Marehemu Ayubu Kiguru: Shabiki mkubwa wa Sunderland football club miaka ya 1960

Kituko,
Nilichosema mimi ni kuwa wakifanya khitma na sasa hawafanyi.

Ikiwa mambo yamebadilika hapana neno mimi nimeeleza tu
historia ya Sunderland kama ilivyokuwa.

Ingekuwa Sunderland walikuwa wanasoma misa ningelisema.
Wewe mzee unapenda sana muunganiko na wafu, eti? Haya Moo kapeleka milioni 100 nenda ukasome khitma mle ubwabwa. Ujue kwa imani za watu wengine ibada za wafu ni dhambi. Mbona unakuwa ni mwenye kuchanganya kila kitu na imani yako?
 
Aisee kumbe ni mpenzi Wa michezo.
 
Wewe mzee unapenda sana muunganiko na wafu, eti? Haya Moo kapeleka milioni 100 nenda ukasome khitma mle ubwabwa. Ujue kwa imani za watu wengine ibada za wafu ni dhambi. Mbona unakuwa ni mwenye kuchanganya kila kitu na imani yako?
Mwana,
Mbona umekasirika ndugu yangu?
Hili kuna mtu kalieleza na limeeleweka.
 
Mwana,
Mbona umekasirika ndugu yangu?
Hili kuna mtu kalieleza na limeeleweka.
Hebu siku moja tujadili UJASIRIAMALI, UCHUMI na mengineyo nje ya hitima angalau nikukumbuke kwa picha ingine. Hitmaaa hitmaaa, unakaa karibu na makaburi pengine saa zote unawaza wafu?
 
Guasa,
Juma Chogo, ''Mluya'' jitu la Kenya.

Aisee mzee MS shukran sana. Na hii historia umeiandika mahala??

Namaanisha ujitahidi uiweke katika kumbukumbu ya maandishi. Wewe ni hazina unajua mengi sana kuhusu Jiji la mzizima. Kudos baba. Na allah akupe maisha marefu
 
Tip nzuri sana hii, nina uhakika watakuwa wanapita pita hapa na watazifanyia kazi..
 
Aisee mzee MS shukran sana. Na hii historia umeiandika mahala??

Namaanisha ujitahidi uiweke katika kumbukumbu ya maandishi. Wewe ni hazina unajua mengi sana kuhusu Jiji la mzizima. Kudos baba. Na allah akupe maisha marefu
MS ni mwandishi mzuri sana.. Kama kuna kitabu kuhusu historia kama hizi .. Naomba nipewe details na location hakika nitaenda kukinunua..
 
Ningependa utupe khabari za sunlight uwanja wa Ilala na Masham sham yake na timu zilizo kuwa tishio pengine na wachezaji hodari wa kombe hilo ambalo baadae likaitwa taifa cup.
 
kuna huyu mzee anaitwa Abdu Mteketa,anadai kachezea simba ilipocheza nadhani na yanga Zanzibar baadaye kachezea Pan ya dar es salaam-huyu wamjua au anafurahisha baraza
Jackline,
Abdul ni alikuwa kijana maarufu Dar es Salaam.
Hayo anayosema ni kweli.
 
kuna huyu mzee anaitwa Abdu Mteketa,anadai kachezea simba ilipocheza nadhani na yanga Zanzibar baadaye kachezea Pan ya dar es salaam-huyu wamjua au anafurahisha baraza

Mzee MS huyu Mteketa si ndio alikuwa mbunge wa Kilombero?
 
Vipi kuhusu Boom FC na Ashanti United maana na zenyewe zilikuwa pinzani sana
 
Guasa,
Sunlight Cup kikombe hiki kikishindaniwa na majimbo tisa ya Tanganyika.
Timu kali zilikuwa

Saint,
Historia hii sijaiandika.
Majibu yako yameishia njiani muungwana jaribu kutizama vizuri kama hutojali utume tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…