Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Raila ilikuwa ngome ya chadema?
mbona nasikia mshindi lazima afikishe 50% + 1? Je uchaguzi utarudiwa?
Uhuru amepata 50% plus 3,600. So, yuko well above the threshold!We also need our own Uhuru (a certain Nyerere ambaye si mwana CCM). Hivi huyu anayeitwa Madaraka Nyerere vipi?Mkuu, mshindi lazima awe amepata 50% + 1 vote, sasa huyu bwana rais mteule kapata 50.03% which means ni 50% + 0.03%, ukikokotoa hesabu za darasa la tano au sita au la saba utagundua kuwa 0.03% ya kura zote ni zaidi ya kura moja, hivyo, Uhuru Kenyata aanakuwa ameshinda uchaguzi kiulaini.
Uhuru for Kenya 50.03 % ,Odinga atakubali kweli ? Lets wait and see.
Huyo haiwezi Tanzania, labda ZZK au Tundu Lissu, hawa jamaa ndo naona wako vizuri. 2015 ni karibu sana, hatujapata candidates wa kutosha kushindanisha hoja.Uhuru amepata 50% plus 3,600. So, yuko well above the threshold!We also need our own Uhuru (a certain Nyerere ambaye si mwana CCM). Hivi huyu anayeitwa Madaraka Nyerere vipi?
Mwanzo CHADEMA walisema Raila ni mshirika wao wa kisiasa na wakampelekea Fuso mbili na wasanii ili wamsaidie Raila kwenye kampeni zake ila baada ya kuona Raila anaelekea kushindwa wakamkana.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Raila ilikuwa ngome ya chadema? Raisi Uhuru atatangazwa punde japo hajafikisha ile fifty plus one.
Mwanzo CHADEMA walisema Raila ni mshirika wao wa kisiasa na wakampelekea Fuso mbili na wasanii ili wamsaidie Raila kwenye kampeni zake ila baada ya kuona Raila anaelekea kushindwa wakamkana.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Uhuru amepata 50% plus 3,600. So, yuko well above the threshold!We also need our own Uhuru (a certain Nyerere ambaye si mwana CCM). Hivi huyu anayeitwa Madaraka Nyerere vipi?
hUYU UHURU kENYATTA NILIJUA ATASHINDA TUU BILA JASHO. unajua hii ni baraka kutoka kwa mungu kwa kitendo cha baba yake mzee hayati Kenyatta kumfurahisha mungu mwaka 1976. Mwaka 1976 Kenyatta aliruhusu ndege za Israel zilizokuwa mbioni kuokoa mateka wao Entebe kutua nairobi na kujaza mafuta bure. Halafu mzee Jomo, aliwaweka madaktari wote wa kenyatta hospital on call in case any israeli anapata majeruhi. Halafu tena kenyatta aliweka ulinzi mkali sana wa makeshift hospital zote za Israel pale uwanjani mwa ndege. kama mungu alisema nitambariki yeyote atakaye kubaliki na kumlaani yeyote atakeee kulaani, hebu piga mahesabu, huyu kijana Uhuru alivo vuna baraka kutoka kwa mgongo wa baba yake!Presidential final results majimbo 291/291.
Uhuru: 6,173,433
Odinga: 5,340,546
Tofauti: 832,887
Nani anyeweza kutupa mstokeo kamili na percentage ya kila mmoja? Ab-Titchaz na Kenyan
Dhambi ya kuuza uzaliwa wa kwanza inaweza kuwa laana ndani ya familia na ukoo. katika biblia, alikuwepo Esau na Yakobo, watoto wa Isack mwana wa Ibrahimu. Mama yao alikuwa Raheli. Esau alikuwa wa kwanza na Yakobo alikuwa wa pili japokuwa wote walizaliwa siku moja kwa maana ya mapacha. Esau siku moja alirudi mawindoni akiwa hana kitu, akamkuta mdogo wake Yakobo kapika dengu, akaomba jamaa akagoma kumpa, akasema atampa kwa masharti ya kuuza uzaliwa wa kwanza. Kwa sababu ya njaa, Esau akaona kuzaliwa wa kwanza kitu gani, akakubali na hivyo Yakobo ndo akapewa nafsi ya uzliwa wa kwanza na yeye akawa wa pili. Tukio lile kwa Mungu halikuwa jema, kwani jamaa alihama na baraka zote zikahamia kwa mdogo wake, ni Yakobo aliyekuwa baadae mrithi wa ahadi ya Mungu kwa Ibrahim. soma Mwanzo 25:24 hadi 34 Odinga sr, alikuwa na nafasi kubwa zaidi ya kuwa rais wa kwanza wa kenya, lakini kwa busara alizozijua yeye, akamkabidhi ndugu yake Kenyata kuwa rais wa kwanza na yeye akwa makamu wa kwanza. Dhambi hiyo ndiyo inayomtafuna Raila leo kwani baba yake alivuruga!!!!!!
Raila ilikuwa ngome ya chadema? Raisi Uhuru atatangazwa punde japo hajafikisha ile fifty plus one.
wanataka cheap popularity, jaman tanzania 2015 uchaguz uwe wa waz kama huu wa kenya ili heshima iwepo sio mutu akishindwa anaanza kulalama. na kutoa vitisho i believe tz is biga than ccm and cdm! zama za kuandamana zimekwisha, tuimarishe mahakama zet ziwe na nguvu il zitoe haki na sio haki ipatikane mabarabarani