Marefa wanawalea sana Khalid Aucho na Mudathiri yahya mechi ya leo haki itendeke!

Kweli kabisa, Khalid Aucho ndio Anaongoza Kwa kucheza Rafu kwenye Ligi yetu, lakini kitu Cha Ajabu Marefari wa Kitanzania Wanamfumbia Macho, Wanashindwa kuchukua Action, Sasa Sijuhi Ndio GSM Wanawaogopa? Umeona Juzi kocha wa YANGA Gamondi kampiga kocha Msaidizi wa Singida, TFF Wako kimiya tu, Akuna kocha Ambaye mtovu wa Nidhamu kama Gamondi, Ovyoo Sana huyu kocha
 
Wazo zuri lakini marefa leo akili yao inafikiria namna ya kuchezesha mchezo sidhani kama huu ujumbe wako kama watausoma leo, labda wahusika wa TFF
 
Unaufuatilia mpira wa bongo vizuri sana kuliko hata mimi wala tff umeviona hivyo vitendo kumbe hatari sana kwa afya ya soka la bongo!
 
Yanga in general wanabebwa,Jana simba ananyimwa tuta ila ingekua yanga 100% mwamuzi angeweka kati.
Hapa akitokea mdau mkabishana kidogo tu utamtaja GSM.

Huu msimu msipopagawa sijui.
 
haki itendeke kabla ya game haijachezwa???
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
 
Bado baka anapiga wenzake ngumi, TFF wapo kimya
 
ku
Kuna kocha alimpiga mtu ngumi alifungiwa mwaka mzima
 
Haya!
 
Ukiwa na hasira na yanga mpaka utaharisha yanga hii mbele kwa mbele
 
Ulisema kweli..wamekoswa kapatwa ndugu yao
 
Ulisema kweli..wamekoswa kapatwa ndugu yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…