Marathon ya Millioni 334 ya CHADEMA, sijui kama CCM wanaelewa logic yake

Kila chama kinajinasibisha kuwa ni chama cha wananchi. Ngoja tuone mwisho wake.
Hakuna chama cha wananchi kwa sababu wanasiasa wanaoingia ulingoni kwa ajili ya maslahi ya umma ni wachache sana. Ila wengi kwa political interest wanahama vyama na wakifika bei, wanaanza kuponda hata vyama walivyotoka.

Wanasiasa hawaaminiki
 
Hapo bajeti iko hivi;

Gharama za kikao - Tsh 100m
Heche - Tsh 134m
Lema na wanufaika wengine - Tsh 100m

Mimi nitachangia endapo mtabadilisha tangazo na kuweka wazi kuwa tunachangia gharama za kikao na hela za kutafunwa na kina Heche.
Chadema haitaki hela ya mtu anayetoa huku analalamika ni nuksi.
 
Hakuna chama cha wananchi kwa sababu wanasiasa wanaoingia ulingoni kwa ajili ya maslahi ya umma ni wachache sana. Ila wengi kwa political interest wanahama vyama na wakifika bei, wanaanza kuponda hata vyama walivyotoka.

Wanasiasa hawaaminiki
Mwanadamu yeyote haaminiki.
 
Uwezo wako wa kufikiri upoje. Kwa nini unadhani kuichangia CCM ni mapenzi na uaminifu kwa Taifa?
just relax gentleman,

unajua kuna mambo hayahitaji makasiriko kabisa, yanahitaji uzalendo tu, sio kujipiga kifua huku una omba omba,

maskini jeuri bana saa zingine ni kichekesho sana aise 🀣
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Wana CCM wanaoichangia CHADEMA wanataka nini kwa kuichangia CHADEMA?

Kwa ivo Heche ni signatory wa kutoa fedha kwenye akaunti za CHADEMA?
Kuelewesha wendawazimu kazi anatoaje pesa kwenye bank account wakati sio signatory kuna mwingine zuzu eti kapewa dola 200,000/- anapita nazo vp airport hizo pesa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…