Marasta Arusha kuvuliwa ubingwa na Wazungu watalii

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Hii ni fedheha kubwa kwa vijana Marasta wa Arusha kuutweza utu wao kwa ujira kiduchu wa Dola toka kwa watalii. Inakuaje kijana unajidhalilisha kisa pesa/pombe?
NB: kazi (Halali) kipimo cha utu
Kuliwa KANDE si ujanja


Your browser is not able to display this video.
 
Hii ni fedheha kubwa kwa vijana Marasta wa Arusha kuutweza utu wao kwa ujira kiduchu wa Dola toka kwa watalii. Inakuaje kijana unajidhalilisha kisa pesa/pombe?
NB: kazi (Halali) kipimo cha utu
mdogo wangu APPROXIMATELY haya kumekucha huku na Arusha yako. njoo uwatetee marasta wenu, mwamba katema sumu.

ila dah!..vijanaa wa arusha mnajua sana kutunza siri za mambo yenu ya ajabu ajabu.
hili jambo kwa mda mrefu nilikuwa nalisikia tu chinichini,nilidhani mnasingiziwa,kumbe kweli bhana.[emoji1787][emoji1787]
 
Sehemu nyingi za utalii vijana wanaliwa tigo na watalii. Ilianza Mombasa,Kenya miaka ile ya zamani utalii ulikuwa juu wataliano wakaanza kuwala tigo Moi akawatimua. Wakakimbilia Zanzibar kule vijana wanaliwa hatariii, kuna vijana wa kimasai na kidasalamu kule wanapelekewa moto hatari sasa mambo yapo Arusha. Chato haipo mbali nayo mwenye masikio atasikia eeiii aahh kutokea chato soon
 
Kupelekewa moto kabisa? Mimi nikajua wao ndio wanapeleka huo moto kwa wazungu.
 
Chato? Yaya gete yaya. Hukohuko Arusha munhu nduma aliyo ikaya adinayoo. Nadosela ng'wa chato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…