March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

Raila ilikuwa ngome ya chadema? Raisi Uhuru atatangazwa punde japo hajafikisha ile fifty plus one.
 
Raila ilikuwa ngome ya chadema?

Mwanzo CHADEMA walisema Raila ni mshirika wao wa kisiasa na wakampelekea Fuso mbili na wasanii ili wamsaidie Raila kwenye kampeni zake ila baada ya kuona Raila anaelekea kushindwa wakamkana.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mbona nasikia mshindi lazima afikishe 50% + 1? Je uchaguzi utarudiwa?

ok twende taratibu mkuu 50% +1 maana yake ni kuwa upate asimia hamsini na kura moja yaani ile moja sio asilimia ni real number moja....so ile 0.03 % katika 50.03% ukiikokotoa kwenye idadi ya kula ni zaidi ya moja.....
 
Mkuu, mshindi lazima awe amepata 50% + 1 vote, sasa huyu bwana rais mteule kapata 50.03% which means ni 50% + 0.03%, ukikokotoa hesabu za darasa la tano au sita au la saba utagundua kuwa 0.03% ya kura zote ni zaidi ya kura moja, hivyo, Uhuru Kenyata aanakuwa ameshinda uchaguzi kiulaini.
Uhuru amepata 50% plus 3,600. So, yuko well above the threshold!We also need our own Uhuru (a certain Nyerere ambaye si mwana CCM). Hivi huyu anayeitwa Madaraka Nyerere vipi?
 
Uhuru for Kenya 50.03 % ,Odinga atakubali kweli ? Lets wait and see.

Kwa mujibu wa Katiba ya Kenya ya mwaka 2010 Ibara ya 138 (4); A candidate shall be declared elected as President if the
candidate receives—
(a) more than half of all the votes cast in the election; and
(b) at least twenty-five per cent of the votes cast in each of more
than half of the counties.
Kwa msingi huo Uhuru anakuwa Rais wa Kenya pasipo pingamizi
 
Uhuru amepata 50% plus 3,600. So, yuko well above the threshold!We also need our own Uhuru (a certain Nyerere ambaye si mwana CCM). Hivi huyu anayeitwa Madaraka Nyerere vipi?
Huyo haiwezi Tanzania, labda ZZK au Tundu Lissu, hawa jamaa ndo naona wako vizuri. 2015 ni karibu sana, hatujapata candidates wa kutosha kushindanisha hoja.
 
Mwanzo CHADEMA walisema Raila ni mshirika wao wa kisiasa na wakampelekea Fuso mbili na wasanii ili wamsaidie Raila kwenye kampeni zake ila baada ya kuona Raila anaelekea kushindwa wakamkana.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

wanataka cheap popularity, jaman tanzania 2015 uchaguz uwe wa waz kama huu wa kenya ili heshima iwepo sio mutu akishindwa anaanza kulalama. na kutoa vitisho i believe tz is biga than ccm and cdm! zama za kuandamana zimekwisha, tuimarishe mahakama zet ziwe na nguvu il zitoe haki na sio haki ipatikane mabarabarani
 
duh wabongo mnadata aisee kama kubanda vile get well soon mkuu..
 
Uhuru amepata 50% plus 3,600. So, yuko well above the threshold!We also need our own Uhuru (a certain Nyerere ambaye si mwana CCM). Hivi huyu anayeitwa Madaraka Nyerere vipi?

Sidhani kama kuna faida yoyote ya kuongozwa na mtoto wa kiongozi kwa sababu tu yeye ni mtoto wa kiongozi
 
Presidential final results majimbo 291/291.

Uhuru: 6,173,433

Odinga: 5,340,546

Tofauti: 832,887
hUYU UHURU kENYATTA NILIJUA ATASHINDA TUU BILA JASHO. unajua hii ni baraka kutoka kwa mungu kwa kitendo cha baba yake mzee hayati Kenyatta kumfurahisha mungu mwaka 1976. Mwaka 1976 Kenyatta aliruhusu ndege za Israel zilizokuwa mbioni kuokoa mateka wao Entebe kutua nairobi na kujaza mafuta bure. Halafu mzee Jomo, aliwaweka madaktari wote wa kenyatta hospital on call in case any israeli anapata majeruhi. Halafu tena kenyatta aliweka ulinzi mkali sana wa makeshift hospital zote za Israel pale uwanjani mwa ndege. kama mungu alisema nitambariki yeyote atakaye kubaliki na kumlaani yeyote atakeee kulaani, hebu piga mahesabu, huyu kijana Uhuru alivo vuna baraka kutoka kwa mgongo wa baba yake!

