Chadema, iliyoambatana na Lowassa kila Mahali kwenye kampeni za Urais za 2015.

View attachment 2909275View attachment 2909276
Yaan kweli CDM ni manyumbu, kabisa. Yaan watu wamefiwa na baba yao, wana uchungu. Wewe unatumia msiba kusiasa. Ndio maana lowasa aliwashiti, baada ya kuona hamana cha, maana. Akarud CCM.
 
Wewe ndiye umeonyesha upumbavu wako ,jifunze kusoma ili uelewe kuliko kuuliza maswali, tuliosoma chini ya mstari tumeelewa kuwa ni mtanzania wa kwanza(offcourse)nje ya familia yake, sawa sasa tatizo lipo wapi?,kama umeona wivu, nenda kule Lushoto kuna milima mingi, go and jump to hell
Watu wajinga hawana nafasi Lushoto, labda aende Ruangwa au Mtama huko akakanyagwe mgongoni na mbunge kama wale mama zake walivyo kanyagwa na Bumunda
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Martin Maranja Masese, amekuwa Mtanzania wa kwanza kutembelea Kaburi la Edward Lowassa huko kijijini Ngarashi, Wilayani Monduli.

Bwana Masese amekutana na Familia ya Lowassa na kuteta nayo Mambo kadhaa, ikumbukwe kwamba Maranja Masese ni miongoni mwa Team Maalum ya Chadema, iliyoambatana na Lowassa kila Mahali kwenye kampeni za Urais za 2015.

View attachment 2909275View attachment 2909276
Nimeipenda hii lakini sikufarahishwa na mapicha yalioko nyuma ya kaburi. Lkn kwa kuwa sio muislamu basi tu. Lkn Lowasa angalikuwa muislamu naamini familia ingalikuwa ishapewa nasaha kuhusu mapicha hayo.
Muislamu baada ya kufa hivi vitamsaidia
1. Sadakal jaria.
2. Mtoto mwema
Sasa kama watoto wa muislamu ameweka ktk international school wakati hata madrasa hataki kumuhusisha - imekula kwako.
Kama misaada unayotoa ktk mipira, siasa na unahasau kusaidia waislamu wenzio ktk maendeleo- imekula kwako.
Binaadam yoyote akishafuka ndio basi tena. Chakula cha mchwa maana mchwa huwa wanachekelewa akizikwa binaadam.
Binaadam sio wa kujiona kabisa . Akiumwa kidole tu anaregea wote.
Nawashangaa sana baadhi ya members wa jf kwa matusi wakati akiumwa na kidole wiki humuoni kupost.
ASUBUHI NJEMA
 
Eti Mtanzania wa kwanza kutembelea kaburi la Lowassa. Ndiyo maana mnaitwa manyumbu hivi hivi kwa ujinga wenu.
Waombolezaji,watoto wake,mke,nduguze,nk wote hao hawajalitembelea kaburi hadi huyo Masese awe namba one?
Sidhani kama huwa unajaribu kutumia akili.Hata hivyo nina mashaka kama kweli akili yenyewe unayo.
 
Back
Top Bottom