Marco Chali: Wimbo wa 'Freedom' sio wa Mr. Blue

Huyo Sugu ametia aibu mbunge mzima kuiba wimbo wa kijana mdogo.


Utetezi wanaotoa hauna ata mashiko.

Kama mashahiri yamemwishia kwani lazima aendelee kuimba.

Kwani kwenye huo wimbo kachukua mashairi ya Blue?? Mashairi ya blue kayatoa chorus kaimba Lizzy beat ya Daxo Chali ... Hebu sema blue kaibiwa nini??
 
Nani ni owner HALISI wa hii nyimbo??
-Mr blue?
-Sugu?
-MJ Records?

na kama tukisamamia katika suala la Sheria, unadhani Mr blue ana vigezo vyote vya kuestablish kesi dhidi ya Mj Records na Sugu?
 
Its ok mkuu lakini kwan ukirekodi ngoma studio, hatimiliki inakuwa ya nani? Ya producer au ya msanii? na msanii akiwa chini ya lebo je? Hatimiliki ni yake au record label?
Inategemeana na makubaliano ya producer na msanii,mfano DJ CHOKA ana ngoma zake ambazo anamiliki lkn unakuta ngoma nzima kaimba zillah,lkn ukiamua kumpa msanii ngoma iwe yake hata kama ni bure hyo hati miliki ni kwa msanii mfano wangekuwa wameandikiana alf wakafungua kesi blue angeshinda,lkn hata kama hawajaandikiana mkataba chali amuogope mungu basi.
 
Ulisikia wapi intellectual property right ikitambuliwa kwa risiti ya malipo?!
Usiniulize maswali ya kiwaki kamulize mj aliyesema kama wimbo wa blue apeleke risiti za malipo! na usini quote tena sitakujibu
 
Nani ni owner HALISI wa hii nyimbo??
-Mr blue?
-Sugu?
-MJ Records?

na kama tukisamamia katika suala la Sheria, unadhani Mr blue ana vigezo vyote vya kuestablish kesi dhidi ya Mj Records na Sugu?
Kwanza, kazi za kisanaa zinatambuliwa kwa Copyright... kwa mfano, Tanzania wanaenda kusajiri COSOTA unfortunately wengi hawafanyi hivyo! Kwahiyo ambae anaweza kusema with CONFIDENCE kwamba wimbo ni wake ni yule mwenye jina lake COSOTA!

Kama hakuna mwenye jina lake COSOTA, tunarudi kwenye second option. Hii sio legal evidence lakini mwenye nayo atakuwa favored na benefit of doubt! For this case, wapi ngoma ipo officially and under whose ownership!

Lililo wazi ni kwamba Freedom ipo Mkito Officially with a "Face Name" Mr. Blue ft Sugu! By face name I mean, ukiingia pale Mkito, jina ambalo linaonekana ni Mr. Blue ft Sugu ingawaje kwenye makaratasi/fomu linaweza kuonekana jina lingine. Ktk hili, jina la kwenye makaratasi linaweza kupata benefit of doubt ikiwa rival atashindwa kuthibitisha vinginevyo... I mean, ikiwa hata kwenye makaratasi jina ambalo linaonekana ni la Blue basi Marco Chali or anyone else anatakiwa kuthibitisha vinginevyo kwamba sio ya Blue na kwa hapa labda atoe registration ya COSOTA!

But in addition, ingawaje hili silitarajii sana kutokana na tunavyoendesha hii tasnia; suluhisho lingine la nani hasa labda wawe wameandikishiana legal contract kabisa! Lakini ikiwa mkataba wenyewe hauna nguvu kisheria basi am sure registration ya Mkito itakuwa na nguvu zaidi kuliko mkataba wa kuandikishiana wenyewe kwa wenyewe!

So, to sum up... there's no way unaweza kuita original ya Freedom ni ya Sugu labda atoe copyright ya COSOTA kisha aibue maswali inakuaje wimbo unaomiliki uwe umeshirikishwa badala ya kuwa Sugu ft Mr. Blue! It might be possible from legal point of view but kisanaa... HAKUNA kitu kama hicho!

Possibility ya kuwa ama ya MJ Records or Blue inategemea na maelezo ya hapo juu... hapo tuna - assume tumeingia kwenye legal issue.
 
Usiniulize maswali ya kiwaki kamulize mj aliyesema kama wimbo wa blue apeleke risiti za malipo! na usini quote tena sitakujibu
Ukitaka mtu a siku - quote the best way ni kupotezea post yake kv hukulazimishwa kujibu!!!
 