Hongera sana Uhuru! Hongera kijana mwana wa Kenyatta! baba yako aliisha kutangulizia baraka nawe itumie kuijenga kenya iwe na umoja bila mgawanyo. amen!
 
Dhambi ya kuuza uzaliwa wa kwanza inaweza kuwa laana ndani ya familia na ukoo. katika biblia, alikuwepo Esau na Yakobo, watoto wa Isack mwana wa Ibrahimu. Mama yao alikuwa Raheli. Esau alikuwa wa kwanza na Yakobo alikuwa wa pili japokuwa wote walizaliwa siku moja kwa maana ya mapacha. Esau siku moja alirudi mawindoni akiwa hana kitu, akamkuta mdogo wake Yakobo kapika dengu, akaomba jamaa akagoma kumpa, akasema atampa kwa masharti ya kuuza uzaliwa wa kwanza. Kwa sababu ya njaa, Esau akaona kuzaliwa wa kwanza kitu gani, akakubali na hivyo Yakobo ndo akapewa nafsi ya uzliwa wa kwanza na yeye akawa wa pili. Tukio lile kwa Mungu halikuwa jema, kwani jamaa alihama na baraka zote zikahamia kwa mdogo wake, ni Yakobo aliyekuwa baadae mrithi wa ahadi ya Mungu kwa Ibrahim. soma Mwanzo 25:24 hadi 34 Odinga sr, alikuwa na nafasi kubwa zaidi ya kuwa rais wa kwanza wa kenya, lakini kwa busara alizozijua yeye, akamkabidhi ndugu yake Kenyata kuwa rais wa kwanza na yeye akwa makamu wa kwanza. Dhambi hiyo ndiyo inayomtafuna Raila leo kwani baba yake alivuruga!!!!!!

Na mbona huzungumzii swala la kutahiriwa ???
 
Ab-Titchaz, Mwita Maranya

Nyi subirini tume imtangaze wakati huku keshatangazwa Rasmi

pres.jpg
 
Last edited by a moderator:
Raila ilikuwa ngome ya chadema? Raisi Uhuru atatangazwa punde japo hajafikisha ile fifty plus one.

Inaonekana hujaelewa hiyo 50% + 1 vote, Mbona amefikisha vizuri tu. Ieleweke vizuri hiyo 1 ni vote siyo %, hivyo ukitafuta percentage ya 1 vote (% inatoka kwenye total vote cast = 12m) ukaongeza hapo kwenye 50% utaona amefikisha vizuri sana. Ukifanya mahesabu vizuri ana 4,099 votes zaidi ya nusu ya votes ambayo maana yake ni (50% + 4,099 votes) which is far away from (50% + 1vote).
 
wanataka cheap popularity, jaman tanzania 2015 uchaguz uwe wa waz kama huu wa kenya ili heshima iwepo sio mutu akishindwa anaanza kulalama. na kutoa vitisho i believe tz is biga than ccm and cdm! zama za kuandamana zimekwisha, tuimarishe mahakama zet ziwe na nguvu il zitoe haki na sio haki ipatikane mabarabarani

mkuu ANKOJEI umenena vyema,kuwepo na transparency ya kutosha km wenzetu ili mtu atakavyochapwa na kugaragazwa ktk ballot box aridhike na ili kusiwepo na lawama na kuibiana hence kutokubaliana na matokeo,kwangu mimi uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 niwa kihistoria zaidi kutokana na kampeni zake kuanza mapema zaidi baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 pia mivutano ya kisiasa tunayoendelea kuishuhudia mpaka sasa baina ya chama dola na vyama vingine vya upinzani.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom