Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 6,359
- 5,329
Yes, relying on grassroots support is a brilliant idea!Binafsi sidhani kama Chadema kinashindwa kukusanya kiasi hicho pasipo kuwashirikisha wanachama wake na wananchi wa kawaida.
Nina uhakika kinaweza kuandika barua kwa watu binafsi, wafanyabiashara, diaspora 100 tu wakakusanya kiasi hicho.
Lakini lengo hasa la Chadema ni kuwajengea imani wananchi hasa wa hali ya chini, wakione kama mali yao sio mali ya wachache kama CCM inavyoomba kuchangiwa na matajiri kina ASAS na makampuni makubwa ya Oil COM.
Mtu anapochanga hata 1,000 anahisi kimekuwa kama mali yake atakipenda atakiamini atakuwa na uchungu nacho na atakuwa tayari kukilinda kwa hali na mali.
Hapo ndipo ilipo tofati kati ya CCM na Chadema ndio maana kila kinapokwenda kinapata uungwaji mkubwa wa wananchi.
View attachment 3627739
Si bure, sometimes ni influence of Konyagi huwa ndiyo inaongea na kuropoka vitu vya ajabu ajabu.Hii code sisiemu na yule mlevi wao hawawez kuelewa, wao wanajua kuita watu magaidi na wahaini
Wewe kuna mambo mengi sana ya CHADEMA hufahamu. Sabodo alikuwa CCM ila alikisaidia sana CHADEMA kifedha ingawa mliishia kuzitafuna.Wana CCM wanaoichangia CHADEMA wanataka nini kwa kuichangia CHADEMA?
Kwa ivo Heche ni signatory wa kutoa fedha kwenye akaunti za CHADEMA?
Kwahiyo hii mada inajibu ufyonzaji wa tOne tOne uliofanywa na heche?!¡
Anyways, hongereni kina heche; hakika minyumbu ya kujipigia mnayo🤣🤣🤣🤣
Hatutaki mchango wako, na sisi tunaochanga hata wakienda kulia pombe ni sawa tutachanga tena, kazi wanayofanya ni kubwa.Hapo bajeti iko hivi;
Gharama za kikao - Tsh 100m
Heche - Tsh 134m
Lema na wanufaika wengine - Tsh 100m
Mimi nitachangia endapo mtabadilisha tangazo na kuweka wazi kuwa tunachangia gharama za kikao na hela za kutafunwa na kina Heche.
Hapo ndo kuna ugomvi na Lema. Anadai zilikuwa zisome 55.Kiutani utani mzigo unasoma 15M
Yaani Chadema ipokee fedha za mtu kama wewe uliyediriki kushika bunduki na kuua Watanzania zaidi ya 500?Siasa sio uadui. Kuna wanaCCM wengi tu wanaoichangia CHADEMA kwenye mambo kama haya tatizo ni baadhi yenu kama Heche wanaotafuna michango.
Unajua kwa nini nacheka... Hii ni maajabu. Yaani wewe CCM uyajue mambo mengi ya CHADEMA kuliko Mimi mwanachadema mwenyewe.Wewe kuna mambo mengi sana ya CHADEMA hufahamu. Sabodo alikuwa CCM ila alikisaidia sana CHADEMA kifedha ingawa mliishia kuzitafuna.
MwanaCHADEMA wa huko sweken unajua nini kuhusu chama chako kuliko mimi mwanaCCM ambaye ni jirani wa Mbowe? Wewe zaidi ya kushangilia kila kitu kinachosemwa na viongozi wako huna unachojua. Hii CHADEMA ilisaidiwa sana na wanaCCM enzi katibu mkuu akiwa Dr Slaa.Unajua kwa nini nacheka... Hii ni maajabu. Yaani wewe CCM uyajue mambo mengi ya CHADEMA kuliko Mimi mwanachadema mwenyewe.
Sabodo alisaidia uchimbaji wa visima kwenye majimbo yaliyokuwa yanaongozwa na CHADEMA na siyo alitoa hela za kuendeshea shughuli za chama.
Au hata umeshasahau tuhuma Gani mmeleta dhidi ya Heche. Ama hujui upo kwenye mjadala unaohusu nini?
Anayepokea fedha ni wewe au viongozi wako?Yaani Chadema ipokee fedha za mtu kama wewe uliyediriki kushika bunduki na kuua Watanzania zaidi ya 500?
Hata vijana wa Liberia walisema tutamchagua muuaji Taylor hata kama aliua wazazi wao. Nyie nyumbu hamna tofauti nao. Kwamba mtachanga tena hata kama walikula michango ya mwanzo.. MJITAFAKARIHatutaki mchango wako, na sisi tunaochanga hata wakienda kulia pombe ni sawa tutachanga tena, kazi wanayofanya ni kubwa.
Hawa sio wa kuwajibu ni kuwakaushia tuu kama vile huoni!Wana CCM wanaoichangia CHADEMA wanataka nini kwa kuichangia CHADEMA?
Kwa ivo Heche ni signatory wa kutoa fedha kwenye akaunti za CHADEMA?
Kuelewesha wendawazimu kazi anatoaje pesa kwenye bank account wakati sio signatory kuna mwingine zuzu eti kapewa dola 200,000/- anapita nazo vp airport hizo pesa ?
100m ni mapupu!Ni Hela hizo!Tone tone kibao zimeishia 100M
tena hapo na Mpaka za nje.
Hii mkifika milion 100 labda muweke sifuri ya uongo balaa lake mnalijua
chadema haihitaji fedha ya wakwepa Kodi wanaojikomba ccmkiasi hicho CCM si itakusanya in less than 5 minutes gentleman? 🤣
Ila chadema inahitaji mafisadi wa fedha za chama kama heche, right?🐒chadema haihitaji fedha ya wakwepa Kodi wanaojikomba ccm
chadema inahitaji pesa halali za wakulima wa alizeti ,mahindi ,maharage vijijini huko wenye chama tofauti na huko ccm ambako viongozi wachache wamepokonya chama kutoka Kwa wananchi (wakulima na wafanyakazi maarufu jembe na nyundo) na kukabidhiwa wafanyabiashara na mafisadi
umenielewa sijui ,namansihe ccm kimeguezwa kutoka chama Cha wafanyakazi na wakulima hadi kuwa chama Cha wafanyabiashara na mafisadi kilichobakia tafuteni nembo (kama ilivyo Kwa jembe na nyundo
kuhusu heche mission failedIla chadema inahitaji mafisadi wa fedha za chama kama heche, right?🐒