Huyo Sugu ametia aibu mbunge mzima kuiba wimbo wa kijana mdogo.
Utetezi wanaotoa hauna ata mashiko.
Kama mashahiri yamemwishia kwani lazima aendelee kuimba.
Sugu kaiba wimbo periodWe nae umedandia treni tu na kuanza kumshambulia Sugu hata story hujaielewa. Sasa mashairi gani unayosema wewe?
uko nje ya mada jamaablue alihit sana nakumbuka Enzi zake sana sema ndio hivyo starehe za kipuuzi na usela sela wa kijinga jinga ....diamond amewashikisha adabu hwa wasanii wasiojitambua
Nimemsikiliza hapa Mr Blue
Kumbe anachotaka yeye ni ile "Recognition" tu...kwamba walau Marco Chali au Sugu wangempigia tu simu
Wakale kwa Bob na micharazo[emoji57]Watu watamtetea tu Sugu kwa sababu ni mheshimiwa... msanii anapewa ngoma anaifanyia kazi, then ngoma hiyohiyo anapewa mtu mwingine! Anafanya na video kabsa! Is this right kweli? Mi nadhani yuole aliyekuwa wa kwanza kupewa ndiyo mwenye ngoma yake, suala la promo linahusikaje? Posho bungeni ale, mshahara wa ubunge ale, mpaka ngoma za machalii nazo azibake? Wakale wapi sasa...
Nimemsikiliza hapa Mr Blue
Kumbe anachotaka yeye ni ile "Recognition" tu...kwamba walau Marco Chali au Sugu wangempigia tu simu
We kalagabaho akili yako kama jina lako...hapo Blue anasema "Mi Sugu angenipigia tu wala nisingekuwa na tatizo,wala sihitaji lolote zaidi ya haki ya kutambuliwa"umemsikiliza bluu mwanzo mwisho na kumuelewa kweli au umeamua kujifanya bbwege makusudi na kuona eti bluu anachotaka ni recognition tu?
Je ulimsikiliza mwanzo kabla ya kuhojiwa hii mara ya pili??? saivi amekua mpole baada ya kutumbuliwa... mwanzo alisema wimbo wote ni wake maanina zake..We kalagabaho akili yako kama jina lako...hapo Blue anasema "Mi Sugu angenipigia tu wala nisingekuwa na tatizo,wala sihitaji lolote zaidi ya haki ya kutambuliwa"
Hapa pananipa shida kidogo"Kwahiyo jamaa [Blue] akawa ameipenda tukampa
akasema atamshirikisha Mr Two"
Mkuu GHANI hebu nisaidie kumuelezea huyo jamaa hapo juu anaitwa kalagabahoJe ulimsikiliza mwanzo kabla ya kuhojiwa hii mara ya pili??? saivi amekua mpole baada ya kutumbuliwa... mwanzo alisema wimbo wote ni wake maanina zake..
tatizo mi-jitu inajibu kishabiki kuliko uhalisia.. ushabiki=utumwa...Mkuu GHANI hebu nisaidie kumuelezea huyo jamaa hapo juu anaitwa kalagabaho