Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Omba msomali asikukamateTanzanian Fools Football ⚽⚽ (TFF)
Kabisa kabisa yaniTanzanian Fools Football [emoji460][emoji460] (TFF)
Labda ni maagizo.kutoka tiefuefu kuibeba timu yake!Mpira umemalizika dakika zilizopita na matokeo ni sare ya goli 1-1 kwa wenyeji Coastal Union na Singida Big Stars.
.
kilichofanya niandike ni namna maamuzi ya ajabu ya Refarii aliyokuwa anayatoa kwa kuwapendelea zaidi wenyeji Coastal.
.
Dakika ya 88 Singida walipata bao la wazi lisilo na kosa lolote lakini bila ya aibu Refa kalikataa bao lao, kiasi cha kuleta mtafaruku baada ya kipyenga cha mwisho.
TFF wawe wanafatilia kwa karibu sana mechi ambazo hazihusishi timu kubwa za Simba na Yanga.
Hizi zinakuwa na maamuzi ya ajabu sana kama mechi za ligi daraja la kwanza aliyeko nyumbani lazima ashinde na akizidiwa sana basi sare ipatikane.
Soka letu linachangamoto nyingi sana
Marefa awataki kumuangusha anayewapa posho zao bwana karia, Angeruhusu goli angekiona cha motoRefa amekataa goli halali kabisa la singida big stars dhidi ya coastal union. TFF fungieni hawa marefa wanaharibu sana ligi.