Marasta Arusha kuvuliwa ubingwa na Wazungu watalii

Marasta Arusha kuvuliwa ubingwa na Wazungu watalii

Nadhani wote ni wazima humu,
Nafurahi sana kwa wote ulionitaja humu ndani,na feeling proud this is much respect to me,may God be with u all.

Wengi wetu humu hatujui maana ya "RASTA",ngoja niwape maana kwanza ilitujue hawa watu wakoje,tuwatofautishe na watu walio na dreadlocks,maana sio kila mwenye dreadlocks ni RASTA....
RASTAFARAI(Wakati mwingine huitwa (URASTAFARAI)..
NI DINI kama ilivyokuwa Dini nyingine kibao(Christian,Muslim and so on)..
Iliyoanzishwa huko Jamaica miaka 1930.
Wakati mwingine dini hii hutambulika pia kuwa mfumo wa maisha na vuguvugu la kitamaduni.
Mfalme wa zamani ETHIOPIA [emoji1098], (HAILE SELASSIE),anapewa umuhimu wa pekee,MARASTA wengi humuona kama mwili wa "JAH" duniani na kama ujio wa pili wa "YESU" KRISTO.wengine humwaona kama nabii wa kibinadamu ambaye alitambua kikamilifu uungu wa ndani ya kila mtu.
MARASTA wengi wanasisitiza waafrica waliopo nchi za magharabi kurudi Africa [emoji288] ,wanaamini kuwa bara la Africa ni nchi ya ahadi ya Sayuni..
MARASTA huita mfumo wao wa maisha UHAI-(LIVITY),ibadan zao huita MSINGI-(GROUNDATIONS).na hujumisha MZIKI,KUIMBA,MAJADILIANO NA BANGI-(ambayo huonekana kama SAKRAMENT)..

MARASTA wengi hula vyakula vya asili bila NYAMA wala CHUMVI(vyakula hivi huitwa itali).wanaacha nywele zao kukua bila kuchanwa au kukatwa(DREARDLOCKS)
RASTAFARI ilitokea miongoni mwa jumuiya za WAJAMAICA WEUSI,maskini katika miaka ya 1930,ITIKADI yake ya UAFRICA Ilikuwa jibu dhidi ya UTAMADUNI wa KIKOLONI wa JAMAICA..

Sio kila mwenye dreadlocks ni Rasta,URASTA NI IMANI kama zilivyo imani tofauti tofauti hapa duniani,Wengi wao husokota nywele ili wapate WAZUNGU kwa kuwa WAZUNGU wanawapenda sana MARASTA maana ni watu wapole,waelewa sana na wanyenyekevu,MARASTA ndo watu wa asili kabisa wa AFRICA,ambapo mkuu wao alitokea ETHIOPIA [emoji1098], NA ndo nchi haikutawaliwa na WAKOLONI,wengi watu hujificha kwenye kivuli cha URASTA ili wapate PESA,NA MAHITAJI YAO YA KIMAISHA,ni kama WACHUNGAJI FAKE NA MASHEHE MCHWARA(WAONGO)..ambao sasa tunasikia kila siku kwenye vyombo vya HABARI matukio mara PADRE KALAWITI WATOTO 10,mara SHEHE kalawiti vitoto n.k.
Hao wote wanaofanya vitendo vya ushoga sio MARASTA wa IMANI bali ni wenye nywele ndefu zilizosokotwa wasio NA IMANI ya ndani,bali wanatumia kigezo cha kusokota nywele iliwaonekane ni MARASTA wa kweli,mimi nachojua ni watu tu wakawaida..
Nadhani nimejibu majibu ya wote humu ndani,nashukuru kwa uzi wenye tija juu ya jamii yetu hii pendwa ya URASTAFARAI..


HOW YO TREAT OTHERS IS HOW YOU REALLY FEEL INSIDE..
"BOONOONOOONOOOS"
Duh Sakramenti ya Bangi..nimekuelewa umeelezea sio Kila mwenye Rasta anaamini Urasta
 
Hii ni fedheha kubwa kwa vijana Marasta wa Arusha kuutweza utu wao kwa ujira kiduchu wa Dola toka kwa watalii. Inakuaje kijana unajidhalilisha kisa pesa/pombe?
NB: kazi (Halali) kipimo cha utu
Ushakula kitu ya unga Ltd halafu umekuja nduki kutoa post kabla haujapoa.

Hebu pangilia post yako
 
Sijaelewa sana lakini nafikiri hapo ni msibani na hao ni mabodaboda na aliyefariki ni boda aliyefariki kwa ajali
Huyo dogo wa mwisho anasema bike ndiyo zinatukili pikipiki wanaita bike lakini hamna namna kazi hakuna


Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom