March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

Kazi kwenu watanzania. Lakini Uhuru si alishaanzisha chama chake. Au hicho chama cha TNA ni tawi la KANU? Nijuavyo mimi KANU imebaki kuwa ya Moi na watoto wake. Kwa hiyo kusema CCM imesaidia kuiba kura kwa ajili ya Kinyatta ni kuionea.
 
mpaka sasa Uhuru anamzidi Raila kwa kura zaidi ya milion moja
 
51.27% for Uhuru. this is a closed deal. Hongera kwa wakenya wote kwa kupata Rais mpya mliyemchagua.
 
....Urais wa Odinga ulikuwa umeshikiliwa na William Samoe Ruto, bahati mbaya kwa kujiamini kizembe akautema mti wa kupandia kwenda kileleni na matokeo yake kama wahenga walivyosema majuto ni mjukuu, round one, kwisha habari yake....
 
matokeo ya sasa yanaonesha uhuru kapata ushindi usio na tashwishi, kamzidi odinga kwa zaidi ya kura milioni moja. uhuru ana 5,824,901, odinga ana 4,788,067 . total casted votes ni 11, 359,584. huu ni ushindi wa asilimia 51.28. tunachosubiri sasa ni uhuru kijana anaandaa hotuba ya shukrani kwa wakenya, ndipo tume itangaze. sanduku la kura limeamua. naona sasa ni kumpongeza kwenye facebook yake. wanachelewa kutangaza labda odinga naye anatakiwa asaini.
wapendwa kwa mujibu wa k24 tv ambayo naiona live sasa, muda wowote uhuru atatangazwa. kwa sasa amepata kura 5,436,371. odinga ana 4,724,998. ukumbi umeshaandaliwa naviti watakavyokaa watu wake. ni kama hawataki kusema rasmi, wanaachia TUME YA UCHAGUZI, MWENYE UFAHAMU INAONEKANA UHURU KASHINDA. NITAWAPA MATOKEO YAKITOKA



Jubilee readies for big party


By JOHN NJAGI jnjagi@ke.nationmedia.com
Posted Friday, March 8 2013 at 19:26

Politicians allied to the Jubilee alliance on Friday flocked Catholic University in the outskirts of Nairobi where a podium has been prepared for Uhuru Kenyatta to address the nation should he win the presidential contest in the first round.

Mr Kenyatta is leading with 5, 453, 347 votes against Raila Odinga's 4, 732, 029 votes tith results from 254 constituencies counted.

Tents have been erected outside the main auditorium at the University, with elaborate security and media arrangements.

Eye of those at the venue are trained on the television screens as they await for IEBC commissioners to announce results of the remaining constituencies and declare the winner of the presidential contest.

Among those who arrived at the media centre on Friday included former Naivasha MP John Mututho who failed to recapture his seat.

Others were Mr Kembi Gitura (Senator Murang'a), Mr Kipchumba Murkomen ( Senator Elgeyo Marakwet), Ekwe Ethuro (Senator Turkana) and Mr Asman Kamama.

Mr Kenyatta is expected at the venue after IEBC announces the winner of the presidential contest.

The arrival of the politicians at the venue indicates optimism for a first round victory.

The optimism is however a guarded one especially after concerns of possible errors and missed entries were raised over the tallying process.

Jubilee readies for big party - Politics - nation.co.ke
 
51.27% for Uhuru. this is a closed deal. Hongera kwa wakenya wote kwa kupata Rais mpya mliyemchagua.
 
...ili pambano linoge ebu tuondoe zile digit za saba...

...tufwanye hifi....

...Uhuru Kenyatta: 824, 901

...Raila Odinga: 788, 067..

..Gap la kama elfu 42 hivi, ha ha ha...

Inanikumbusha mbio za kuzunguka uwanja mara 12, unakuta mtu mwingine anakimbia mpaka anawakuta na kuwapita, Kenyatta ameshafika 5M na anakaribia 6M wakati Odinga anaitafuta 5M, pole ndugu Odinga.
 
The possibility of Uk not getting to 50%+1 is very real so no celebrations yet.
 
Dhambi ya kuuza uzaliwa wa kwanza inaweza kuwa laana ndani ya familia na ukoo. katika biblia, alikuwepo Esau na Yakobo, watoto wa Isack mwana wa Ibrahimu. Mama yao alikuwa Raheli. Esau alikuwa wa kwanza na Yakobo alikuwa wa pili japokuwa wote walizaliwa siku moja kwa maana ya mapacha. Esau siku moja alirudi mawindoni akiwa hana kitu, akamkuta mdogo wake Yakobo kapika dengu, akaomba jamaa akagoma kumpa, akasema atampa kwa masharti ya kuuza uzaliwa wa kwanza. Kwa sababu ya njaa, Esau akaona kuzaliwa wa kwanza kitu gani, akakubali na hivyo Yakobo ndo akapewa nafsi ya uzliwa wa kwanza na yeye akawa wa pili. Tukio lile kwa Mungu halikuwa jema, kwani jamaa alihama na baraka zote zikahamia kwa mdogo wake, ni Yakobo aliyekuwa baadae mrithi wa ahadi ya Mungu kwa Ibrahim. soma Mwanzo 25:24 hadi 34 Odinga sr, alikuwa na nafasi kubwa zaidi ya kuwa rais wa kwanza wa kenya, lakini kwa busara alizozijua yeye, akamkabidhi ndugu yake Kenyata kuwa rais wa kwanza na yeye akwa makamu wa kwanza. Dhambi hiyo ndiyo inayomtafuna Raila leo kwani baba yake alivuruga!!!!!!
 
niliposema kaandaliwa maana yake tumeoneshwa ukumbi wa mikutano wa kutangazia final results, tukaoneshwa live viti vilivyowekwa kwa ajili ya wafuasi wa juu wa uhuru, tukaambiwa kuwa atatoa hotuba. hatukuelezwa kuhusu ODINGA. ZAIDI KUWA UHURU AKIONDOKA HAPOMARA BAADA YA KUTANGAZWA ANAONDOKA NA ULINZI MKALI. MSHINDI KESHAJULIKANA NI TUME INAJIANDAA KUTANGAZA, NA VILEVILE UHURU ATOE HOTUBA YA SHUKRANI. HAYA YOTE YANATAKIWA KWENDA SAMBAMBA, HIVYO UHURU ANAJIANDAA KUTOA HOTUBA, TUME NAYO INAJIANDAA KUTANGAZA MSHINDI. HAPO TUNASEMA KUWA UHURU ANANDALIWA. FAHAMU KUWA MABO KAMA HAYA MSHINDI SIO ANATANGAZWA KWA KUSHUTUKIZWA.
Mtoa mada acha kupotosha,mbona husemi kaandaliwa na nani?hayo ni maandalizi binafsi ya wana jubilee endapo atatangazwa mshindi,ni kama ktk fainali timu zinakuwa zimeprint tshirt za ubingwa kabisa
 
Back
Top Bottom