Marefa wa bongo hovyo sana

Marefa wa bongo hovyo sana

Mpira umemalizika dakika zilizopita na matokeo ni sare ya goli 1-1 kwa wenyeji Coastal Union na Singida Big Stars.
.
kilichofanya niandike ni namna maamuzi ya ajabu ya Refarii aliyokuwa anayatoa kwa kuwapendelea zaidi wenyeji Coastal.
.
Dakika ya 88 Singida walipata bao la wazi lisilo na kosa lolote lakini bila ya aibu Refa kalikataa bao lao, kiasi cha kuleta mtafaruku baada ya kipyenga cha mwisho.

TFF wawe wanafatilia kwa karibu sana mechi ambazo hazihusishi timu kubwa za Simba na Yanga.

Hizi zinakuwa na maamuzi ya ajabu sana kama mechi za ligi daraja la kwanza aliyeko nyumbani lazima ashinde na akizidiwa sana basi sare ipatikane.

Soka letu linachangamoto nyingi sana
 
Watu wote uwanjani walishikwa na mshangao bila kujua nini kimetokea.
 
Marefa walipwe vizuri
Karia anawalipa anavotaka anategemea nini
 
Kwani hao Mwigulu stars mara ngapi nao hubebwa, ukikemea dhambi kemea zote sio za kubaka unaziacha ili siku ukibaka nawe uachwe.
 
Tatizo la mpira wetu linaanzia pale TFF, kuna wababaishaji na ubabaishaji mwingi sana pale Karume.
 
Waamuzi wetu nao ni binadamu. Angalia ulaya na teknolojia zote na maslahi yao afu angalia ugoro wanafanya. Njoo bongo angalia hali halisi. Posho kiduchu, mafunzo duni na siasa yetu kuingilia mpira.
 
Mpira umemalizika dakika zilizopita na matokeo ni sare ya goli 1-1 kwa wenyeji Coastal Union na Singida Big Stars.
.
kilichofanya niandike ni namna maamuzi ya ajabu ya Refarii aliyokuwa anayatoa kwa kuwapendelea zaidi wenyeji Coastal.
.
Dakika ya 88 Singida walipata bao la wazi lisilo na kosa lolote lakini bila ya aibu Refa kalikataa bao lao, kiasi cha kuleta mtafaruku baada ya kipyenga cha mwisho.

TFF wawe wanafatilia kwa karibu sana mechi ambazo hazihusishi timu kubwa za Simba na Yanga.

Hizi zinakuwa na maamuzi ya ajabu sana kama mechi za ligi daraja la kwanza aliyeko nyumbani lazima ashinde na akizidiwa sana basi sare ipatikane.

Soka letu linachangamoto nyingi sana
Labda ni maagizo.kutoka tiefuefu kuibeba timu yake!

Wagosi wa Kaya wapo nafasi ya mwisho mwisho.

Back
Top Bottom