Plan Master
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,188
- 3,762
Mimi sifugagi hiyo kitu mkuu acha ujingaPole sana rasta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sifugagi hiyo kitu mkuu acha ujingaPole sana rasta
Inasikitisha sanaMkuu angalia nyuzi nyingi hapa vijana wanasema wanakwenda zanzibar au Arusha. Wanakwenda kula bata lakini hawana hela ukidhaminiwa na wao wadhamini.
Aiseee huyu ana mapepo😳 hii ndio lugha gani tena?Chato??? Yaya gete yaya. Hukohuko Arusha munhu nduma aliyo ikaya adinayoo. Nadosela ng'wa chato
Ni kweli Vijana tumekuwa wavivu wakufanya kazi ila tunataka maisha mazuri, Yani ukienda Zanzibar ukitembelea beach utakutana na Vijana waki Masai wanazagaa beach kutafuta wazungu ili wawe na maisha mazuri" yani nilisikitika sana kuona Wamasai wanaingiliwa kinyume maumbile kisa wanataka maisha mazuri, yani Wamasai kutoka kwenye kuua simba mpaka kwenda ufukweni Zanzibar kujiuza hii ni hatari sana, wanaacha utamaduni wao wa ufugaji wanaenda kugezwa mashoga na wazungu, ukiwakuta beach wamesimama kwa unyonge wakiwaangalia wazungu wakiwa wamelala na kunywa na kula mpaka aibu, hii tabia wanayo vijana wengi wa Arusha wao wanafikiri bila kupata mzungu hawezi kuwa na maisha mazuri na kuendesha gari.Vijana wameharibika taifa linapoteza nguvu kazi dunia imekwisha kwa kweli
hiki unachokisema ni kweli. wakati flani nikiwa kendwa rock beach zanzibar, nilisimuliwa hii habari na aliyenisumulia alinionyesha mpaka kijana wa kimasai anayefanyiwa jambo hili.Ni kweli Vijana tumekuwa wavivu wakufanya kazi ila tunataka maisha mazuri, Yani ukienda Zanzibar ukitembelea beach utakutana na Vijana waki Masai wanazagaa beach kutafuta wazungu ili wawe na maisha mazuri" yani nilisikitika sana kuona Wamasai wanaingiliwa kinyume maumbile kisa wanataka maisha mazuri, yani Wamasai kutoka kwenye kuua simba mpaka kwenda ufukweni Zanzibar kujiuza hii ni hatari sana, wanaacha utamaduni wao wa ufugaji wanaenda kugezwa mashoga na wazungu, ukiwakuta beach wamesimama kwa unyonge wakiwaangalia wazungu wakiwa wamelala na kunywa na kula mpaka aibu, hii tabia wanayo vijana wengi wa Arusha wao wanafikiri bila kupata mzungu hawezi kuwa na maisha mazuri na kuendesha gari.
Akili ya kumtegemea mtu ni mbaya sana hadi inafikia kuuza utu kizazi kimeshaharibika.Ni kweli Vijana tumekuwa wavivu wakufanya kazi ila tunataka maisha mazuri, Yani ukienda Zanzibar ukitembelea beach utakutana na Vijana waki Masai wanazagaa beach kutafuta wazungu ili wawe na maisha mazuri" yani nilisikitika sana kuona Wamasai wanaingiliwa kinyume maumbile kisa wanataka maisha mazuri, yani Wamasai kutoka kwenye kuua simba mpaka kwenda ufukweni Zanzibar kujiuza hii ni hatari sana, wanaacha utamaduni wao wa ufugaji wanaenda kugezwa mashoga na wazungu, ukiwakuta beach wamesimama kwa unyonge wakiwaangalia wazungu wakiwa wamelala na kunywa na kula mpaka aibu, hii tabia wanayo vijana wengi wa Arusha wao wanafikiri bila kupata mzungu hawezi kuwa na maisha mazuri na kuendesha gari.
but according to the publisher of this thread, he says most of the so called rasta wannabes (marasta feki) in arusha are involved in homosexual activities with tourists just to fulfill their needs. is it true?.Nadhani wote ni wazima humu,
Nafurahi sana kwa wote ulionitaja humu ndani,na feeling proud this is much respect to me,may God be with u all.
Wengi wetu humu hatujui maana ya "RASTA",ngoja niwape maana kwanza ilitujue hawa watu wakoje,tuwatofautishe na watu walio na dreadlocks,maana sio kila mwenye dreadlocks ni RASTA....
RASTAFARAI(Wakati mwingine huitwa (URASTAFARAI)..
NI DINI kama ilivyokuwa Dini nyingine kibao(Christian,Muslim and so on)..
Iliyoanzishwa huko Jamaica miaka 1930.
