Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
- #21
Denis,Nimependa historia hiyo asante kwa kumbukumbu mzee wangu
Ahsante sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Denis,Nimependa historia hiyo asante kwa kumbukumbu mzee wangu
Kwa nini kilambo walimuita baba watoto? pia nashukuru sana kwa historia ilojaa kila aina ya mapenzi ucheshi na uelewa wa wazee wetu hawaDenis,
Ahsante sana.
Guasa,Kwa nini kilambo walimuita baba watoto? pia nashukuru sana kwa historia ilojaa kila aina ya mapenzi ucheshi na uelewa wa wazee wetu hawa
Waandishi wetu vijana wanaitumia hii encyclopedia?Guasa,
Hili jina la ''Baba Watoto,'' hata mimi nikilisikia lakini sijalitafiti.
Bahati mbaya hili swali limekuja leo.
Jumapili iliyopita nilikuwa na Captain Malik kwa kipindi kirefu.
![]()
Wakwanza kulia ni Captain Malik
Captain Malik alikuwa Captain wa Yanga nadhani katika miaka
ya awali ya 1960 na ndiye aliyempokea Kilambo Yanga akitokea
Bagamoyo na kumtia moyo kuwa anaweza kupata nafasi kikosi cha
kwanza.
Juzi alinihadithia mkasa uliotokea Ilala Stadium.
Yanga walikuwa na mechi na wachezaji wote walikuwa weshanigia
uwanjani lakini Kilambo alikuwa kachelewa.
Hakuna aliyekuwa anamjua Kilambo wakati ule hivyo akazuiwa lango
kuu ikabidi Captain Malik aende akampitishe mlangoni.
Sifa moja kubwa ya Captain Malik ni kuwa yeye ni Encyclopedia ya
historia ya mpira Tanzania.
Shukran kwa majibu mazuri mzee wangu.Guasa,
Hili jina la ''Baba Watoto,'' hata mimi nikilisikia lakini sijalitafiti.
Bahati mbaya hili swali limekuja leo.
Jumapili iliyopita nilikuwa na Captain Malik kwa kipindi kirefu.
![]()
Wakwanza kulia ni Captain Malik
Captain Malik alikuwa Captain wa Yanga nadhani katika miaka
ya awali ya 1960 na ndiye aliyempokea Kilambo Yanga akitokea
Bagamoyo na kumtia moyo kuwa anaweza kupata nafasi kikosi cha
kwanza.
Juzi alinihadithia mkasa uliotokea Ilala Stadium.
Yanga walikuwa na mechi na wachezaji wote walikuwa weshanigia
uwanjani lakini Kilambo alikuwa kachelewa.
Hakuna aliyekuwa anamjua Kilambo wakati ule hivyo akazuiwa lango
kuu ikabidi Captain Malik aende akampitishe mlangoni.
Sifa moja kubwa ya Captain Malik ni kuwa yeye ni Encyclopedia ya
historia ya mpira Tanzania.
Kwani dini gani haiombei marehemu mkuu !!!?? Timu ikiita wanachama na wapenzi uwanja wa wazi kama jangwani mwembeyanga Tanganyika packers na wakaalika watu wa dini mbali mbali wakaowaombea marehemu!!!??? Ama unataka kusema zamani wapenda Mpira wote walikuwa WAISLAMU TU AU !!!??? (au walikuwa wakristu tu kama sio basi walifanyaje visomo ishindikane sasapengine wingi wa mchanganyiko wa wanachama wenye imani tofauti,ikaonekana ni busara either kufutilia mbali ama kuwakumbuka na kuwaenzi kwa namna nyingine.
Pengine hujanisoma vizuri au hukutaka tu kunielewa....Kwani dini gani haiombei marehemu mkuu !!!??
nukuu yangu hapo chini hukuielewa..??Timu ikiita wanachama na wapenzi uwanja wa wazi kama jangwani mwembeyanga Tanganyika packers na wakaalika watu wa dini mbali mbali wakaowaombea marehemu!!!???
pengine wingi wa mchanganyiko wa wanachama wenye imani tofauti,ikaonekana ni busara either kufutilia mbali ama kuwakumbuka na kuwaenzi kwa namna nyingine.
Hizo ni hisia zako tu,hakuna sehemu nimesema wote,Japo ni wazi Majority ya wapenzi/Wanachama walikuwa ni waislamu ndio maana kukawa na Utaratibu wa ''Khitma''.Ama unataka kusema zamani wapenda Mpira wote walikuwa WAISLAMU TU AU !!!??? (au walikuwa wakristu tu kama sio basi walifanyaje visomo ishindikane sasa
Guasa...Shukran kwa majibu mazuri mzee wangu.
Saint...Waandishi wetu vijana wanaitumia hii encyclopedia?
Chamack,Si vibaya ukawasiliana na Mbwiga Mwiguke wa Clouds FM ili awe anatupa baadhi ya michomo kama hii au ukiweza wewe mwenyewe walau mara moja kwa wiki tupe kumbukumbu ya matukio yaliyokuwa yakitokea zamani hizo
Chamakh,Mzee Mohammed Said hakika umetupa hostoria mujarab ya hii timu yetu pendwa ya Simba, asante sana
Kitulo,Saigon ilikuwa club inayoshughulika na nini?
IPO mtaa gani?
![]()
Waliosimama wa tatu kulia ni Athmani Kilambo, wa tano Abdulrahman Lukongo
timu ya East African Cargo Handling Services
Pia kulikuwa na hadithi ya mchezaji mmoja alitoka unguja na kwenda kuomba kuchezea yanga sasa akakutana na wazee fulani wapenzi au wanachama maarufu wa Yanga.Guasa...
Mnaponiliza maswali ndiyo nami kiubongo changu kinashtuka.
Nyie ni msaada mkubwa kwangu.
Guasa,Pia kulikuwa na hadithi ya mchezaji mmoja alitoka unguja na kwenda kuomba kuchezea yanga sasa akakutana na wazee fulani wapenzi au wanachama maarufu wa Yanga.
Walipomtiza muonekano wake mmoja akajiridhisha kuwa huyo sio mchezaji basi akamkokota mpaka karibu na leo kilipo kituo cha mafuta cha big born na kumuonyesha jengo la simba na kumwambia kama unataka kucheza mpira nenda pale mchezaji huyo alikua kufahamika kama Haji lesso je unacho kisa hicho?