Owner HALISI wa hii nyimbo ni MJ RECORDS.

Mr. Blue HANA stand yoyote dhidi ya Mj Records na Sugu.
 
Owner HALISI wa hii nyimbo ni MJ RECORDS.

Mr. Blue HANA stand yoyote dhidi ya Mj Records na Sugu.
Sikatai lakini huwezi kuwa owner wa kazi ya sanaa simply because Blue hakulipia beat... labda kama kuna kitu kingine unachokifahamu kinacho - determine hiyo ownership!! Sasa ni nini hicho? Aliisajili COSOTA? Or anything hata kama sio issue za COSOTA!! Remember, hoja yako umesema kisheria...
 
Sikatai lakini huwezi kuwa owner simply because Blue hakulipia beat... labda kama kuna kitu kingine unachokifahamu kinacho - determine hiyo ownership!! Sasa ni nini hicho? Aliisajili COSOTA? Remember, hoja yako umesema kisheria...
COSOTA ni chombo tu ambacho kinasimamia kazi za wasanii, ni chombo ambacho kinakuwa Governed na Sheria/Coventions mbalimbali ikiwepo WTO, IPRS, na sheria kama The Copyright and Neighbouring Act ya mwaka 1999 na pia wanafanya kazi chini ya WIPO..

Sheria ambayo inaigovern COSOTA inasema "Actual owner (Owner halisi) wa kazi husika ni " Creator wa hiyo kazi"..

1.ukisoma maelezo ya Blue,Sugu na Mj Records nani anaonekana kuwa ni owner HALISI wa hiyo kazi?

2. Je kulikuwa na "Transfer of ownership?" kutoka kwa Mj Records kwenda kwa Mr.Blue au Sugu?

3. nani ni owner halali wa Midundo ya hiyo nyimbo? Blue au Mj? (jibu ya hili swali litategemeana na jibu la swali la pili hapo juu)

4. Blue ana license ya hii nyimbo? (Music license)..kama hana inakuwaje anaclaim full ownership ya hii nyimbo? having a Song licence is enough to establish a case against Sugu..

5. who's the Actual owner wa hii nyimbo?
 
Nenda ofisi ya Maco ukaeleze haya ndugu yangu
 
Kwanza hebu tuchukue nukuu ya Bongo5 waliomnukuu Marco Chali.
Marco amesema anadhani wawili hao [Sugu na Blue] waliongea kuhusu hatua hiyo na kwamba wao kama studio hawakuwa na kipingamizi chochote kuhusu kurudiwa kwa wimbo huo kwasababu walitaka wimbo ufike mahali.
Picha ya kwanza tunayopata hapo ni kwamba hata Marco Chali anafahamu ULAZIMA wa Mr. Blue na Sugu kukubaliana hata kama anafahamu Blue hakulipia beat! Lakini kwa bahati mbaya, Marco Chali ANADHANI kwamba walikubaliana!

Marco Chali anaendelea: "Na yeye (Sugu) aliposema kwamba anataka kufanya video, namaanisha kwamba WALISHAONGEA na Blue kwamba yeye afanye video. Halafu Daxo WASIJE KUMWEKA TENA akaonekana kwamba ni Producer mzinguaji ni vitu ambavyo havitamsababishia biashara na dogo mwenyewe ndo anataka kutoka. Na anajua wazi kwamba NI WATU WAZIMA kule WAMEONGEA."

Kwa mara nyingine tena, Marco Chali anaonesha ambavyo ingetakiwa Blue na Sugu wakubaliane kiasi cha kutaka Producer wa beat asihusishwe!!

Binafsi kwenye posts za awali ckutaka kuingia kwenye masuala ya kisheria kv nafahamu tasnia yenyewe inaendeshwa kiholela. Kutokana na hilo, nilijikita kwenye ni nani hasa anasema ukweli... Marco Chali anaedai Blue na Sugu walikubaliana au Blue anaedai yeye na Sugu hawakuwasiliana?!

According to Bongo5, hivi ndivyo Sugu alijibu tuhuma za Blue "Hakunaga beats za msanii, beats ni za Producer na ndio maana mwenye beat YUMO KWENYE VIDEO ambae ni Master J!"