Wakati mwingine dini hii hutambulika pia kuwa mfumo wa maisha na vuguvugu la kitamaduni.
Mfalme wa zamani ETHIOPIA [emoji1098], (HAILE SELASSIE),anapewa umuhimu wa pekee,MARASTA wengi humuona kama mwili wa "JAH" duniani na kama ujio wa pili wa "YESU" KRISTO.wengine humwaona kama nabii wa kibinadamu ambaye alitambua kikamilifu uungu wa ndani ya kila mtu.
MARASTA wengi wanasisitiza waafrica waliopo nchi za magharabi kurudi Africa [emoji288] ,wanaamini kuwa bara la Africa ni nchi ya ahadi ya Sayuni..
MARASTA huita mfumo wao wa maisha UHAI-(LIVITY),ibadan zao huita MSINGI-(GROUNDATIONS).na hujumisha MZIKI,KUIMBA,MAJADILIANO NA BANGI-(ambayo huonekana kama SAKRAMENT)..
MARASTA wengi hula vyakula vya asili bila NYAMA wala CHUMVI(vyakula hivi huitwa itali).wanaacha nywele zao kukua bila kuchanwa au kukatwa(DREARDLOCKS)
RASTAFARI ilitokea miongoni mwa jumuiya za WAJAMAICA WEUSI,maskini katika miaka ya 1930,ITIKADI yake ya UAFRICA Ilikuwa jibu dhidi ya UTAMADUNI wa KIKOLONI wa JAMAICA..
Sio kila mwenye dreadlocks ni Rasta,URASTA NI IMANI kama zilivyo imani tofauti tofauti hapa duniani,Wengi wao husokota nywele ili wapate WAZUNGU kwa kuwa WAZUNGU wanawapenda sana MARASTA maana ni watu wapole,waelewa sana na wanyenyekevu,MARASTA ndo watu wa asili kabisa wa AFRICA,ambapo mkuu wao alitokea ETHIOPIA [emoji1098], NA ndo nchi haikutawaliwa na WAKOLONI,wengi watu hujificha kwenye kivuli cha URASTA ili wapate PESA,NA MAHITAJI YAO YA KIMAISHA,ni kama WACHUNGAJI FAKE NA MASHEHE MCHWARA(WAONGO)..ambao sasa tunasikia kila siku kwenye vyombo vya HABARI matukio mara PADRE KALAWITI WATOTO 10,mara SHEHE kalawiti vitoto n.k.
Hao wote wanaofanya vitendo vya ushoga sio MARASTA wa IMANI bali ni wenye nywele ndefu zilizosokotwa wasio NA IMANI ya ndani,bali wanatumia kigezo cha kusokota nywele iliwaonekane ni MARASTA wa kweli,mimi nachojua ni watu tu wakawaida..
Nadhani nimejibu majibu ya wote humu ndani,nashukuru kwa uzi wenye tija juu ya jamii yetu hii pendwa ya URASTAFARAI..
HOW YO TREAT OTHERS IS HOW YOU REALLY FEEL INSIDE..
"BOONOONOOONOOOS"
Yapbut according to the publisher of this thread, he says most of the so called rasta wannabes (marasta feki) in arusha are involved in homosexual activities with tourists just to fulfill their needs. is it true?.
imeisha hiyo....thread closed
Tukienda na general conclusion ya mleta mada hao marasta wazembe wa arusha wanaotafuta wamama/wabibi wa kizungu ili kupata pesa ni bora kuliko wanaume wazembe wa dar hasa wa kinondoni wanaojigeuza mashoga kwa wenye pesa ili kupata pesa.mdogo wangu APPROXIMATELY haya kumekucha huku na arusha yako. njoo uwatetee marasta wenu, mwamba katema sumu.
ila dah!..vijanaa wa arusha mnajua sana kutunza siri za mambo yenu ya ajabu ajabu.
hili jambo kwa mda mrefu nilikuwa nalisikia tu chinichini,nilidhani mnasingiziwa,kumbe kweli bhana.[emoji1787][emoji1787]
Uzi huu hauweI kuisha😁😁😁😁😁Tukienda na general conclusion ya mleta mada hao marasta wazembe wa arusha wanaotafuta wamama/wabibi wa kizungu ili kupata pesa ni bora kuliko wanaume wazembe wa dar hasa wa kinondoni wanaojigeuza mashoga kwa wenye pesa ili kupata pesa.
NB:
Hao vijana wa makundi yote mawili ni wazembe na wavivu wa kufikiri ila kwa general conclusion ya mleta mada wenye siri zaidi ni hao wa Dar wanaotobolewa spika.
Hao vijana wa makundi yote mawili ni wazembe na wavivu wa kufikiri ila kwa general conclusion ya mleta mada wenye siri zaidi ni hao wa Dar wanaotobolewa spika.