kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Tunashudia kila mechi khalidi aucha na Mudathiri huingia kwa lengo la kucheza rafu kupiga mateke wachezaji wa timu pinzani marefa huishia kuwapa onyo la mdomo na mwisho hutoa kadi ya manjano baada ya hapo huwaacha wakiendeleza uhuni wao uwanjani badala ya kupiga soka,
Naiona tabia hiyo ikizidi kuota mizizi bila kuchukuliwa hatua,niwaeleze marefa mechi ya leo hatutaki kuona huo upuuzi ikibidi kadi nyekundu zihusike kama ilivyo sheria kwa timu nyingine na hatujawahi ona penati dhidi ya yanga japo wanashika mipira na kucheza rafu ndani ya box yao leo vyote sheria ifuate mkondo!
Tunataka soka sio vioja na mechi za mipango!