Ikiwa ni kweli Sugu kaongea hayo maneno, hiyo hoja ya kuwa kwenye video ni aibu kutolewa na MP! Kwamba beat ni ya Producer ni KWELI lakini kuna mipaka yake... mipaka ambayo itakuwa haipo ONLY if beat husika haijatumika na kupelekwa public! Kutokana na hiyo mipaka ndio maana Marco Chali amezungumzia suala la kukubaliana Blue na Sugu ingawaje inaelekea hicho kitu hakikufanyika! Hili la mipaka halikwepeki vinginevyo ingekuwa ni vurugu kwenye tasnia... kwamba Producer anatengeneza beat na kuitoa kwa idadi yoyote aitakayo wakati hiyo inaathiri biashara za waliotangulia!

Nikirudi kwenye hoja zako ambazo umezielekeza kisheria... kwanza COSOTA ni zaidi ya kusimamia wasanii bali HAKIMILIKI za Wasanii! Hizi Hakimiliki hazipatikani by default bali kwa KUSAJIRI KAZI! Likewise, huyo Actual Owner HAPATI legal ownership by default bali kwa kuisajiri kazi yake COSOTA! Hivyo basi, jibu la swali lako la kwanza kama unataka tuangalie sheria linapatikana kwenye jibu langu la awali! Hata beat kama beat inakuwa copyrighted ili kuzuia kesho na kesho kutwa akatokea mtu mwingine akadai hiyo beat ni yake! Wewe kuwa Creator wa hiyo beat hakukupi DEFAULT legal copyright... lazima uisajili!

Swali lako la pili ni Insiders peke yake ndio wanaweza kuwa na jibu na jibu lake litakuwa ndio linawakilisha the rightful owner.

Namba 3 ni kama ulivyotangulia kusema mwenyewe... ni conditional to #2.

Swali #4 jibu lipo kwenye maelezo ya awali! Kuhusu Blue ku-claim full ownership... alichofanya yeye ni kulalamika Sugu kutengeneza version nyingine ya wimbo bila KUMWARIFU au kutaka ridhaa! Sasa hiki anachokilalamikia Blue ndicho ambacho Marco Chali ANAAMINI kilifanyika kati ya Blue na Sugu kwa sababu, tukiweka pembeni legal issues; that's how the industry works! Haiwezekani, eti tu kwa sababu unafahamu beat ya Kintorondo haikutengenezwa na Diamond; ndo basi tena uende moja kwa moja kwa creator wa beat ya Kintorondo; unatumia influence yako unatumia the same beat kutengeneza ngoma nyingine bila kumwarifu Diamond!
 
Owner halisi ni Mj Records..

Blue HANA rights za umiliki wa midundo (na sugu pia)

hana song license ya nyimbo husika, it means hicho chombo cha kusimamia wasanii hakitambui kama Blue ana wimbo unaitwa "freedom"..


kisheria, mmiliki halali na mwenye rights juu ya mdundo (beat/instrumental) ni Mj Records.
 
Kisheria vp tena wakati legal right inapatikana kwa kusajili? Hiyo COSOTA ita-conclude vp kwamba beat ni ya MJ Records wakati kumbukumbu zao hazioneshi hivyo?!

Tatizo huu mjadala umeupeleka kisheria na kama kisheria basi mmiliki halali ni yule anayetambuliwa na COSOTA kwa kuwa ndio wanatoa Hakimiliki labda kama unataka kusema beats haziwi copyrighted jambo ambalo si sahihi!

Lakini kwa upande mwingine, hizi Intellectual Property rights zina mipaka yake hata kama wewe ni rightful owner! Kwa mfano, ukiandika movie script.... unaweza kuiuza na kulipwa 100%. Lakini ingawaje umeshalipwa, bado IP right inakuwa ni yako ingawaje umeshalipwa kila kitu!! HOWEVER, kuwa na hii Intellectual Property Rights hakumaanishi kwamba ndo unaweza kuiuza au hata kuitoa kwa mtu mwingine... NO! Ukifanya, hata kama una IP Right bado unaweza kushitakiwa kv hizi IP rights huwa zinataja what you deserve and what you don't! One of the common rights kwenye kazi za aina mbalimbali ni CREDIT. Na hata hawa Producers wetu huwa wanatoa beat for FREE just in exchange for CREDIT!
 
kusajili? bro upo serious?

yaani kampuni ya Mj Records ikasajili kazi zake COSOTA?
 
kusajili? bro upo serious?

yaani kampuni ya Mj Records ikasajili kazi zake COSOTA?
You see!! Kwahiyo unaona anayetakiwa kupata copyright ni Mwanamuziki peke yake lakini Record Label inakuja by default?!

