kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Wanawaacha wanacheza kihuni!Naona kipara kimeanza kupata moto kabla hata mechi haijaanza
Kazi gani kama sio kucheza mpira?Bodi ya marefa na. Bodi ya ligi kuu wanailea simba kila mechi ni lazima juwe na ukakasi.
Aucho na Mudathir kazi yao uwanjani unaijua..?
Azam walituvunjia Yao.Tunashudia kila mechi khalidi aucha na Mudathiri huingia kwa lengo la kucheza rafu kupiga mateke wachezaji wa timu pinzani marefa huishia kuwapa onyo la mdomo na mwisho hutoa kadi ya manjano baada ya hapo huwaacha wakiendeleza uhuni wao uwanjani badala ya kupiga soka,
Naiona tabia hiyo ikizidi kuota mizizi bila kuchukuliwa hatua,niwaeleze marefa mechi ya leo hatutaki kuona huo upuuzi ikibidi kadi nyekundu zihusike kama ilivyo sheria kwa timu nyingine na hatujawahi ona penati dhidi ya yanga japo wanashika mipira na kucheza rafu ndani ya box yao leo vyote sheria ifuate mkondo!
Tunataka soka sio vioja na mechi za mipango!
Tulaani wachezaji wenye kuingia kwa dhamira ya kuumiza wenzao!Azam walituvunjia Yao.
Hawakutosheka walituvunjia na Pacome.
Azam wanapokutana na Yanga wao wanachojua ni kutukamia na kutaka kushinda hata kwa kutuumizia wachezaji wetu.
We jamaa wewe..Tunashudia kila mechi khalidi aucha na Mudathiri huingia kwa lengo la kucheza rafu kupiga mateke wachezaji wa timu pinzani marefa huishia kuwapa onyo la mdomo na mwisho hutoa kadi ya manjano baada ya hapo huwaacha wakiendeleza uhuni wao uwanjani badala ya kupiga soka,
Naiona tabia hiyo ikizidi kuota mizizi bila kuchukuliwa hatua,niwaeleze marefa mechi ya leo hatutaki kuona huo upuuzi ikibidi kadi nyekundu zihusike kama ilivyo sheria kwa timu nyingine na hatujawahi ona penati dhidi ya yanga japo wanashika mipira na kucheza rafu ndani ya box yao leo vyote sheria ifuate mkondo!
Tunataka soka sio vioja na mechi za mipango!
Hilo angalizo nitaita waandishi wa habari kama kuna lolote litanitokea!We jamaa wewe..
Marefa wawe makini na sheria kumi na saba kuna upuuzi na uhuni mwingi mchezoni!Lengo lako nn mkuu??
Kila anapocheza mkubwa unadondosha Uzi kana kwamba unataka ifungwe kwa msaada wa referee.Marefa wawe makini na sheria kumi na saba kuna upuuzi na uhuni mwingi mchezoni!
Saa moja usiku!Mechi saa ngapi?
La hasha tunakumbusha majukumu ya marefa wasiachie wahuni wakavunja wenzao na kuwaacha na majeraha!Kila anapocheza mkubwa unadondosha Uzi kana kwamba unataka ifungwe kwa msaada wa referee.
Tunashudia kila mechi khalidi aucha na Mudathiri huingia kwa lengo la kucheza rafu kupiga mateke wachezaji wa timu pinzani marefa huishia kuwapa onyo la mdomo na mwisho hutoa kadi ya manjano baada ya hapo huwaacha wakiendeleza uhuni wao uwanjani badala ya kupiga soka,
Naiona tabia hiyo ikizidi kuota mizizi bila kuchukuliwa hatua,niwaeleze marefa mechi ya leo hatutaki kuona huo upuuzi ikibidi kadi nyekundu zihusike kama ilivyo sheria kwa timu nyingine na hatujawahi ona penati dhidi ya yanga japo wanashika mipira na kucheza rafu ndani ya box yao leo vyote sheria ifuate mkondo!
Tunataka soka sio vioja na mechi za mipango!
Nipo kutetea soka la bongo linalotaka kutekwa na wahuni!Naona umetoka kwenye uchawa wa CCM hadi kuwa mtetezi wa Simba . Yanga watakusugua hicho kipara hadi kiwake moto mjomba . Shauri zako
Hukumbuki Azam ilivowavunja Pacome, You, na Aucho , ikapelekea timu kuwakosa mafundi hao kwenye michezo ya robo fainali club bingwa.La hasha tunakumbusha majukumu ya marefa wasiachie wahuni wakavunja wenzao na kuwaacha na majeraha!
Attention seekerTunashudia kila mechi khalidi aucha na Mudathiri huingia kwa lengo la kucheza rafu kupiga mateke wachezaji wa timu pinzani marefa huishia kuwapa onyo la mdomo na mwisho hutoa kadi ya manjano baada ya hapo huwaacha wakiendeleza uhuni wao uwanjani badala ya kupiga soka,