Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Mzaramo mimiIla mchagga/mua arusha sio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzaramo mimiIla mchagga/mua arusha sio?
Asilimia kubwa sana marasta hawajui misingi ya maishaNi kweli mkuu yote uliyosema, kuna marasta feki utakuta Rasta anapigana mkorofi anaruka na Vijana wengi wanaingia kwenye mambo bila kujua misingi yake na utamaduni wa maisha ya jamii usika.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Mbona spikaaa?? Jamanii kwahyo ushuzi unakuq amplifiedKutobolewa spika Ni janga hapo Moshono, Arusha. Maana wengi hawakusoma na hawana wanachojua zaidi ya utalii redefined.
Pia, tayari Wana role models waliotoboa maisha (ikiwemo kuanzisha kampuni) kwa kutobolewa kinachoitwa SPIKA
We mtundu mtundu,haaa haaa.Mbona spikaaa?? Jamanii kwahyo ushuzi unakuq amplified
Mzaramo mimi
sasa hivi kuna balaa lingine la wakaka wanaoshinda kwenye gym kutengeneza vifua.Asilimia kubwa sana marasta hawajui misingi ya maisha
Mbona nyie unasagana???Wanaume badilini tabia zenu kabla laana hazijavila vizazi vyenu. Leo nashangaa kuona wanaume mnashangaa hao mashoga wakati mnawalalia nyie wenyewe. Shame on you kama kuna mfir****ji humu na anachangia huu uzi apigwe na upofu na kizazi chake kilaaniwe. Yani mpk tunawaza wtt wetu tutawaficha wapi.
Huwa mimi napenda kucheki movies za mablack sana yani unakutana na jamaa kwenye Movies kapasuka kumbe lina bwna wakesasa hivi kuna balaa lingine la wakaka wanaoshinda kwenye gym kutengeneza vifua.
inasemekana baadhi yao wameshajiingiza kwenye ushoga. inadaiwa zile dietary supplements na vitamins juice wanazokunywa huko kwenye ma-gym zinapelekea kuharibu hormone za kiume.
unashangaa una mwanao mtu wa gym sana, misuli minene, na kifua kikubwa kama nyumba, halafu kumbe choko. dah eeh Mungu okoa kizazi hiki.
USA ina mabwabwa mengi sana ya dizaini hiyo.Huwa mimi napenda kucheki movies za mablack sana yani unakutana na jamaa kwenye Movies kapasuka kumbe lina bwna wake
Wewe mwanamke,hakuna mtu huku anasupport ushoga,ila tunaangalia kwa ujumla mmomonyoko wa maadili umeanzaje,,kama wewe mama unashindwa kumlea mtoto wako wa kiume,unamdekeza na kumpa malezi yasiostahili kabisa unadhani ushoga unaanzaje nyumbani???wewe mama unampenzi wako wa kike mnakissiana mbele ya mtoto wako wa kiume naye atafanya nini kwa mwanaume mwenzake???So unahalalisha?.huu uzi ni wa kulawitiana kama utaongelewa wa kusagana tutacomment pia..na mnaolawitiana ni nyie kwa nyie so ili hii kitu iishe wanaume hao wapumbavu wanatakiwa kuacha hizo tabia kama unapata ashki ya kumlawiti mwanaume mwenzio kinyume na nature ww ni ibilisi.
Nadhani limekugusa na umenielewa.Wewe mwanamke,hakuna mtu huku anasupport ushoga,ila tunaangalia kwa ujumla mmomonyoko wa maadili umeanzaje,,kama wewe mama unashindwa kumlea mtoto wako wa kiume,unamdekeza na kumpa malezi yasiostahili kabisa unadhani ushoga unaanzaje nyumbani???wewe mama unampenzi wako wa kike mnakissiana mbele ya mtoto wako wa kiume naye atafanya nini kwa mwanaume mwenzake???
Pia wanawake mnaharibu watoto wetu wakiumeNadhani limekugusa na umenielewa.
Mi sio mwanamke huyo unaemuwazia ww mimi sio mama wa kizazi kipya bro. Najitahidi kuwalea wanangu ktk njia iwapasayo huku nikimuomba Mungu. Lakini kumbuka hao wafi***ji ni wanaume wako kila mahala kuna wengine wanabakwa njiani,ndani ya nyumba etc. Ndo maana nasema mwanaume akijirekebisha akafata maadili dunia itakua salama.Pia wanawake mnaharibu watoto wetu wakiume
Kwa hapa ilipofikia dunia haiwezi kuwa kama ya zamaniMi sio mwanamke huyo unaemuwazia ww mimi sio mama wa kizazi kipya bro. Najitahidi kuwalea wanangu ktk njia iwapasayo huku nikimuomba Mungu. Lakini kumbuka hao wafi***ji ni wanaume wako kila mahala kuna wengine wanabakwa njiani,ndani ya nyumba etc. Ndo maana nasema mwanaume akijirekebisha akafata maadili dunia itakua salama.
[emoji23][emoji23] Aloo umewaza niniMbona spikaaa?? Jamanii kwahyo ushuzi unakuq amplified