Remember, UNLESS tuhamie to "how the industry works," but for now tupo kisheria zaidi!!

Sasa, unapoenda COSOTA ku-copyright your Work, moja ya viambatanisho ni media uliyohifadhia kazi yako and for this discussion can be CD or DVD!

QUESTIONS:
1. Unadhani beats haziwi copyrighted?
2. Kama haziwi copyrighted, hivi unaamini kuwa na studio peke yake kunakupa nguvu kisheria kwamba wewe ndie mmiliki halali wa "beat" husika?
3. Kama unapata uhalali hapo juu; ni kwa kutumia vigezo gani?
4. Assume, wewe ni Creator from MJ Records na beat yako ya Freedom huku ukiwa na imani kwamba you don't have to copyright your beat! Kwa upande mwingine, mimi ni COSOTA Member ambae pia nina Studio hata kama ni ya kizushi lakini nimeenda COSOTA na CD of the same Freedom beat na baada ya kujiridhisha, ikawa copyrighted kwa jina langu!

Sooner or later, ikatokea dispute kati yetu inayotufikisha mahakamani! Now, who stands the chance to win? Kama unaamini you stand the chance; ,kwa kutumia grounds zipi?
 
Mj Records HAIFANYI kazi na COSOTA, na wala haina ULAZIMA wa kufuata CONDITIONS za COSOTA, simply because Mj Records ni kampuni ambayo imesajiliwa chini ya BRELA na inafanya kazi kwa conditions za BRELA, kupitia sheria inayogovern Companies (Companies Act)..at the same time Mj records as a Company, ina memorandum yake ambayo inagovern kazi zake, hii ina maana kuwa Mj Records ni LEGAL ENTITY..COSOTA ina mamlaka juu ya wasanii/producers watakaokuwa kwenye label ya Mj Records (only IF, label itaamua kuwasajili COSOTA, under Regulations za CN Act ya mwaka 1999)..otherwise COSOTA hana mamlaka ya kuingilia maamuzi na haki za umiliki wa kazi za Mj Records.

huko juu nilikuambia kuhusu ni nani ndiye Actual owner wa hii kazi, kwasababu Creator wa hii kazi anatoka Mj Records (Producer ambaye kaajiliwa Mj records) anafanya kazi chini ya Mj Records na chini ya Regulations za Mj Records (rejea memorandum ya Company)..so mmiliki halali wa hii midundo anabakia kuwa Mj Records..ad its not up to Mj Records kwenda kusajili kazi zake COSOTA, coz COSOTA aint governing Mj Records kivyovyote (as a Company (legal entity)...


Marco chali anasema walimpa Blue nyimbo kwaajili ya "love" tu, na wakati huo huo Marco Chali anasema "wenyewe kama Mj Records walitaka nyimbo ifike mbali" hapo umeelewa nn kwenye kauli mbili? kwanza kusema kuwa alimpa Blue nyimbo kwaajili ya "love" ni kuwapumbaza waTz, na hiyo kauli ya pili inaonyesha Mj Records walitaka hiyo nyimbo iingize HELA, Blue akaipeleka hiyo nyimbo "mkito" which hakuwa na
"



Mj Records HAIFANYI kazi na COSOTA, na wala haina ULAZIMA wa kufuata CONDITIONS za COSOTA, simply because Mj Records ni kampuni ambayo imesajiliwa chini ya BRELA na inafanya kazi kwa conditions za BRELA, kupitia sheria inayogovern Companies (Companies Act)..at the same time Mj records as a Company, ina memorandum yake ambayo inagovern kazi zake, hii ina maana kuwa Mj Records ni LEGAL ENTITY..COSOTA ina mamlaka juu ya wasanii/producers watakaokuwa kwenye label ya Mj Records (only IF, label itaamua kuwasajili COSOTA, under Regulations za CN Act ya mwaka 1999)..otherwise COSOTA hana mamlaka ya kuingilia maamuzi na haki za umiliki wa kazi za Mj Records.

huko juu nilikuambia kuhusu ni nani ndiye Actual owner wa hii kazi, kwasababu Creator wa hii kazi anatoka Mj Records (Producer ambaye kaajiliwa Mj records) anafanya kazi chini ya Mj Records na chini ya Regulations za Mj Records (rejea memorandum ya Company)..so mmiliki halali wa hii midundo anabakia kuwa Mj Records..ad its not up to Mj Records kwenda kusajili kazi zake COSOTA, coz COSOTA aint governing Mj Records kivyovyote (as a Company (legal entity)...


