Maranja Masese atembelea kaburi la Lowassa. Akutana na familia

Ili kujua utimamu wake nenda kachokoze! Pale siyo jf ni anakupiga spana with facts mpaka unakimbia
Tatizo lenu ni mnawatukuza watu mpaka wanajiona miungu ndio tatizo lenu, ety anakupiga spana with facts 😂 Wabongo bhana
 
Kijana ana mdomo mchafu huyu kama shimo la choo.Hana adabu kwa wakubwa zake,ipo siku atawacharua maboss zake wa chadema.We ngoja waendelee kumchekea.
 
Kijana ana mdomo mchafu huyu kama shimo la choo.Hana adabu kwa wakubwa zake,ipo siku atawacharua maboss zake wa chadema.We ngoja waendelee kumchekea.
Huyu hana unafiki , ukileta ujinga unakula spana
 
Huyu hana unafiki , ukileta ujinga unakula spana
Chadema nyie wote ni wapumbavu, tofautisha kula spana na kumfanya mtu ajione mungu. Mnachofanya nyie n kumtukuza huyo mpumbavu mwenzenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…