March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

Reporting 290/291

Uhuru - 6,165, 775

Raila - 5,330, 979

...you do the math
 
Hizo sehemu 6 zilizobaki ni ngome za CORD. Kwa ufupi sioni kama % ya Uhuru Kenyatta itabadilika ijapokua mambo yakutisha hufanyika wakati hawa mabwana wanapojifungia vyumbani....[QUOTE/]

Ab-Titchaz kinachonishangaza hata mara moja haijatokea CORD Effect au FORA kuweka rekodi au takwimu walizonazo kutoka kwa Mawakala wao hata wanapolalamika hawatoi data! Inaleta wasiwasi kuwa labda na wao wasubiri kuzisikia na kuzisoma kwenye Luninga?! Kama wanazo na hizo ulizoorodhesha ni ngome zao kwa nini wanabaki matumbo joto? Si wazitoe tu?
 
Last edited by a moderator:

Mkuu,

wanazo na zitatumika hii ngoma ikipelekwa mahakamani.
 
safari hii tumbo joto haisadii kitu, Uhuru raisi mpya...sasa kesi ya ICC sijui itaishia wapi....
 
But, didn't they say they were gonna finish announcing tomorrow morning or did I miss something?

I feel like they pulled a switcheroo....but I could be wrong.

Mkuu,

You are right. That was the official statement relayed earlier but the stakes here are too high and
they wanna rush this thing. That switcheroo is more than likely.

Naambiwa Agents wanavaana na officials mitaa ya Bomas of Kenya baada ya hii announcement.
 
Mazee aren't you tuned in to one of the live-streams from either one of the TV stations?
 
Reporting 291/291

Uhuru - 6,173,433

Raila - 5,340,546

Variance - 832,887.
 
Presidential final results majimbo 291/291.

Uhuru: 6,173,433

Odinga: 5,340,546

Tofauti: 832,887
 
uhuru ana 49.9%
total votes zime exceed 12m na uhuru ameshindwa kufikisha nusu, labda wachakachue tena
 
Mungu epusha bala kwavhwa jamaa
Damu nyingine isimwagike
Haki kamaimettendeka ilindwe nawe mungu
Wape moyo wa subira walewote walikua wanakitaka kiti hiki
Mpe roho ya kukubali matokeo bwana odinga maana toka kwa baba yake nafasi hii walikua waihiitaji
mungu mjaalie mtoto wa odinga naye aje apate kugombea maana hakuna mwingine anaweza kwetu ss ngozi nyeusi
Baba pia huyu mtoto waalie kua raisi mpe roho ya kuongoza njema baba naye atabiri kua mtt wake ataongoza kenya yetu hii
Amiiiiniiiii
 
ImageUploadedByJamiiForums1362789430.531155.jpg yametimia kazi kwa machademu na Odinga wao
 
Uhuru for Kenya 50.03 % ,Odinga atakubali kweli ? Lets wait and see.
 
Mungu epushia mbali vurugu zozote na umwagikaji damu Kenya. Almighty God, make Kenya to be calm.
 
Back
Top Bottom