Marco chali anasema walimpa Blue nyimbo kwaajili ya "love" tu, na wakati huo huo Marco Chali anasema "wenyewe kama Mj Records walitaka nyimbo ifike mbali" hapo umeelewa nn kwenye kauli mbili? kwanza kusema kuwa alimpa Blue nyimbo kwaajili ya "love" ni kuwapumbaza waTz, na hiyo kauli ya pili inaonyesha Mj Records walitaka hiyo nyimbo iingize HELA, Blue akaipeleka hiyo nyimbo "mkito" which hakukuwa na "official release" ya hiyo nyimbo..katika hilo suala la "love" chali anashindwa tu kusema kuwa Recordings company za bongo zinafanya kazi kwa compesations/royalties zaidi, na siyo kwa malipo ya moja kwa moja, (unaingiza kulingana na nyimbo inavyozidi kupata airtime), it means msanii mwenyewe anaamua either awe na full ownership ya wimbo au kuwe na co-ownership ya wimbo (hii inategemea na producer atatakaje)..au akaamua kuingia mkataba/makubaliano kuwa katika wimbo huu me nitakuwa na asilimia flani na recording company itakuwa na asilimia flani..here sheria inampa faida zaidi msanii coz anachukua asilimia kubwa (asa far as suala ya compasations lipo in place)..so kama kungekuwa na makubaliano ya kibiashara kati ya Blue na Mj Records, hii
nyimbo blue alikuwa hana budi kuifanyia official release..na kwa comments za Blue na Mj Records HAKUKUWA na makubaliano (legal binding) kati ya hizo pande mbili..na hapo nyimbo inabakia kuwa mali ya Mj Records Company..na siyo ya Blue..na kama hakukuwa na makubaliano yoyote kati ya Blue na Mj Records ambapo ndo ieleweke hapa kuwa wana "Economic right" ya nyimbo, Blue hata angeipeleka COSOTA, kisheria bado hana nafasi, coz hakuna makaubaliano kati yake na mwenye economic rights wa hiyo nyimbo..na sidhani kama Legal department ya COSOTA, inafanya kazi kiholela namna hovyo..

Kama Blue hana:

1. Ownership ya wimbo
2. Co-ownership ya wimbo
3. Any legal agreement kati yake na Mj

basi hawezi kulia kuwa kaibiwa wimbo, hawezi kuisajili nyimbo COSOTA, chini ya sheria ya Copyright and Neighbouring Act na Regulations zake, na pia hawezi kuacquire Song license..


Unaelewa maana ya Company? Mj Records ni LEGAL ENTITY, kila wanachofanya kipo chini ya sheria, na kama Company inayodeal na masuala ya music lazima inafuata sheria mama ya masuala ya copyright hapa Tz ambayo ndo hiyo CN ya mwaka 1999, na kama Company lazima ina regulations zake zinazogovern mambo ya Copyright, hence wakampa nyimbo Sugu..hakuna Company ambayo inadeal na Music inaigore copyright ishuz na masuala ya IP..


And wewe kama ni msanii, usifikiri kuwa COSOTA ndo mwisho wa matatizo yako, kwamba ukishasajili ngoma ndo umefanikiwa, hence wasanii wengi wakubwa wana lawyers, unaweza ukaipeleka nyimbo kuisajili COSOTA, lakini mimi nikaja kuifuta kwa kutumia Sheria zinazoigovern COSOTA hiyo hiyo..na do maana WIPO (World Intellectual property org), IPRS, WTO, CN and other laws, na COSOTA wenyewe wanaencourage msanii wa muzik.awe na Music license (ya kila nyimbo yake)..hiyo ndiyo itamweka safe siku zote..


here unatakiwa ujue kuwa Blue kakosea mwenyewe, na pia unatakiwa ujue kuwa Mj Records ni Legal entity, na chochote unachofanya katika law, ni lazma kuwe na legal agreements (contracts) ili kufanya arguments zako ziwe Valid..Blue hana "Legal status" katika hili suala.


mwisho Mj Records ni owner halisi wa hii nyimbo, kungekuwa na transfer za haki ya umiliki kwa blue, au kungekuwa na Joint ownership kati ya Mj na Blue, au kungekuwa na any legal binding agreement (business) kati ya blue na Mj kesi ingekuwa tofauti.
 
Nawaangalia hapa Friday Night Live Channe 5....wapo Sugu,Master J na huyu DaxoChali...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…