Tai Ngwilizi
JF-Expert Member
- Apr 20, 2010
- 781
- 211
wanamalizia kutangaza constituent 3 za mwisho, ngoma chini!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Reporting 290/291
Uhuru - 6,165, 775
Raila - 5,330, 979
...you do the math
Hizo sehemu 6 zilizobaki ni ngome za CORD. Kwa ufupi sioni kama % ya Uhuru Kenyatta itabadilika ijapokua mambo yakutisha hufanyika wakati hawa mabwana wanapojifungia vyumbani....[QUOTE/]
Ab-Titchaz kinachonishangaza hata mara moja haijatokea CORD Effect au FORA kuweka rekodi au takwimu walizonazo kutoka kwa Mawakala wao hata wanapolalamika hawatoi data! Inaleta wasiwasi kuwa labda na wao wasubiri kuzisikia na kuzisoma kwenye Luninga?! Kama wanazo na hizo ulizoorodhesha ni ngome zao kwa nini wanabaki matumbo joto? Si wazitoe tu?
Uhuru declared winner by 50.3%

Mkuu,
wanazo na zitatumika hii ngoma ikipelekwa mahakamani.
Mambo yanaendelea huku jamani,nyie laleni mkiamka mtakuta rais wenu tayari
Kinyatta 6,030,334
Odinga 5,170,112
280/291
Hizo sehemu 6 zilizobaki ni ngome za CORD. Kwa ufupi sioni kama % ya Uhuru Kenyatta itabadilika ijapokua mambo yakutisha hufanyika wakati hawa mabwana wanapojifungia vyumbani....[QUOTE/]
Ab-Titchaz kinachonishangaza hata mara moja haijatokea CORD Effect au FORA kuweka rekodi au takwimu walizonazo kutoka kwa Mawakala wao hata wanapolalamika hawatoi data! Inaleta wasiwasi kuwa labda na wao wasubiri kuzisikia na kuzisoma kwenye Luninga?! Kama wanazo na hizo ulizoorodhesha ni ngome zao kwa nini wanabaki matumbo joto? Si wazitoe tu?
safari hii tumbo joto haisadii kitu, Uhuru raisi mpya...sasa kesi ya ICC sijui itaishia wapi....
But, didn't they say they were gonna finish announcing tomorrow morning or did I miss something?
I feel like they pulled a switcheroo....but I could be wrong.
Mkuu,
You are right. That was the official statement relayed earlier but the stakes here are too high and
they wanna rush this thing. That switcheroo is more than likely.
Naambiwa Agents wanavaana na officials mitaa ya Bomas of Kenya baada ya hii announcement.