Maranja Masese atembelea kaburi la Lowassa. Akutana na familia

maranja ndio nani tena
anajishughulisha na nini?

isijekuwa unajaza saver Jf
 

Zile tents na red carpet zilibadilisha sana madhari huwezi kuamini kama ndio hapo tulikuwa juzi tukitoa salam za mwisho kwa Mwamba wa kasikazini
 
Siyo watu wote tunamjua huyo Masese.

Umeishia kuweka picha tu ili wasomaji tuchague Masese ni yupi kati ya hao wengi.

Punguza uchawa Malafyale
 

Tofauti yako na mwasamba ni vyama mnavyoshabikia tu ila nyie watu wawili mnaupa mkoa wa mbeya sifa mbaya. Mnasifia hadi mnapitiliza.
 
Tofauti yako na mwasamba ni vyama mnavyoshabikia tu ila nyie watu wawili mnaupa mkoa wa mbeya sifa mbaya. Mnasifia hadi mnapitiliza.
Kwamba mimi sasa naweza kuwa Chawa wa Maranja Masese siyo? Kwamba kwa Taarifa hii nimelipwa na Maranja Masese ambaye hagombei hata ubunge ili nimpaishe au unataka kumaanisha nini , kwamba hatukutakiwa kuandika kuhusu habari hizi au ulitakaje ?
 
ni wa wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…