March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

Kwako wewe mtanzania unayefuatilia matokeo ya ya uchaguzi kenya je ungependa ninani ashinde katika uchaguzi huu??
 
mtazamo wangu utakuwa na uharisia namuhitaji kenyata ndio chaguo la mungu mungu huchagua vijana watumike.sipendi viongozi wazee.mf.mugabe.satta,slaa,odinga,belskon.shein.museven.odinga
Umemsahau kikwete
 

Moderators hapo kwenye red vipi ? Huyu jamaa naona anatafuta ban kwa nguvu zake zote.
my web ushauri wangu kwako ni kwamba "usianzishe ugomvi wa kurushiana mawe uswahilini ilkhali wewe unaishi kwenye jumba la vioo".
 
I just dont know why?? But i wish Rail to be the next president!
 

Usiitelekeze ile ID ya TUNTEMEKE kiasi hicho....Maliza shule urudi Kibaha kaka.Achana na hii miradi ya simu.Pole
 
mtazamo wangu utakuwa na uharisia namuhitaji kenyata ndio chaguo la mungu mungu huchagua vijana watumike.sipendi viongozi wazee.mf.mugabe.satta,slaa,odinga,belskon.shein.museven.odinga

Umemsahau bosi wako JK......kwani ye kijana!
 
Nakubali chaguo langu kaangukia pua.Ikulu ya Kenya Odinga ataisikia tu.

sasa sijui kwa katiba ya kenya je Raila ataruhusiwa kumpa nafasi yoyote Raila na kalonzo pamoja na wagombea wengine wa Uraisi walioanguka vibaya?
 
Mimi namtakia kila la heri Uhuru Kenyatta. Namshauri Odinga, familia na wafuasi Wake wakubali matokeo.
 
akishinda Uhuru, kwa maoni yangu, nahisi Wakenya hawatakua wamechagua vizuri...

sahizi watu wanachagua vijana,wenye nguvu za kuleta mabadiliko sio unachagua kikongwe,miaka miwili au mitatu mnaanza kukipeleka apollo india kutibiwa.
 
habari za hivi punde kutoka katika kituo kikuu cha uhesabuji wa kura mjini nairobi, ni kwamba mgombea wa muungano wa jubillee bwana uhuru kenyata anaongoza kwa 54 dhidi ya odinga kwa 40.ACCORDING TO BBC.
 
my web ana spidi ka za bosi wake bw Nape..ndo tabia ya ujana tusioitaka.
 
akishinda Uhuru, kwa maoni yangu, nahisi Wakenya hawatakua wamechagua vizuri...
Kwa nini unasema watakuwa hawachagua vizuri wakati wao ndo walikuwa wanamsikiliza kwenye mikutano ya kampeni?
 
TBCCM wako busy na nyumba ya jirani wakati habari za ndani against CCM's government wanaziskip!
 
Back
Top Bottom