Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wapendwa kwa mujibu wa k24 tv ambayo naiona live sasa, muda wowote uhuru atatangazwa. kwa sasa amepata kura 5,436,371. odinga ana 4,724,998. ukumbi umeshaandaliwa naviti watakavyokaa watu wake. ni kama hawataki kusema rasmi, wanaachia TUME YA UCHAGUZI, MWENYE UFAHAMU INAONEKANA UHURU KASHINDA. NITAWAPA MATOKEO YAKITOKA
Jubilee readies for big party
By JOHN NJAGI jnjagi@ke.nationmedia.com
Posted Friday, March 8 2013 at 19:26
Politicians allied to the Jubilee alliance on Friday flocked Catholic University in the outskirts of Nairobi where a podium has been prepared for Uhuru Kenyatta to address the nation should he win the presidential contest in the first round.
Mr Kenyatta is leading with 5, 453, 347 votes against Raila Odinga's 4, 732, 029 votes tith results from 254 constituencies counted.
Tents have been erected outside the main auditorium at the University, with elaborate security and media arrangements.
Eye of those at the venue are trained on the television screens as they await for IEBC commissioners to announce results of the remaining constituencies and declare the winner of the presidential contest.
Among those who arrived at the media centre on Friday included former Naivasha MP John Mututho who failed to recapture his seat.
Others were Mr Kembi Gitura (Senator Murang'a), Mr Kipchumba Murkomen ( Senator Elgeyo Marakwet), Ekwe Ethuro (Senator Turkana) and Mr Asman Kamama.
Mr Kenyatta is expected at the venue after IEBC announces the winner of the presidential contest.
The arrival of the politicians at the venue indicates optimism for a first round victory.
The optimism is however a guarded one especially after concerns of possible errors and missed entries were raised over the tallying process.
Jubilee readies for big party - Politics - nation.co.ke
...ili pambano linoge ebu tuondoe zile digit za saba...
...tufwanye hifi....
...Uhuru Kenyatta: 824, 901
...Raila Odinga: 788, 067..
..Gap la kama elfu 42 hivi, ha ha ha...
mpaka sasa Uhuru anamzidi Raila kwa kura zaidi ya milion moja
Kama mpaka sasa hivi bado awajalia hakuna kinachoweza kuwaliza tena!Wenye mahaba na odinga jiandaeni kulia
Lakini me naona Odinga jembe.
Jaysus...!!Majimbo 264, Uhuru ana 5,824,901 sawa na asilimia 51.27 ya kura zilizohesabiwa!!! Sijui kama kuna mtu atamzuia huyu jamaa kuingia ikulu sasa!!!!
Tiba
'Kiroho saf bila ubishi, Uhuru anatinga IKULU
Mtoa mada acha kupotosha,mbona husemi kaandaliwa na nani?hayo ni maandalizi binafsi ya wana jubilee endapo atatangazwa mshindi,ni kama ktk fainali timu zinakuwa zimeprint tshirt za ubingwa kabisa